Wabongo bna, kujinyanyua wenyewe imeshindikana, sasa kupewa ka msaada napo mnalalamika, acheni waje wasaidie bna, hivi shida iko wapi hata kama hela tunawalipa, kama mimi naweza kusafiri dar kwenda mwanza kwa train kwa haraka na bei nafuu zaidi shida iko wapi hata kama namlipa mtu wa nje? tatizo mnafikiria hela inaenda wapi mnasahau hata nyie wenyewe itakua rahisi kuzalisha hela mtu kama mtu, kwa mtu aliyeishi nchi za nje atagundua naongelea nini, kuna nchi kama South Korea ambayo imesaidiwa sana na USA, nenda ukashuhudie transport system ilivyo safi, kutoka eneo moja kwenda jingine bei ni sawa maeneo yote, ni kama mtu anasoma Dar ila kwao Morogoro na kila siku anaamka anawahi haraka tu, maisha yanarahisishwa, sasa mtu unataka kiwanda cha magari huku wao wametoa offer cha pikipiki, we cha magari afu umuuzie nani? hata viberiti tu vinafatwa Kenya sasa unaletewa cha pikipiki angalau ujifunze udevelop zaidi uweze kufanya cha magari unalaumu, chiiiiiiizi... Tanzania ipo katika hali ambayo haiwezi kujinyanyua yenyewe for as long as nchi zenye nguvu zipo, unadhani hazioni na wala haziwezi kuchukua action kubana Tanzania? unadhani Marekani ikiamua kuna kubisha? intelijensia ya bongo iko nyuma sana na teknolojia pia, wasumbue wawatumie magonjwa ya mlipuko muone kama hamjarudi kuomba msaada, mkitaka amani we walete wawasaidie, nchi inufaike watu waendelee hata kama mnawalipa maana wenyewe ishashindikana mtabaki mnapigizana kelele nchi nyingine zinapeta