Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV