Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

Kuna watu wanatakiwa wapimwe akili zao. Mtu mzima unasema ili kujipemdekeza. Wanaume hawajipendekezi. Jitafakari zaidi. JPM alifanya yake na mama anafanya yake bali CCM in ile ile.
 
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV

Hapo atakuwa analengwa bwana mia kenda baada ya mwendazake kupumzika.
 
Back
Top Bottom