Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
ccm bwana dogo anazunguka zunguka tu wakati swali liko wazi.
 
Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Kama anasemwa nyerere y not JPM... Ukishashika nafasi ya umma utasemwa hata ukiwa kaburini wala haina Maan JPM ni mungu asisemwe wala alikua perfect
 
Watajua hawajui..JK 2015 chama kilitaka kumfia mikononi. Ndio maana baada ya uchaguzi alienda kujificha msoga akiamini mjini akionekana atapopolewa mawe. Safari hii wakichakachua na watu wamejaa uelewa sijui watajificha wapi.
Kilitaka kumfia ndio maana Jiwe akaja na mpango wa kunyonga watu na kunywa damu ili kukiokoa
 
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Mtu amekiri mwenyewe kuwa ameokotwa majalalani uzoefu wa diplomasia angeupata wapi? Tatizo lilikuwa liko kwa mteuzi mwenyewe.
 
Shukrani ya punda siku zote ni mateke....nasema endeleeni kumsema na kumbeza ...mtajua hamjui naomba niishie hapo.
Mkuu hii ni siasa kama alisemwa Nyerere ambae alikiasisi Chama na baba wa Taifa sembuse magufuli
 
Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Dikteta uchwara aliharibu sana katika eneo la utawala Bora. Ngoja wamchane tu
 
Hii imenifanya nikumbuke mzee wa diplomasia ya kukaza mimacho [emoji23]
Teeh teeh.

Zee linawatolea mimacho mabeberu na kuwatisha uku akiongea kwa hasira na kufoka.

Mimate kama yote.

Daah nchi ilipata viongozi wa ajabu sana.
 
Sasa wakipata hasira ndo watafanyaje.. JK alitukanwa Hao walionamahaba nae hasira ziliwafikisha wapi
Wakipatwa na hasira hawatashirikiana na serikali mitandaoni. Watakuwa pinga pinga na ss tunataka kupunguza pingapinga. Kumponda hakuna afya kwetu.
 
Mnajisumbua tuu JPM hafiki hata robo ya kikwete
Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
 
Teeh teeh.

Zee linawatolea mimacho mabeberu na kuwatisha uku akiongea kwa hasira na kufoka.

Mimate kama yote.

Daah nchi ilipata viongozi wa ajabu sana.
Mkuu, hahahahahahahhahahahahajaj
 
wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu.
aiseee, CCM hii sina hamu nayo.
 
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Anamsema mzee wa jalalani? na juisi feki?

20210523_002555.jpg
 
Haka kajamaa mbona kadoo tu, km mimi!! kanaongea kwa kurusha mikono juu! na kimzuzu hata hakijakomaa!! kanaongea ngonjela hizo!! sijui ccm inavitoaga wapi hivi vi bodaboda vya hivi!
 
Ahahahahah huyu dogo kahitimu juzijuzi tu hapo chuo cha Diplomasia,tayari ashajiona anawazidi akina Kaboud na Mabarozi kwenye diplomasia ya uchumi ahahahahah dah naomba niishie hapa..

Ana kiwango cha juu sana cha utoto! Nahaya ndo yanaharibu maendeleo ya nchi yetu, badae utakuta naye analamba uteuzi eti ni Barozi, DC, au Mkurugenzi..atakumbana na wataalam wa Manispaa huko watamzingua hataamini macho yake, midomo kama kapaliwa!
 
Back
Top Bottom