Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

Aliyeasisi tabia hii ndiye inamrudia sasa.
Ukiua kwa upanga,nawe utakufa kwa upanga.
Tabia mbaya ni mbaya tuikemee bila kujali aliyeasisi.

Halafu Mambo ya kuuana kwa mapanga ni mambo ya kizamani.
Sikuhizi unatumiwa kasumu au kavirus au karisasi ka moyo, ubongo n.k.
 
..anawalaumu Dr.Mahiga, na Dr.Kabudi, kwamba walikuwa hawana uzoefu, na walikuwa hawamshauri vizuri Raisi, hivyo kupelekea mahusiano yetu ya Kidiplomasia kuharibika.
Anamzungumzia Kabudi..Mahiga alikua mzoefu
 
Hii imenifanya nikumbuke mzee wa diplomasia ya kukaza mimacho [emoji23]
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
 
Tanzania imerudi kwenye chat yake? alikuwa wapi wakati wa awamu ya tano? nimeamini ni kweli wanasiasa wa Afrika huangalia wapi ugali upo na sio wapi ugali unapatikana
 
Uzuri watoto wa Hasani wamesema watu wanaojipendekeza kwao ni sumu bora wakosoaji
Dr voice
 
Huyo ni mjumbe ,ameanza kufanya yake kwa mama samia,na matokeo ni 2025.
Ccm ina mambo
 
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Unazani huyuu anaweza kumsifia mgalatia?? Ni muda wao sasa...kuharibu nchi na kuifanya kilinge cha kahawaaa
 
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Naona huyu ni msahaulifu. Hivi hajui kuwa Dr Mahiga alikuwa mwanadiplomasia mahiri kwa miaka mingi tangu ujana wake!
 
Back
Top Bottom