Kwa hiyo Rais naye hakumuona au na Rais naye hakuwa na uzoefu?View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
View attachment 2003271

Wakae wakijua kuwa wanakula jasho la JPM bila yeye CCM isingekuwepo wanaomsema vibaya JPM wanajijengea mazingira magumu mbeleniHawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Huyo ni zaidi ya Chawa atakuwa KUNGUNIHuyu jamaa ateliwe nafasi ya juu zaidi maana anaonekana kuwa na PhD ya kujipendekeza kwa kiwango cha SGR
nimejaribu ku google hata kupata CVyake inayoweza angalau kumchallenge Professor wa sheriaHuyu jamaa ateliwe nafasi ya juu zaidi maana anaonekana kuwa na PhD ya kujipendekeza kwa kiwango cha SGR
Watajua hawajui..JK 2015 chama kilitaka kumfia mikononi. Ndio maana baada ya uchaguzi alienda kujificha msoga akiamini mjini akionekana atapopolewa mawe. Safari hii wakichakachua na watu wamejaa uelewa sijui watajificha wapi.Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Dikteta wenu ndio aliharibu taswira ya Chama chetuHawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Umeshaleta kiumbe kipya duniani?Hivi JK,Membe na Dr.Migiro walipata wapi uzoefu kabla ya kuwa mawaziri wa mambo ya nje?
Aliyeasisi tabia hii ndiye inamrudia sasa.Awamu ya 5 kuna watu waliponda maraisi waliopita.
Tuipinge sana hii kitu sababu ikiendelea haina afya kwa nchi na chama....
Naona inaendelea.