Awamu ya 5 kuna watu waliponda maraisi waliopita.
Tuipinge sana hii kitu sababu ikiendelea haina afya kwa nchi na chama....
Naona inaendelea.
Tabia mbaya ni mbaya tuikemee bila kujali aliyeasisi.Aliyeasisi tabia hii ndiye inamrudia sasa.
Ukiua kwa upanga,nawe utakufa kwa upanga.
Kwa nchi ni mbaya zaidi sababu wenye mahaba na asemwaye wanapata hasira.Kwa chama sawa, ila kwa nchi hapana
Kuongea ukweli ndio kujipendekeza.Huyu jamaa ateliwe nafasi ya juu zaidi maana anaonekana kuwa na PhD ya kujipendekeza kwa kiwango cha SGR
Sipati picha after samia achukue pro magu hawahawa jamaa watapiga U-turn ya maneno hatariWakae wakijua kuwa wanakula jasho la JPM bila yeye CCM isingekuwepo wanaomsema vibaya JPM wanajijengea mazingira magumu mbeleni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Anamzungumzia Kabudi..Mahiga alikua mzoefu..anawalaumu Dr.Mahiga, na Dr.Kabudi, kwamba walikuwa hawana uzoefu, na walikuwa hawamshauri vizuri Raisi, hivyo kupelekea mahusiano yetu ya Kidiplomasia kuharibika.
View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Shukrani ya punda siku zote ni mateke....nasema endeleeni kumsema na kumbeza ...mtajua hamjui naomba niishie hapo.Dikteta wenu ndio aliharibu taswira ya Chama chetu
Anamzungumzia Kabudi..Mahiga alikua mzoefu
Kwa nchi ni mbaya zaidi sababu wenye mahaba na asemwaye wanapata hasira.
Rais wa wakati huo nae alikuwa kiazi kwenye mambo ya njeKwa hiyo Rais naye hakumuona au na Rais naye hakuwa na uzoefu?
Unazani huyuu anaweza kumsifia mgalatia?? Ni muda wao sasa...kuharibu nchi na kuifanya kilinge cha kahawaaaView attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Mbowe ni suala la kimahakama na hajawahi kuwa raisi wa nchi.Kuna watu wana mahaba na Mbowe pia.
Naona huyu ni msahaulifu. Hivi hajui kuwa Dr Mahiga alikuwa mwanadiplomasia mahiri kwa miaka mingi tangu ujana wake!View attachment 2003271