ccm bwana dogo anazunguka zunguka tu wakati swali liko wazi.View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Kama anasemwa nyerere y not JPM... Ukishashika nafasi ya umma utasemwa hata ukiwa kaburini wala haina Maan JPM ni mungu asisemwe wala alikua perfectHawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Kilitaka kumfia ndio maana Jiwe akaja na mpango wa kunyonga watu na kunywa damu ili kukiokoaWatajua hawajui..JK 2015 chama kilitaka kumfia mikononi. Ndio maana baada ya uchaguzi alienda kujificha msoga akiamini mjini akionekana atapopolewa mawe. Safari hii wakichakachua na watu wamejaa uelewa sijui watajificha wapi.
CCM isingekuepo bila JPM kivipi[emoji23][emoji23]Wakae wakijua kuwa wanakula jasho la JPM bila yeye CCM isingekuwepo wanaomsema vibaya JPM wanajijengea mazingira magumu mbeleni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa wakipata hasira ndo watafanyaje.. JK alitukanwa Hao walionamahaba nae hasira ziliwafikisha wapiKwa nchi ni mbaya zaidi sababu wenye mahaba na asemwaye wanapata hasira.
Mtu amekiri mwenyewe kuwa ameokotwa majalalani uzoefu wa diplomasia angeupata wapi? Tatizo lilikuwa liko kwa mteuzi mwenyewe.View attachment 2003271
Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema hivi sasa Tanzania imerudi katika chati yake baada ya kuingia katika awamu ya sita. Ndugu Kubecha alisema hayo katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV
Mkuu hii ni siasa kama alisemwa Nyerere ambae alikiasisi Chama na baba wa Taifa sembuse magufuliShukrani ya punda siku zote ni mateke....nasema endeleeni kumsema na kumbeza ...mtajua hamjui naomba niishie hapo.
Dikteta uchwara aliharibu sana katika eneo la utawala Bora. Ngoja wamchane tuHawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Hakuna lolote Polisi na kura za kwenye mabegi zitatumika tenaWakae wakijua kuwa wanakula jasho la JPM bila yeye CCM isingekuwepo wanaomsema vibaya JPM wanajijengea mazingira magumu mbeleni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Teeh teeh.Hii imenifanya nikumbuke mzee wa diplomasia ya kukaza mimacho [emoji23]
Mbona we hujanyongwa?Kilitaka kumfia ndio maana Jiwe akaja na mpango wa kunyonga watu na kunywa damu ili kukiokoa
Wakipatwa na hasira hawatashirikiana na serikali mitandaoni. Watakuwa pinga pinga na ss tunataka kupunguza pingapinga. Kumponda hakuna afya kwetu.Sasa wakipata hasira ndo watafanyaje.. JK alitukanwa Hao walionamahaba nae hasira ziliwafikisha wapi
Hawa wanachama uchwara wakiachwa waendelee kumsema JPM huko mbeleni chama kitapata tabu sana.
Wakae wakijua JPM alikuwa ni mtu na nusu ...
Mkuu, hahahahahahahhahahahahajajTeeh teeh.
Zee linawatolea mimacho mabeberu na kuwatisha uku akiongea kwa hasira na kufoka.
Mimate kama yote.
Daah nchi ilipata viongozi wa ajabu sana.
aiseee, CCM hii sina hamu nayo.wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu.
Anamsema mzee wa jalalani? na juisi feki?View attachment 2003271