Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Nyerere alisema kataa kua Jiwe...

Jiwe akasema yeye ni Jiwe....
 
kama kichaa ndio anakuwa bora kuliko marais wengine bora tutawaliwe na vichaa kichaa wetu kafanya mengi makubwa kuliko rais yoyote kumbe kichaa ni bora kuliko mtu mzima anaeruhusu wauza unga na ufisadi
Mengi makubwa yapi aliyoyafanya ambayo wazima walishindwa?

Watu mmejazwa ujinga hata hamtafakari. Hakuna hata kitu kimoja ambacho marehemu amefanya ambacho watangulizi wake hawakufanya, ila kuna mengi makubwa mazuri yaliyofanywa na watangulizi wake, marehemu hakuyafanya. Hata hivyo hatumlaumu kwa nini hakufanya maana hakuna ayakayefanya yote.

Marehemu analaumiwa kwa uovu na kuharibu baadhi ya mazuri ya watangulizi wake, mauaji, utekaji watu, kugandamiza demokrasia na kubaka uhuru wa watu, uhuru wa vyombo vya habari, na kuongoza nchi kwa ulaghai na uwongo, na hivyo kuwafanya wajinga wazidi kuwa wajinga zaidi kwa malengo ya kupata sifa.
 
Mke wake aliulizwa mumewe akiwa bado hajateuliwa kuwa mgombea, akiwa tu amejaza fomu, kuwa anamuonaje mumewe kama akiteuliwa kuwa mgombea? Naye alijibu, hafai hafai kabisa, tena namwona muda mwingine hayupo sawasawa.
 
Mke wake aliulizwa mumewe akiwa bado hajateuliwa kuwa mgombea, akiwa tu amejaza fomu, kuwa anamuonaje mumewe kama akiteuliwa kuwa mgombea? Naye alijibu, hafai hafai kabisa, tena namwona muda mwingine hayupo sawasawa.
Hahahaha, mkuu hii umetia chogi 😃😃😃😃😃😃 jamaa so angemrukia vichwa mpaka afe 😃
 
... itoshe tu kusema alikuwa mwehu! Unajua hata sheria za ndoa ikigundulika mmoja wa wanandoa ana matatizo ya akili hamna ndoa. Sembuse nafasi kubwa kitaifa!
 
Na wewe kichwa yako haiko vizuri!
 
Huyu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…