Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Nyerere alisema kataa kua Jiwe...

Jiwe akasema yeye ni Jiwe....
 
kama kichaa ndio anakuwa bora kuliko marais wengine bora tutawaliwe na vichaa kichaa wetu kafanya mengi makubwa kuliko rais yoyote kumbe kichaa ni bora kuliko mtu mzima anaeruhusu wauza unga na ufisadi
Mengi makubwa yapi aliyoyafanya ambayo wazima walishindwa?

Watu mmejazwa ujinga hata hamtafakari. Hakuna hata kitu kimoja ambacho marehemu amefanya ambacho watangulizi wake hawakufanya, ila kuna mengi makubwa mazuri yaliyofanywa na watangulizi wake, marehemu hakuyafanya. Hata hivyo hatumlaumu kwa nini hakufanya maana hakuna ayakayefanya yote.

Marehemu analaumiwa kwa uovu na kuharibu baadhi ya mazuri ya watangulizi wake, mauaji, utekaji watu, kugandamiza demokrasia na kubaka uhuru wa watu, uhuru wa vyombo vya habari, na kuongoza nchi kwa ulaghai na uwongo, na hivyo kuwafanya wajinga wazidi kuwa wajinga zaidi kwa malengo ya kupata sifa.
 
Kuna wakati alikuwa akiongea unaona kabisa huyu sio mtu mwenye akili za kawaida kwa level yake.

Niliwahi kuuliza kama anatumia kilevi nikaambiwa hatumii basi niliona kama alivyosema Mwenyekiti [emoji2]

Only mkewe ataconfirm na ninaamini ameona mengi atakuja kutueleza tu maana ile kichwa sio sawa kabisa
Mke wake aliulizwa mumewe akiwa bado hajateuliwa kuwa mgombea, akiwa tu amejaza fomu, kuwa anamuonaje mumewe kama akiteuliwa kuwa mgombea? Naye alijibu, hafai hafai kabisa, tena namwona muda mwingine hayupo sawasawa.
 
Mke wake aliulizwa mumewe akiwa bado hajateuliwa kuwa mgombea, akiwa tu amejaza fomu, kuwa anamuonaje mumewe kama akiteuliwa kuwa mgombea? Naye alijibu, hafai hafai kabisa, tena namwona muda mwingine hayupo sawasawa.
Hahahaha, mkuu hii umetia chogi 😃😃😃😃😃😃 jamaa so angemrukia vichwa mpaka afe 😃
 
... itoshe tu kusema alikuwa mwehu! Unajua hata sheria za ndoa ikigundulika mmoja wa wanandoa ana matatizo ya akili hamna ndoa. Sembuse nafasi kubwa kitaifa!
 
Vichaa wapo kila mahali mkuu, hata CHADEMA hawajawahi kujenga shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu nyingi kuthibitisha uongo sio sawa. Kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
Na wewe kichwa yako haiko vizuri!
 
Dialo wanamuonea tu
IMG-20210711-WA0009.jpg
 
Sijawahi kumwelewa.

Anakula pushup huku anaishi kwa remote.

Anasema mabeberu, vita vya uchumi huku anawakaribisha mabalozi ambao ni wazungu(mabeberu ilikuwa lugha ngumu sana)

Hata checkup ya afya yake alishindwa kwa kuwa na element za ubeberu.

Anatumia simu ambayo teknolojia wameshika hao mabeberu.

Sikumuelewa na sitamuelewa.
Huyu hapa
IMG-20210711-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom