Waliokuwa karibu na familia wanajua hali iliyokuwepo, ndiyo maana wengine waliichukulia kauli ya mama, labda ilichangiwa na mahusiano yao. Tuishie tu hapo.Hahahaha, mkuu hii umetia chogi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jamaa so angemrukia vichwa mpaka afe [emoji2]
Hivi ni nani yule alikuwa anawafananisha Lissu na Magufuli kwa tabia zao? Hawa jamaa wawili wanatofautishwa kwa tofauti ndogo sana.
Labda kwa mwili ila kwa matendo hawatofautiani sana, watu wengi wana magonjwa ya akili sema hawajui.Usimfananishe Lissu na kichaa
Lazima umpende mwehu mwenzakoVichaa wapo kila mahali mkuu, hata CHADEMA hawajawahi kujenga shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu nyingi kuthibitisha uongo sio sawa. Kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
Kumtetea kichaa tu ni ukichaa..kama kichaa ndio anakuwa bora kuliko marais wengine bora tutawaliwe na vichaa kichaa wetu kafanya mengi makubwa kuliko rais yoyote kumbe kichaa ni bora kuliko mtu mzima anaeruhusu wauza unga na ufisadi
Kauli za kigasho hizi, unless wewe ni she. Inaitwaje mwanaume mwenzio hivyo au umekuwa juma lokole?Wivu tu Magufuli alikuwa baba lao.
ππππKauli za kigasho hizi, unless wewe ni she. Inaitwaje mwanaume mwenzio hivyo au umekuwa juma lokole?
Lazima umpende mwehu mwenzako
Lazima umpende mwehu mwenzako
Nchi hii haijawahi kupata mpigaji kama huyo kichaa!!Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Mwehu anaweza kuwa real? Mtu alipewaga zawadi ya jogoo, nae akasema atamtoa mama yake awe zawadi kwa jamaaNi kwel kwani JPM alikuwa real sana sema tu alizungukwa na fake people kama wewe.
Kwa afya yake hakustahili kupewa majukumu makubwa kama Yale ilifaa apate mda mwingi wa kupumzikaSijawahi kumwelewa.
Anakula pushup huku anaishi kwa remote.
Anasema mabeberu, vita vya uchumi huku anawakaribisha mabalozi ambao ni wazungu(mabeberu ilikuwa lugha ngumu sana)
Hata checkup ya afya yake alishindwa kwa kuwa na element za ubeberu.
Anatumia simu ambayo teknolojia wameshika hao mabeberu.
Sikumuelewa na sitamuelewa.