Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Japo alishawahi kukiri ana ukichaa fulani, wengi tumepigwa na butwaa kwa kauli za kutema nyongo Kanda ya Ziwa

Hahahaha, mkuu hii umetia chogi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jamaa so angemrukia vichwa mpaka afe [emoji2]
Waliokuwa karibu na familia wanajua hali iliyokuwepo, ndiyo maana wengine waliichukulia kauli ya mama, labda ilichangiwa na mahusiano yao. Tuishie tu hapo.

Itoshe tu kusema marehemu alikuwa na tatizo la kiafya. Ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Wenye makosa makubwa ni wale walioruhusu mtu mwenye hali hiyo kupewa nafasi ya juu kabisa, huku akiwa hana mtu wa kumdhibiti juu yake.
 
Hivi ni nani yule alikuwa anawafananisha Lissu na Magufuli kwa tabia zao? Hawa jamaa wawili wanatofautishwa kwa tofauti ndogo sana.
 
Diallo alikuwa mpigaji sana na mwizi....jamaa hajawahi kulipa ushuru miaka yote anafanya biashara.
 
Vichaa wapo kila mahali mkuu, hata CHADEMA hawajawahi kujenga shule, zahanati, hospitali wala barabara lakini siku moja wanataka washike dola. Huu ni ukichaa pia. Anyway mwache mzee wa watu usitumie nguvu nyingi kuthibitisha uongo sio sawa. Kama nyie mlikuwa mnamchukia mimi nilikuwa nampenda sana.
Lazima umpende mwehu mwenzako
 
kama kichaa ndio anakuwa bora kuliko marais wengine bora tutawaliwe na vichaa kichaa wetu kafanya mengi makubwa kuliko rais yoyote kumbe kichaa ni bora kuliko mtu mzima anaeruhusu wauza unga na ufisadi
Kumtetea kichaa tu ni ukichaa..
 
Kama walimjua kichaa why wamkabidhi kile kiti? Kinachoendelea sasa wapigaji wanatuandaa kisaikolojia tujue jamaa hakua sawa kwa kila kitu ili waendelee na mambo yao ya upigaji ambayo jamaa alikua kikwazo kikubwa.
Nchi hii haijawahi kupata mpigaji kama huyo kichaa!!
 
Ni kwel kwani JPM alikuwa real sana sema tu alizungukwa na fake people kama wewe.
Mwehu anaweza kuwa real? Mtu alipewaga zawadi ya jogoo, nae akasema atamtoa mama yake awe zawadi kwa jamaa
 
Sijawahi kumwelewa.

Anakula pushup huku anaishi kwa remote.

Anasema mabeberu, vita vya uchumi huku anawakaribisha mabalozi ambao ni wazungu(mabeberu ilikuwa lugha ngumu sana)

Hata checkup ya afya yake alishindwa kwa kuwa na element za ubeberu.

Anatumia simu ambayo teknolojia wameshika hao mabeberu.

Sikumuelewa na sitamuelewa.
Kwa afya yake hakustahili kupewa majukumu makubwa kama Yale ilifaa apate mda mwingi wa kupumzika
 
Back
Top Bottom