Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Wenye nchi yao !! Well let's wait and hope for the better to come !! Maana nasikia wapo pia wenye chama chao !! Karma is a bitch ! Yetu macho na masikio !!
Wenye chama Sio wenye nchi!japo chama kinaaminisha watu kuwa wenye chama ndio wenye nchi kitu ambacho sio KWELI!!ukihatarisha mstakabali wa nchi na kupitia kwenye hatari yoyote ile wenye wana act immediately bila kujali unavaa Bendera shingoni kama Madeluu!!
 
Huwa mnaandika kana kwamba viongozi wenu ni watu wenye akili mithiri ya Bibi,Benjamin Netanyahu,viongozi wa hapa hawana hiyo akili ambayo huwa mnawapa.Kama wangekuwa na hiyo akili Magufuli asingepata hata ubunge.Wale ni watu wa matumbo na kukurupuka tu.Akili mnayowapa hawana.
 
Chama Sio mwisho wala kilele cha nguvu nchini!!nakuonya !wapo wenye nguvu wasio onekana!!wenye nchi yao!!Trust me maamuzi ya Mama kum eliminate kisasa pole pole ku m cost uraisi wake!!!Note this comment my friend!!
Mku elezea ili tufaidi kwani sioni Impact yoyoye kutoka kwa Polepole kumbuka Urais ni Tasisi iliyojichimbia zaida.
 
Mayala aka Njaa in voice of late Pombe Joseph Magufuli.Mimi binafisi sikubaliani na wewe kwa sababu zifuatazo
1.Mfumo wa CCM hauruhusu Wala kusapoti ulichokiandika kwani mfumo wa CCM unampa mwenyekiti mamlaka na pawa kubwa ya kuweza kuamua hatima ya mtu yeyote ndani ya Chama na serikali.
Kuna watu wachache wasio waelewa wa mambo wanaofikilia Pole pole alipaswa kukataa kwenda kuwa Balozi kisa ubalozi muda wowote unatenguliwa ila Ubunge no.Hawa watu wanaota ndoto ya mchana kwani kwa Katiba yetu ya nchi hata Ubunge unatenguliwa tu tena kihalali kabisa kwa kufukuzwa uanachama wa Chama Chako.Kwangu Mimi pole pole amechagua njia sahihi kukubali uteuzi.
2.Pole pole hana sifa unazompa kwani yeye hajawahi kuwa mfuasi wa Ideology ya CCM bali alikuwa mfuasi wa mtu ndani ya Chama.Alikuwa mfuasi wa hayati Dr.John Pombe Joseph Magufuli.Wakiasisi siasa za hovyo za malumbano,kupora ushindi wa wapinzani na kutunishia misuli kwa ujumla zilikuwa siasa za kinafiki na ghiliba.Polepole, Bashiru na Hayati JPM kifupi walianzisha biashara ya kununua viongozi wa upinzani ili serikali ya wakati huoya hayati JPM ionekane inaungwa mkono huu haukuwa mwenendo sahihi. Kwa kuwa alikuwa mfuasi wa hayati JPM aliendeleza ufuasi kwa mtu ambaye hayupo.
3.Kwenye hili anayepaswa kusifiwa ni Rais wa sasa SSH kwa kudeali na huyu mtu kwa hakili ingekuwa enzi za hayati JPM huyu angetekwa na kadhalika rejea yaliyomkuta Nape Nnauye enzi hizo.
Mwisho tutafakari kati ya Nape Nnauye na Pole pole nani anaijua CCM zaidi na nini kiliwatokea wote wawili ktk nyakati tofauti tofauti.
#Hongera Rais wetu mama Samiah Suluhu Hassan kwa kuendelea kuliponya taifa letu# Kazi iendelee.
 
Wenye chama Sio wenye nchi!japo chama kinaaminisha watu kuwa wenye chama ndio wenye nchi kitu ambacho sio KWELI!!ukihatarisha mstakabali wa nchi na kupitia kwenye hatari yoyote ile wenye wana act immediately bila kujali unavaa Bendera shingoni kama Madeluu!!
Sio tanzania hii ebu amka kijana na uache kuota ndoto za mchana,
Unawaza kama uko france 😁,
Bongo hii wat flani flani kwenye chama na serikali ndo final say,
Hakuna mwenye nchi tena narudia tena acha kuwaza kama upo uswisi hii bongo bana
 
You nailed it

Duh !
 
Kama ni hivyo Mwendazake asingezinguliwa kabisa!!wenye nchi wapo na Hata mimi wananijua vilivyo BILA kujali natumia feki I'd humu jf!!
 
Kama ni hivyo Mwendazake asingezinguliwa kabisa!!wenye nchi wapo na Hata mimi wananijua vilivyo BILA kujali natumia feki I'd humu jf!!
Acha kujidanganya mkuu,
Ina maana hujui alichozingua mwendazake,...
Matajari wakubwa wa nchi hii ni ma ccm wote,,
Na ccm ndo alfa na omega hakuna wenye nchi zaid ya ccm,
Hiko ndo alichozingua mwendazake,
Angeenda nao sawa angedunda t ad leo.
Hakuna anaekujali wala kukuzingatia wewe kama mambo yao yanaenda sawa.
Mwendazake alikua anawa nyoosha sana
 
Inafikirisha !!
 
Mtu asiyesimamia msimamo wake ni kibaraka wa fikra za wengine na huyo Polepole ndivyo amajipambanua na mwenzake Bashiru baada ya Kutupa agenda iliyowabeba ya Katiba Mpya Tanzania (Katiba pendekezwa ya Jaji Warioba). Hawa ni watu wa kupuuzwa
 
Wanabodi,
CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili tuu kuhalalisha.

Sasa tunapoelekea kwenye uchaguzi, mambo yote ni CCM na ngoma yote ni jinsi ya kupata uteuzi kupitia CCM, ili mtu uteuliwe kuwa mgombea wa CCM ni lazima moja ya mambo matano haya yakuhusu zaidi ya kuwa na sifa na vigezo...
  1. Uwe na good track record ya utendaji uliotukuka
  2. Uonyeshe uwezo wa kukikisaidia chama na kuisaidia nchi
  3. Uonyeshe uwezo wa kujenga hoja na kujieleza ili kundi CCM
  4. Uwe na powerful godfather atakaye ku back up kwenye vikao vya uteuzi
  5. Uwe na kisu kujali, hivyo kila penye uzia wewe unapenyeza rupia.
Sasa ndani ya CCM kuna viongozi wengi wenye nyadhifa, madaraka na mamlaka, kwenye power hierarchy ya ukubwa, mamlaka, madaraka na powers kutokea juu iko kama ifuatavyo
  1. Mweyekiti,
  2. M/Mwenyekiti Bara,
  3. M/Mwenyekiti Zanzibar
  4. Katibu Mkuu,
  5. Naibu Katibu Mkuu Bara
  6. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
  7. Katibu Mwenezi
  8. Wajumbe wa Secretariat
  9. Wajumbe wa CC
  10. Wajumbe wa NEC
  11. Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa.
Hiyo ndio power axis ya CCM

Sasa kati ya No.1-7, powers ziko vested kwa individuals, ila nimetokea tuu kati ya hao watu 7 ambao ndio power axis ya CCM, miongoni mwao kuna watu wana real powers na vested powers, real powers ni wale wenye nguvu from within, hizi powers za mtu zilizo ndani yake, na vested powers ni powers za mtu kutokana na nafasi yake, cheo chake au wadhifa wake, hivyo unakuwa mtu ana cheo kikubwa chenye madaraka na mamlaka lakini hana real powers from within.

Ndani ya wale top 7 wa CCM interns of vyeo, wadhifa na madaraka, Humphrey Polepole ndio wa mwisho!, but in terms of powers from within, kwa my opinion, Humphrey Polepole ni miongoni mwa the top 3 most powerful people ndani ya CCM kwa powers from within!.

Japo Humphrey Polepole ni very simple, mnyenyekevu, very humble and down to earth na akiongea, anaonekana very weak kutokana na kuwa na soft spoken voice, huwa anaongea kwa sauti ya chini bila ku shout kama sauti ya unyonge vile, but amini usiamini, this is where real powers of persuasion lies!.

Namna pekee ya kujua where real powers lies, lazima uwe na jicho la tatu la kumsikiliza mtu, na kuweza kusimsikia in between the lines, yaani mtu anapoongea Luna mambo anayaongea na katika kuongea huko, kuna mambo anakuwa anayajua lakini hajayaongea, hivyo kupitia jicho la tatu na sikio la tatu, utaisikia sauti ndani yako, " the voices from within" ambayo itakuambia yale ambayo mzungumzaji huyo anayajua lakini hajayasema.

Mimi nilimsikiliza Humphrey Polepole hapa katika tukio hili

Nilipomsikiliza ndipo nikabaini this is very Powerful person.

Kuhusu Polepole kuwa Powerful haina mashaka, bali nilibaki na maswali kuhusu what is the source of his powers.

Leo kupitia kipindi cha Sunday Worship kinachorushwa live na Wasafi TV, kila siku za Jumapili asubuhi, Jumapili ya leo, Mgeni mwalikwa ni Humphrey Polepole, kiukweli baada ya kumsikiliza leo Humphrey Polepole, ndipo sasa nimeelewa source of his powers!.

Kama kuna mtu anataka ku lobby chochote kutoka CCM na serikalini, then the man to look for is Humphrey Polepole.

Hivyo siku ile nilipopandisha bandiko hili

Nikawaambia kuwa namtafuta Humphrey Polepole, nadhani baada ya bandiko hili, sasa ndio mtaelewa ni kwanini namtafuta Polepole!.
Bado namtafuta, nasubiria Corona itangazwe rasmi kuwa imekwisha Tanzania, hivyo kazi ya kumtafuta Polepole iendelee.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali.
Huyu ana uwezo Mkubwa Sana ukilinganisha na wahuni. Ndio hazina ya nchi ila wahuni wapenda kiki wanaopata uongozi kwa namna ya kimapokeo toka kwa wazazi wao waliokuwa viongozi ndio wanaomchukia huyu dogo
 
Mku elezea ili tufaidi kwani sioni Impact yoyoye kutoka kwa Polepole kumbuka Urais ni Tasisi iliyojichimbia zaida.
Ndugai na Pole pole wamejitahidi kufikisha ujumbe FULANI KWA mama!shule ya uongozi ililenga kumwambia mama asiwe kama tv ya kubadilishia chanel na mwenye remote ALIEKAA nyumbani kwake kule msoga!!Ndugai kuhusu mikopo na kusua sua kuhamia Dodoma na shughuli ZOTE za kiserikali alilenga kumtahadharisha mama kuwa wenye nchi walimwambia ikulu ya Dar iwe jumba la makumbusho Dom ndio Mpango MZIMA!!mikopo Mama aliambiwa asikope coz Deni la Taifa limepaa MNO lakini hakusikia!!jiulize uke ujasiri wa kumkosoa Mwenyekiti wa chama na kumfundisha uongozi walitoa wapi!!!???walitumwa na wenye nchi waseme yale YOTE!tusubiri!!
 
Acha kujidanganya mkuu,
Ina maana hujui alichozingua mwendazake,...
Matajari wakubwa wa nchi hii ni ma ccm wote,,
Na ccm ndo alfa na omega hakuna wenye nchi zaid ya ccm,
Hiko ndo alichozingua mwendazake,
Angeenda nao sawa angedunda t ad leo.
Hakuna anaekujali wala kukuzingatia wewe kama mambo yao yanaenda sawa.
Mwendazake alikua anawa nyoosha sana
Mkuu hapana KABISA kuwa eti jpm alizinguliwa na matajiri ya ccm hapana nakukatalia!!alihatarisha usalama wa NCHI kimataifa kwa kuzinguana na wahisani wafadhili!!pia kuua demokrasia nchini!!wala the state hawakuumizwa na mbinyo wa kodi Halali kwa biashara za matajiri zaidi Sana ya uonevu wake wa watu hapa nchini hasa wanaomkosoa!!!Tumia akili anasema the state haina individual feelings towards somebody bali maslahi ya taifa tu kwamba ukizingua una be eliminated no matter what!!mwendazake alihatarisha usalama wa NCHI kimataifa ambapo tungetengwa rasmi na uchumi kuanguka vibaya na pia jamaa alitaka abadili katiba inayomfeva YEYE!!!wala SIO eti wanaccm wenye chama au nini ni the state ambao wao hawana chama KABISA wako loyal to the nation!!!
 
Nasikitika sana Jembe letu linakwenda malawi wakati wahuni hawajaisha.

Sasa hii kazi ya kuchochea kuni mbichi nani atatusaidia ?

Polepole umetusaliti ..tulikubaliana ni kuni mbichi hadi waishe sasa imekuwaje tena chief?
 
Mkuu iangalie picha aliopiga na mama mara Baada ya kuapishwa!!ile picha akicheka ina maana amemaliza kazi yake na kapewa go ahead na waliomtuma na hana wasiwasi anajua jambo ambalo Mama hajui!!!Mwenye wasiwasi hadi sasa ni mama na SIO pole pole!!usijali !!jamaa mission done and dusted!!
 
Humpley Pole Pole is genius. Wenye akili tunaona hivyo.
Term "genius" mna chukulia hilo neno kirahis rahis tu.
Hiyo term ni reserved for exceptional individuals ambao wameifanyia dunia wonders na wakaleta positive change ambazo mpaka leo tuna apply kwenye maisha ya kila siku.

Sio easy to buy politician unamwita genius? Sorry unajiita mwenye akili? I doupt it
 
Back
Top Bottom