Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Mnaongea kama vile mnazo za kwenye carpet ! Au ndo guess work tu ? !!
 
Nimeseme Mayalla wa Zamani kabla ya Magufuli alikuwa na uwezo mkubwa mno, but now dah. Polepole hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. CCM wanapeana tu vyeo kufurahishana kwa gharama za maskini.
 
Jamaa ni something else kama usipo muangalia kwa jicho la kisiasa tuu ... kwa waliomfaham vizuri watakuambia isipokua tu wale aliowazibia interests zao ... nimekaa nae viungani pale Lumumba ni kati ya inner circle iliyokua inatabiriwa kurithi kijiti endapo mwendazake angemaliza salama terms zake !
Yeye,Bashiru,Na Hussein Mwinyi !
 
At least you have a third eye!!unafikiri yeye ni nani hasa hadi ashirikiane na Warioba kukusanya maoni ya wananchi kwenye ile katiba Mpya!!?kwanini asiwe Chenge au wanasheria wengine mashuhuri nchini!!??mchakato na ajenda ya katiba Mpya ni Msukumo wa the State wala sio wanaccm wala jk!!Ndio màana Mbowe nae alipush ajenda ile ile hadi kesi ya ugaidi na yeye pia ni Yule yule!!na lazima katiba ipatikane kabla ya 2025 kama Mama hataki watamweka anaetakiwa kukamilisha mchakato huo!!!wanaccm hawaitaki katiba coz katiba iliyopo ina wafeva wenye chama kulea ufisadi na mimi kama wasemavyo wenyewe Kuwa chama kina wenyewe!!
 
zitto junior
 
zitto junior
 
Power is temporary my friend, kwani Bashite hakua na power kama hiyo? Hivi Polepole alikua na nguvu kuliko Bashite? Ila Leo hii Bashite yukowapi? Mtu kupewa wasaidizi wengi au kuwa na power haimaanishi ana influence Bali MAMLAKA. Yakiondolewa hizo connection zote zinakatwa in fact mpaka password zinabadilishwa na hutoweza access taarifa yoyote Tena.
 

Punguza ujuaji mzee
 
Hvi bashite ni wapi amewahi kua na nguvu ndani ya chama na serikali kumzidi polepole, au unaongelea ulopokaji?
 
Punguza ujuaji mzee
Sasa ambacho huelewi hapo ni mini,Serikali huku hamna Mkubwa wala mdogo-kila kitu kinatokea kwa sababu unaweza ukapewa Mamlaka na ukatafasiriwa na jamiii kama MTU muhimu na muda tena unaweza kuondolewa mamlaka hayo na ukawa wa kawaida haijalishi wewe una uwezo gani kichwani au kimali.
Hata huyo SAMIA unaye muona top kuna watu wakiamua anarudi Makunduchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…