Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Hvi bashite ni wapi amewahi kua na nguvu ndani ya chama na serikali kumzidi polepole, au unaongelea ulopokaji?
Bashite alikuwa na power kuliko polepole kwa kuwa alikuwa mtoto pendwa kwa Magufuli.
Ukirudi power za kimajukumu,nafasi ya Bashite ya Ukuu wa Mikoa ni powerful kuliko ya Uenezi wa Chama.
 
Hvi bashite ni wapi amewahi kua na nguvu ndani ya chama na serikali kumzidi polepole, au unaongelea ulopokaji?
Aaah acha utani mkuu, hivi si ndio huyu Makonda alikua untouchable anadhalilsha watu kwenye media, mara avamie studios, mara atukane bunge ila hachukuliwi hatua but Polepole hakua na status hiyo ya kufanya anachotaka aachwe!
 
Huyu Pole Pole tofauti na bashite labda mwenyezi mungu amchukue.

Kama uamini sawa, baki na ubishi
 
Unatia huruma sana, Paskali! Tangu zama zile mpaka sasa unasifu tu na bado teuzi zinakupita kando, hujachoka tu!!! Duh.....aisee!!!
 
Membe sio afisa kipenyo? Si alikua DG kabisa, vipi ana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania?
Membe ajawahi kuwa DG isipokuwa alikuwa ni senior tu kama NDAPI, MZEE SAD, hayati lyatonga etc

Kuna watu wapo kwenye vyama vyetu,NGOs,ikifika muda wa kupangiwa kazi wanafanya wewe ukiamini mwenzako.
 
Sijakataa Polepole is smart tokea namuona Tume ya warioba ila Kwa siasa zetu kila kiongozi akiingia anafanya reshuffle ya inner circle so hata uwe system, Rais asipokutaka utapotezwa tu.
Mbona ajapotezwa?
 
hakika siku ile kwenye kipindi cha Sunday worship binafsi pia niliona H Polepole sio wa kawaida ana nguvu na nguvu zake zinatoka juu kwa muumba
 
Mbona ajapotezwa?
Subiri 2025.... Kwani Makonda Yuko wapi? Si Hadi watu walisema anafaa kumrithi JPM 2025!! Leo 90% wameshamsahau. Sabaya ndio kapotezwa... Bashiru naye kaminywa kakaa kimya. Ndugai akijaribu kufurukuta kazikwa kisiasa na Mpina akijaribu kujitutumua akakatwa uNEC mkoa na kitaifa kaishia kumsifia Mama Samia Ili ahurumiwe!!

Madaraka hayana mwenyewe
 
Membe ajawahi kuwa DG isipokuwa alikuwa ni senior tu kama NDAPI, MZEE SAD, hayati lyatonga etc

Kuna watu wapo kwenye vyama vyetu,NGOs,ikifika muda wa kupangiwa kazi wanafanya wewe ukiamini mwenzako.
Lakini TISS pia Kuna siasa, Kuna fitna, Kuna makundi, double agents, n.k usidhani wote Wana mindset Moja. Ndio maana kina kigogo waliibuka enzi za JPM na ghafla wamerudi CCM, au kina chahali wakakimbilia ughaibuni n.k. so hata TISS ni hivyo hivyo.
 
Kwa hilo uliosema nakubaliana na wewe mkuu ila nilichokuwa nakieleza kuhusu Polepole tusimchukulie wa kawaida kisa alikuwa mwenezi chama tawala.
 
Watu watake, wasitake lazima Pole2 awe rais wa JMT. Hata kama yeye hataki, sie ^tutamlazimisha.^ 🙂
Naunga mkono hoja, hata mimi niliwahi kushauri Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? kisha Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
P
 
Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.

Polepole anauwezo wa kujenga hoja na pia ni kijana mweredi Dana wa siasa za Afrika na Tanzania.
Wazungu husema "Save the best for the last"
Naunga mkono hoja

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ss
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…