Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Nchi unaiuzaje kwa mfano?. Tulikuwa na TICTS, mbona nchi yetu bado tunayo?

Pale Airport kuna Swiss port na NAS, hawa DP World hawatakuwa wa kwanza kufanya biashara hapa nchini.

Uoga unatusumbua miaka yote.
Kuna misunderstanding kwenye hili suala. Tatizo sio uwekezaji wa hawa waarabu bali ni terms the contract walizopewa kwenye uwekezaji huo kuwa sio rafiki kwa manufaa ya nchi yetu!
Mazingira ya utiaji saini Imkataba huu wa bandari za Tamganyika una leta maswali mengi. Samia aliondoka kwenda kwa Al Maktom kwa mapumziko binafsi hivyo hakutegemewa kufanya shuhuri za kiserikali kama kutia saini mikataba!!
Kabudi tuliambiwa na Samia kuwa ndio alimteua kuongoza jopo la wanasheria ambao wangesimamia uandishi wa mikataba ya nchi ; je wanasheria wetu walipewa fursa ya kupitia mkataba?
Inasemekana kuna viongozi wakubwa kutoka Tanganyika Samia aliwaondoa madarakani kwa kupinga mkataba huu na badala yake akateua wapemba wenzie kuchukua nafasi zao ili kufanikisha azma yake ya kupitisha huu mkataba kama inavyotakiwa na utaratibu?
Kama haya yote ni kweli, Samia’s reputation is questionable.
 
Speculations kwa kingereza au hisia kwa kiswahili.
 
Speculations kwa kingereza au hisia kwa kiswahili.
These are not speculations. Didn’t Samia go to Dubai and was the Emir’s guest; she was even photographed being driven around by her host!
Hakuna high ranking officers ambao walibadilishwa kazi lakini mmoja wao akakataa na kustaafu?
These are not Speculations Philipo!!
 
SSH kwa kuweza kuleta hii biashara kubwa ya uwekezaji atapigwa mawe ya kila aina. Ndio siasa zenyewe lakini, ni kazi inayohitaji kuwa na ngozi ngumu.
 
Wakati haya Mambo yanapitishwa mpina, ndugai na bashiru walikuwepo?
Watu
SSH kwa kuweza kuleta hii biashara kubwa ya uwekezaji atapigwa mawe ya kila aina. Ndio siasa zenyewe lakini, ni kazi inayohitaji kuwa na ngozi ngumu.
Phillipo hiyo biashara ingekuwa haina uvundo angeipeleka na kwao Zanzibar!
Kwavile anaamini kuwa Watanganyika ni wa pumbavu wanaopiga kelele tu halafu wanasahau kama anavyotuliza na TOZO ; ndio maana anaamini kuwa hata baada ya ufisadi huu wa Bandari watapiga kelele halafu watasahau na wao wataendelea kulamba asali!
 
Wrong assumptions. Fikra zile zile hasi za kitanzania. Kumbuka kutafutwa DP World kulitanguliwa na ukarabati na upanuzi wa bandari, haya ni mambo ya kimkakati.

Umelishwa chuki na wewe umeitafuna kama ulivyoletewa, hata hujachuja.
 





Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari​

First Prev5 of 5
Jump to newUnwatch
•••
[IMG alt="Tajiri Tanzanite"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/394/394766.jpg?1511608756[/IMG]

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member​

Mwanamke kuwa kiongozi ni laana sio baraka...nipigo la Mungu kwa taifa husika

Thanks Quote Reply
Report

[IMG alt="imhotep"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/105/105391.jpg?1648662650[/IMG]

imhotep

JF-Expert Member​

Ni mapoyoyo tu yamejazana Twitter yanajazana ujinga
🤣🤣😂

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Mayor Quimby
[IMG alt="Mzalendo Uchwara"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/583/583346.jpg?1597610953[/IMG]

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member​

Sasa wewe mwenyewe huoni udhaifu wake hata katika kuwapata hao washauri? Anatafuta washauri wanaoitikia ndio ndio?
Na huo ndio ugonjwa wa viongozi wengi.

Thanks Quote Reply
Report
K

Kalamu

JF-Expert Member​

Na huo ndio ugonjwa wa viongozi wengi.
Tunamzungumzia huyu, hao wengi hatuwajui.

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:mambio
[IMG alt="Maria Nyedetse"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/631/631684.jpg?1619352371[/IMG]

Maria Nyedetse

JF-Expert Member​

Shida nafasi nyingi SERIKALINI siyo competence based BALI seniority based....

Issue SENSITIVE ilipaswa wangeenda WANASHERIA BOBEVU na siyo hawa ndugu zetu ambao ni SENIORS kwa kuwa na miaka mingi SERIKALINI badala ya skills....

Mtanisamehe ila WATUMISHI WENGI SERIKALINI NI WAVIVU NA WAMERIDHIKA....

Leo unaweza kuta MTUMISHI wa UMMAH asubuhi amelewa na yupo kazini jambo ambalo huwezilikuta kwenye reputable private entity.


Mungu atunusuru na hili Janga..... tubadili mifumo ya utumishi wa UMMAH..... Hivi vitu ni kutokana na kuwa na WATENDAJI mizigo kwenye ofisi za UMMAH!!!!

Bahati mbaya na sheria zetu za adhabu nazo ni vipofu!!!!

Skills development SERIKALINI ni shiiida!!! Hao wanasheria wa serikali wakitolewa kwenye hizo ofisi ni wachache sana watasurvive mtaani; many will die of hunger!!!!!


Mama yetu MPENDWA rekebisha kwa sheria na namna ya kuwa na WATUMISHI bora wa UMMAH!!! Kabla ya yote!!!
 
Wrong assumptions. Fikra zile zile hasi za kitanzania. Kumbuka kutafutwa DP World kulitanguliwa na ukarabati na upanuzi wa bandari, haya ni mambo ya kimkakati.

Umelishwa chuki na wewe umeitafuna kama ulivyoletewa, hata hujachuja.
Wewe nadhani ni muhanga wa spinning ya Hawa mercenary journalists who have been unleashed kuwahadaa waTanganyika kuwa kuuzwa kwa bandari zao kutawanufaisha ingawa ukweli ni kwamba watakaonufaika ni Samia na genge lake!
 
Mtanisamehe ila WATUMISHI WENGI SERIKALINI NI WAVIVU NA WAMERIDHIKA....
Inawezekana wewe hujawahi kusikia msemo usemao "kuoza kwa samaki huanzia kichwani"?

Kama kiongozi wa juu anazo sifa za uongozi, atashindwaje kuhakikisha hayo unayoyasema hapa hayarekebishwi?

Ubovu ni wa huyo huyo kiongozi unaoenea kwa hao wengine.
 
Mie binafsi kwenye hili suala la DP world it is purposeful move ya upigaji wa hela. Haiwezekani kuee na loop holes nyingi kiasi hicho tena kwa kila upande. Wakishazipiga wanakisanua, mahakamani wanamalizia kwa mijifidia. Imetoka hiyo
 
Inawezekana wewe hujawahi kusikia msemo usemao "kuoza kwa samaki huanzia kichwani"?

Kama kiongozi wa juu anazo sifa za uongozi, atashindwaje kuhakikisha hayo unayoyasema hapa hayarekebishwi?

Ubovu ni wa huyo huyo kiongozi unaoenea kwa hao wengine.
Mfumo wa utumishi wa UMMAH ni BOMU SANA... seniority based na siyo skills based...


Yaani kwa mfumo huu huwezi kuwa na competent staffs!!!
 
Machungu yetu na inferiority complex ni vitu vinatusumbua sana. Kuna mradi wa bandari kubwa ya mangapwani huko huko Zanzibar.

Kwanini amuingilie Mwinyi katika utekelezaji wa mradi wa siku nyingi?. Tutulie na kutafuta suluhisho la matatizo mengi binafsi ili tupunguze ile tabia ya kila tunapoongelea mambo mengine hasira tunazipeleka kwa viongozi walio madarakani.
 
Mfumo wa utumishi wa UMMAH ni BOMU SANA... seniority based na siyo skills based...


Yaani kwa mfumo huu huwezi kuwa na competent staffs!!!
Yote unayosema hapa, yanatokana na ubovu wa uongozi huo huo wa juu tunaoujadili hapa. Tusitafute visababu vingine pembeni.
 
Yote unayosema hapa, yanatokana na ubovu wa uongozi huo huo wa juu tunaoujadili hapa. Tusitafute visababu vingine pembeni.
Ni mfumo mbovu wa muuundo wa kitaasisi wa Taifa letu na sii mtu mmoja!!! Toka Rais wa kwanza hadi sasa...

Ndiyo maana wakati wa BABA WA TAIFA watu walimwogopa Nyerere na sii kuheshimu mfumo wa kitaasisi na alivyoondoka kaondoka na yake...


Imekuwa hivyo kwa awamu zote!!!
 
Andiko hili ni dhahabu.

Tunalitunza maana tumeshaona yanayojiri na fafanuzi kadhaa za waunga juhudi ambazo hawajafikia nusu ya uchambuzi uliouweka.

Balozi Slaa amehitimisha leo naona ameenda mbele zaidi.


Hongera
 
Phillipo hapa tunaongelea mambo ya nchi na mustakabali wa Taifa letu ; haya sio mambo yanayohusu matatizo ya watu binafsi. Usijalibu kututoa nje ya mada ya uuzwaji wa nchi yetu na genge la mafisadi!
Kwa taarifa yako na nina hakika inajua kuwa hawa wafalme wa UAE ndio hao hao tuliowakodishia kule Loliondo na wanaua wanyama wengi na wengine wengi wakasafirishwa kwenda kuanzisha National park kwao yenye wanyama wote wanaopatikana kwenye mbuga zetu!!
Hivyo hii sio mara ya kwanza kufanya dili na viongozi mafisadi wa serikali. Walipopewa Loliondo dalali wao alikuwa Abdulhaman Kinana ambae sasa ndio makamu Mwenyekiti wa ccm.
Phillipo,upo hapo do you connect the dots; no speculations here!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…