Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna misunderstanding kwenye hili suala. Tatizo sio uwekezaji wa hawa waarabu bali ni terms the contract walizopewa kwenye uwekezaji huo kuwa sio rafiki kwa manufaa ya nchi yetu!Nchi unaiuzaje kwa mfano?. Tulikuwa na TICTS, mbona nchi yetu bado tunayo?
Pale Airport kuna Swiss port na NAS, hawa DP World hawatakuwa wa kwanza kufanya biashara hapa nchini.
Uoga unatusumbua miaka yote.
Speculations kwa kingereza au hisia kwa kiswahili.Kuna misunderstanding kwenye hili suala. Tatizo sio uwekezaji wa hawa waarabu bali ni terms the contract walizopewa kwenye uwekezaji huo kuwa sio rafiki kwa manufaa ya nchi yetu!
Mazingira ya utiaji sai I mkataba huu wa bandari za Tamganyika una leta masuala mengi. Samia aliondoka kwenda kwa Al Maktom kwa mapumziko binafsi hivyo hakutegemewa kufanya shuhuri za kiserikali kama kutia saini mikataba!!
Kabudi tuliambiwa na Samia kuwa ndio alimteua kuongoza jopo la wanasheria ambao wangesimamia uandishi wa mikataba ya nchi ; je wanasheria wetu walipewa fursa ya kupitia mkataba?
Inasemekana kuna viongozi wakubwa kutoka Tanganyika Samia aliwaondoa madarakani kwa kupinga mkataba huu na badala yake akateua wapemba wenzie kuchukua nafasi zao ili kufanikisha azma yake ya kupitisha huu mkataba!
These are not speculations. Didn’t Samia go to Dubai and was the Emir’s guest; she was even photographed being driven around by her host!Speculations kwa kingereza au hisia kwa kiswahili.
SSH kwa kuweza kuleta hii biashara kubwa ya uwekezaji atapigwa mawe ya kila aina. Ndio siasa zenyewe lakini, ni kazi inayohitaji kuwa na ngozi ngumu.These are not speculations. Didn’t Samia go to Dubai and was the Emir’s guest; she was even photographed being driven around by her host!
Hakuna high ranking officers ambao walibadilishwa kazi lakini mmoja wao akakataa na kustaafu?
These are not Speculations Philipo!!
WatuWakati haya Mambo yanapitishwa mpina, ndugai na bashiru walikuwepo?
Phillipo hiyo biashara ingekuwa haina uvundo angeipeleka na kwao Zanzibar!SSH kwa kuweza kuleta hii biashara kubwa ya uwekezaji atapigwa mawe ya kila aina. Ndio siasa zenyewe lakini, ni kazi inayohitaji kuwa na ngozi ngumu.
Wrong assumptions. Fikra zile zile hasi za kitanzania. Kumbuka kutafutwa DP World kulitanguliwa na ukarabati na upanuzi wa bandari, haya ni mambo ya kimkakati.Watu
Phillipo hiyo biashara ingekuwa haina uvundo angeipeleka na kwao Zanzibar!
Kwavile anaamini kuwa Watanganyika ni wa pumbavu wanaopiga kelele tu halafu wanasahau kama anavyotuliza na TOZO ; ndio maana anaamini kuwa hata baada ya ufisadi huu wa Bandari watapiga kelele halafu watasahau na wao wataendelea kulamba asali!
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano hayo ya IGA kati ya Serikali yetu na kampuni ya DPW ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu, hata baada ya kuridhiwa na Bunge letu, ikithibitika pasipo shaka kuwa kuna mambo bado hayajakaa sawa, makubaliano hayo yanarekebishwa kabla ya kuingia mkataba wa HGA na serikali yetu, hivyo Tanzania kufaidika na mwekezaji kufaidika kwa kufikia a win win situation.
Angalizo la Uzalendo
Watanzania ni watu wa kuridhika kirahisi na sio watu wa kuhoji, hivyo unapotokea mtu kuhoji baadhi ya mambo makubwa kama haya, na kufuatia kuna baadhi ya watu wameupinga mpango huu, hivyo unawekwa kwenye kundi la wapinzani, na ukaonekana sio mzalendo, hivyo naomba nianze kwa declaration ya uzalendo na kusisitiza mimi sio mpinzani wa mpango huu, na bandiko hili limetanguliwa na mabandiko yangu matatu kuusuport mpango huu
1- Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe!. Je DPW Tunapigwa?.
2- Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
3- Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie? hivyo nawaomba sana wasomaji wangu, msiwe na wasiwasi kabisa kuhusu uzalendo wangu kwa nchi yangu!.
Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa, inaendesha Bandari nyingi duniani, hivyo itatusaidia sana kuboresha uendeshaji wa Bandari yetu ya Dar es Salaam. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, kufuatia kesi na migogoro mingi mahali pengi ambapo DP World wana operates, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA ya DP World bila kuifanyia a due diligence report, kumewafanya wachoke na kudhani, it's over, it's the end of the road kwa suala hili,. naomba kuwapa faraja na kuwatia moyo kuwa it's not the end!, it's not over yet until it's over!.
Hiyo HGA ni makubaliano tuu, MoU na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi hadharani peupe, kila mwenye macho aone, tutaisaidia sana serikali yetu, tutamsaidia sana Rais wetu Samia na kulisaidia taifa letu Tanzania tusiingizwe tena mkenge na Mwarabu wa Dubai kama alivyofanywa Chief Mangungo, hivyo serikali yetu, viongozi wetu na Bunge letu kuridhia fasta fasta kwasababu tuu, Mwarabu wa Dubai ni mtu Rahim, mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye Expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu waandishi wetu wa habari na media zetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia njema ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli huo uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, hivyo hivyo ilivyo, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa angalau tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge na kutapeliwa, hivyo vipengele vya mkataba wa HGA viboreshwe na kazi, iendelee!.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea bure haki kwa wasio na uwezo, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Hitimisho
- Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it's a private company!. Kabla ya kuingia mkataba wowote, lazima kwanza kufanyike kitu kinachoitwa a due diligence process na kutolewa a due diligence report. Hili halikufanyika hivyo serikali yetu kujikuta inaingia mkataba wa kimataifa na parties to contract which has no capacity to contract international treaty hivyo ku vitiate makubaliano kugeuka void hivyo makubaliano hayo yanakuwa null and void ab initio!. NB. Mtu au kampuni, taasisi yoyote ya Kitaifa au kimataifa, inaweza kuingia mkataba na mtu, kampuni, serikali lakini sio international Treaty, ni international contracts or agreements za non state parties.
- Mkataba wa IGA na HGA wa state parties inaingiwa kati ya serikali na serikali za nchi na nchi, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE, kwenye mkataba wameandika serikali ya Dubai, Dubai is not a state, hivyo hapa kunauwezekano tunatapeliwa!. Serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.View attachment 2653406
- Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana Dubai sio nchi, a sovereign state kama ilivyo Tanzania, Dubai hapa inajitambulisha kama a State Party, Dubai is not a state hivyo haiwezi kuwa a state party, it has no the capacity to transact as an international state IGA, haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa na nchi na nchi!, inaweza kuingia mkataba wa kimataifa wa nchi na kampuni au kampuni na taasisi kama ilivyoingia na mamlaka ya Bandari, taasisi kwa taasisi, kama ilivyofanya hapa View attachment 2653409ambapo DP World iliingia mkataba na Mamlaka ya Bandari TPA, mkataba ambao Rais Samia aliushuhudia ukisainiwa kule Dubai during Expo Dubai.
- Sasa kampuni hii ya DP World iliyoingia mkataba na mamlaka ya Bandari, sasa inajigeuza nchi, sovereign state of Dubai, imeingia mkataba wa kimataifa wa state party na serikali yetu!, huku ni kututapeli!. Dubai is not a state, it's not a nation na nchi isiyo na sovereignty!. DP World is not a state, it's a private company, hapa imejigeuza ni nchi!. Huu sio utapeli?. View attachment 2653458
- Mikataba ya kimataifa ya state parties, inaingiwa kati ya nchi na nchi, hapa nchi inayotambuliwa ni Falme ya Kiarabu, UAE, ndio inayotambulika kwenye sheria za kimataifa as a state, na sio Dubai ambayo ni sehemu ya UAE, sio state, hivyo hapa kuna utapeli!. Due diligence ingefanyika, hili lingeonekana!.
- Status ya Dubai kwe UAE ni sawa na status ya Zanzibar ndani ya JMT, Zanzibar has no capacity to transact an international treaty kwasababu Zanzibar sio sovereign state, haina sovereignty. Dubai pia sio sovereign, hivyo mikataba yote ya kimataifa ya Zanzibar, inaingiwa na JMT kwaniaba ya Zanzibar, IGA na HGA inapaswa kuingiwa kati ya Tanzania na UAE na sio Tanzania na Dubai!.
- DPW ni kampuni kama inavyoonyesha hapaView attachment 2653462
- Wanasheria wanapoamua kufanya magumashi ya kisheria, wanakuzuga kwa maneno ya kweli kwenye mkataba, mfano hapa Dubai inatambulishwa kama nchi,View attachment 2653466lakini mkataba wetu hii iliyoandikwa kama nchi, sio nchi kweli bali ni kampuni ya DPW!.
- Kwa vile kwa upande wetu ni serikali yetu, ili kuonyesha IGA ni kati ya serikali mbili, hapa wameitaja kampuni ya kiserikali ili kuiserikalisha kampuni binafsi ya DPW kuwa ni serikali View attachment 2653471
- Hivyo mikataba ya HGA utaokuja kuingiwa na serikali yetu, sio mkataba wa kimataifa wa kiserikali kati ya serikali yetu na serikali ya UAE, lakini hakuna chochote cha UAE bali kampuni binafsi ya DPW iliyoserikalishwa na kujifanya ni serikali!.View attachment 2653477View attachment 2653481
- Kwa vile mikataba ya kimataifa inahusisha state parties, HGA inayokwenda kuingiwa ni HGA kati ya nchi ya Tanzania ambayo ni state na kuingia na DPW iliyo ji stetisha kama a state ambapo huu pia sio utapeli?.View attachment 2653488
- Kwa Tanzania mamlaka yote ya nchi, mtu yoyote ili asaini mkataba wa kimataifa wa kuiingiza nchi, anapaswa apewe the Power of Attorney na Rais wa JMT. Hii hapa chini ni POA ya Rais Samia kumpa mamlaka Prof. Mbarawa kuingia huo mkataba kwa niaba ya Tanzania, View attachment 2653454POA hii kisheria ni defective, kwasababu japo imesainiwa na Rais Samia, lakini haina muhuri wa rais, au muhuri wa serikali, hizi documents za kisheria ikisemwa POA must be signed and stamped by the official seal, lazima iwe hivyo, not otherwise!, kama walivyofanya hawa counter parts hapa chini.View attachment 2653455
- Ili serikali yetu iingie kwenye mkataba wa kihalali wa kimataifa na taasisi ambayo sio nchi, kulitakiwa kuwepo POA toka UAE kuipa mamlaka Dubai kuingia mkataba wa kimataifa kwa niaba ya UAE, then ndipo Emirate wa Dubai angeweza kuwapa POA DPW kujigeuza ni nchi.
- Hapa Prof. Mbarawa almanusura angekosea kusaini View attachment 2653452
- Hakuna ubaya wowote kwa kampuni yoyote kuingia mkataba na serikali under PPP, lakini hili la kampuni binafsi iliyo serikalishwa kuingia an International treaty na serikali yetu, halikakaa vizuri!.
- Jambo jingine, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwa vile Rais Samia ana nia njema ya dhati kuisaidia nchi yetu, wasaidizi wa rais na sisi Watanzania wengine wote tuna wajibu wa kumsaidia rais wetu na kulisaidia taifa letu na huu ndio uzalendo wa kweli.
Paskali.
🤣🤣😂Ni mapoyoyo tu yamejazana Twitter yanajazana ujinga
Na huo ndio ugonjwa wa viongozi wengi.Sasa wewe mwenyewe huoni udhaifu wake hata katika kuwapata hao washauri? Anatafuta washauri wanaoitikia ndio ndio?
Tunamzungumzia huyu, hao wengi hatuwajui.Na huo ndio ugonjwa wa viongozi wengi.
Shida nafasi nyingi SERIKALINI siyo competence based BALI seniority based....Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu.
Anasema mambo yafuatayo
1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa
2. Pili anaeleza kuwa huu mkataba hatuna namna ya kuchomoka, maana ni mkataba wa "AHADI" ya kutekeleza mkataba, yaani ni Lazima tutekeleze tu tutake tusitake, tusipotekeleza wanaweza kutushitaki kulipwa damages.
3. Mkataba unatoa exclusive rights kwa kampuni kuendesha BANDARI zote, narudia tena BANDARI zote ( Ukiacha za Zanzibar)
4. Mkataba UNALAZIMISHA tutake tusitake kubadilisha sheria zetu ili ziendane na matakwa ya MUWEKEZAJI. Yaani maana yake, mwekezaji ndo atadetermine future ya sheria zetu kwenye masuala ya bandari zetu zote leo hata dahari.
Hebu msikilize mwanasheria huyu, ameongea vitu deep sana.
View attachment 2650892
Click to expand...
Wewe nadhani ni muhanga wa spinning ya Hawa mercenary journalists who have been unleashed kuwahadaa waTanganyika kuwa kuuzwa kwa bandari zao kutawanufaisha ingawa ukweli ni kwamba watakaonufaika ni Samia na genge lake!Wrong assumptions. Fikra zile zile hasi za kitanzania. Kumbuka kutafutwa DP World kulitanguliwa na ukarabati na upanuzi wa bandari, haya ni mambo ya kimkakati.
Umelishwa chuki na wewe umeitafuna kama ulivyoletewa, hata hujachuja.
Inawezekana wewe hujawahi kusikia msemo usemao "kuoza kwa samaki huanzia kichwani"?Mtanisamehe ila WATUMISHI WENGI SERIKALINI NI WAVIVU NA WAMERIDHIKA....
Mfumo wa utumishi wa UMMAH ni BOMU SANA... seniority based na siyo skills based...Inawezekana wewe hujawahi kusikia msemo usemao "kuoza kwa samaki huanzia kichwani"?
Kama kiongozi wa juu anazo sifa za uongozi, atashindwaje kuhakikisha hayo unayoyasema hapa hayarekebishwi?
Ubovu ni wa huyo huyo kiongozi unaoenea kwa hao wengine.
Machungu yetu na inferiority complex ni vitu vinatusumbua sana. Kuna mradi wa bandari kubwa ya mangapwani huko huko Zanzibar.Watu
Phillipo hiyo biashara ingekuwa haina uvundo angeipeleka na kwao Zanzibar!
Kwavile anaamini kuwa Watanganyika ni wa pumbavu wanaopiga kelele tu halafu wanasahau kama anavyotuliza na TOZO ; ndio maana anaamini kuwa hata baada ya ufisadi huu wa Bandari watapiga kelele halafu watasahau na wao wataendelea kulamba asali!
Yote unayosema hapa, yanatokana na ubovu wa uongozi huo huo wa juu tunaoujadili hapa. Tusitafute visababu vingine pembeni.Mfumo wa utumishi wa UMMAH ni BOMU SANA... seniority based na siyo skills based...
Yaani kwa mfumo huu huwezi kuwa na competent staffs!!!
Ni mfumo mbovu wa muuundo wa kitaasisi wa Taifa letu na sii mtu mmoja!!! Toka Rais wa kwanza hadi sasa...Yote unayosema hapa, yanatokana na ubovu wa uongozi huo huo wa juu tunaoujadili hapa. Tusitafute visababu vingine pembeni.
Binafsi nimeisha hapo tu sijasoma hata habari yake maana tayari kule ndani ni utumbo tupuUlivyo anza Kwa kusema bunge letu tukufu , tiyaru tumeshajua ww ni MTU wa hovyo sana Yan
Andiko hili ni dhahabu.Wanabodi,