Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mbowe hatamshauri arudi na atamuomba aendeleze mapambano akiwa huko aliko.Lema akitaka kuwa mwanasiasa zaidi ni muhimu arudi nyumbani.
Akitaka kuwa mkimbizi zaidi ni muhimu akae nje.
Mapambano gani anaendeleza huko nje?Ya Twitter au?Mbowe hatamshauri arudi na atamuomba aendeleze mapambano akiwa huko aliko.
Almost wote walichakachuliwa Kama kawa.Arudi mbunge wetu wa Arusha alichakachuliwa matokeo yake.
Nani alimfukuza Lema?Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences."
My opinion:
Habari hii ikimfikia Mbowe, Mbowe atamshauri/atamtaka Lema asirudi nyumbani kwani namuona Mbowe ni mtu wa kuhurumia wengine kuliko hata anavyojihurumia.
Hata hivyo, Lema atarudi tu hasa ikitokea Mwenyekiti anafungwa jela ingawa nae pia anaweza kupata upinzani kutoka kwa ndugu zake wakimsihi asirudi.
Wakati yupo hapa alisaidia nini?Uwepo wake utasaidia kuamsha hari ya wengine kwenye kulaani ukandamizaji unaofanywa na CCM kupitia mahakama na jeshi la polisi.
Maisha yako yakiwa magumu usifikirie na wengine wote wana maisha kama yako.Nani alimfukuza Lema?
Nani ana shida na Lema?
Yeye arudi apambane na hali yake?
Maisha yameisha mpiga kule maana kule hajapewa hadhi ya ukimbizi aliotarajia!
Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences."
My opinion:
Habari hii ikimfikia Mbowe, Mbowe atamshauri/atamtaka Lema asirudi nyumbani kwani namuona Mbowe ni mtu wa kuhurumia wengine kuliko hata anavyojihurumia.
Hata hivyo, Lema atarudi tu hasa ikitokea Mwenyekiti anafungwa jela ingawa nae pia anaweza kupata upinzani kutoka kwa ndugu zake wakimsihi asirudi.
Sasa kamanda kwanini asirudi? Kwa faida ya nani? Mi nafikiri ni muda sasa wa makamanda wote kurudi. Tundu Lissu pia..watakaa wanaogopa mpaka lini?Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences."
My opinion:
Habari hii ikimfikia Mbowe, Mbowe atamshauri/atamtaka Lema asirudi nyumbani kwani namuona Mbowe ni mtu wa kuhurumia wengine kuliko hata anavyojihurumia.
Hata hivyo, Lema atarudi tu hasa ikitokea Mwenyekiti anafungwa jela ingawa nae pia anaweza kupata upinzani kutoka kwa ndugu zake wakimsihi asirudi.
Umemaliza kamanda πLema akitaka kuwa mwanasiasa zaidi ni muhimu arudi nyumbani.