Japo Godbless Lema ametangaza nia ya kurudi nyumbani, na kwamba yuko tayari kwa lolote, naamini Mbowe atamtaka asirudi nyumbani

Japo Godbless Lema ametangaza nia ya kurudi nyumbani, na kwamba yuko tayari kwa lolote, naamini Mbowe atamtaka asirudi nyumbani

Sasa kamanda kwanini asirudi? Kwa faida ya nani? Mi nafikiri ni muda sasa wa makamanda wote kurudi. Tundu Lissu pia..watakaa wanaogopa mpaka lini?
True shetani ashapigwa minyororo Hakuna tishio la corona tena
 
Mbowe hatamshauri arudi na atamuomba aendeleze mapambano akiwa huko aliko.
Mapambano ya nini? Kama ni mapambano dhidi ya walioko madarakani, arudi kushawishi wapiga kura ili apate hayo madaraka.

Nyuma ya pazia, watu wote wanaokimbilia siasa (kwa maana ya wanasiasa) ni uchu wa madaraka ili kukidhi agenda zao binafsi. Yumkini ndio hao wadai Uhuru usio na mipaka, Haki bila kuwajibika na hasa hasa demokrasia ya wao kuabudiwa (wakidhani wanajua kila kitu kumbe hawajui kuwa hawajui).

Nawe Mkuu Salary Slip, niamini WEWE ni mmoja wao kwa jinsi bandiko zako zinavyoshabikia ubinafsi kuliko mahitaji ya wananchi, walio wengi. Km Lema ni nani katika nchi hii (kwa maana ya "legacy" ipi ameacha alipokimbia nchi?)
 
John Mnyika ameshindwa kuipa chadema uhai, Lema aache woga arudi wapambane, otherwise tukitegemea upinzani wa Zitto Kabwe tumekwisha, CCM watafanya wanavyojisikia.
 
John Mnyika ameshindwa kuipa chadema uhai, Lema aache woga arudi wapambane, otherwise tukitegemea upinzani wa Zitto Kabwe tumekwisha, CCM watafanya wanavyojisikia.
Nani alikwambia kiwa Zitto ni mpinzani hapa Tanzania?
 
Lema hatarudi , ikiwa hiyo bado ni fikra, basi sikuoni akitimiza hiyo ndoto, Political refugee asylum ina sheria zake, na ukizivunja hurudi huko ughaibuni.

Mshauri arudi tuu na ajiunge na ccm mambo yake yatakuwa shwari.

Mbowe ataachiwa huru hivi karibuni
 
Na Tundu Lissu nae arudi.. aje kupambana na hawa majaji wa serikali.

Nakumbuka Lissu ndio alitushauri Watanzania tusikubali kupimwa Mkojo
 
Arudi tu achukue Ubunge wake Arusha, maana Gambo viatu vimepwaya.
 
Back
Top Bottom