True shetani ashapigwa minyororo Hakuna tishio la corona tenaSasa kamanda kwanini asirudi? Kwa faida ya nani? Mi nafikiri ni muda sasa wa makamanda wote kurudi. Tundu Lissu pia..watakaa wanaogopa mpaka lini?
Ameshalipa madeni yake mkuu. Au anataka aje awapige sound wadeni wake kuwa alikuwa ukimbizini?Anarudi,
Tulia atakupa mrejesho,deni halikimbiwiAmeshalipa madeni yake mkuu. Au anataka aje awapige sound wadeni wake kuwa alikuwa ukimbizini?
Mapambano ya nini? Kama ni mapambano dhidi ya walioko madarakani, arudi kushawishi wapiga kura ili apate hayo madaraka.Mbowe hatamshauri arudi na atamuomba aendeleze mapambano akiwa huko aliko.
Mnyonge akiendelea kuteseka ni rahisi sana akawa muasi.Imefika wakati ambao uoga utabaki historia
nje ya madaKwani unaogopa nini wewe dada? Vipi umefumaniwa na bwana wa mtu?
Japo ni hatari snTupo wengi tunao mshauri arudi nyumbani na wakati huo huo tukiomba mh Mbowe ayashinde mapito
Mkuu kama Nelson Mandela angekuwa anaogopa hizo hatari tena hatari haswa kutoka kwa makaburu unadhani Afrika Kusini ingekombolewa?Japo ni hatari sn
Nani alikwambia kiwa Zitto ni mpinzani hapa Tanzania?John Mnyika ameshindwa kuipa chadema uhai, Lema aache woga arudi wapambane, otherwise tukitegemea upinzani wa Zitto Kabwe tumekwisha, CCM watafanya wanavyojisikia.
Kesi za kipuuzi. Kazi yenu kutegemea dola kwa kila kitu.Kesi huwa haziozi. Kama alikimbia kesi ataikuta tu. Umuulize Manji alizikuta na ameteleza tena atazikuta tu
Muda wa makaburu nao uliishaMkuu kama Nelson Mandela angekuwa anaogopa hizo hatari tena hatari haswa kutoka kwa makaburu unadhani Afrika Kusini ingekombolewa?
Wewe ni takataka.Wakati yupo hapa alisaidia nini?
Ukiogopa madeni wewe utakuwa ni kula kulala tuArudi,sema bank zinamsubiri yale madeni. Ajiandae.
Umemaliza kaziWewe ni takataka.