Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Kaka hii kweli weka mbali na watoto.
Sasa the people who saw it coming baada ya kusema na kupuuzwa walichukua hatua gani katika kuokoa jahazi?
Kuna vitu, ukiona au ukisikia, vingine, mwisho wa uwezo wako ni kusema na kunyamaza, na kuna vingine, ukiona ni kunyamaza kimya kabisa!, Kinyamwezi wanasema "funga kalomo", hivyo ukisema, ukapuuzwa, unafunga kalomo!, siku ya siku, unarejea kukumbusha tuu kuwa tulisema lakini!, tulishauri!, kama ushauri wangu kwenye HII .

P
 
noted with thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…