Throned
Member
- Dec 3, 2024
- 74
- 85
Sikuwa nimeelewa mwanzo.sababu ya hizo codes,. Ila nimesoma saizi nimekupata Comradeuliona hiyo para?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwa nimeelewa mwanzo.sababu ya hizo codes,. Ila nimesoma saizi nimekupata Comradeuliona hiyo para?
P
Kaka hii kweli weka mbali na watoto.Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Juu kichwaani baragasheaSauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza ...
Kuna vitu, ukiona au ukisikia, vingine, mwisho wa uwezo wako ni kusema na kunyamaza, na kuna vingine, ukiona ni kunyamaza kimya kabisa!, Kinyamwezi wanasema "funga kalomo", hivyo ukisema, ukapuuzwa, unafunga kalomo!, siku ya siku, unarejea kukumbusha tuu kuwa tulisema lakini!, tulishauri!, kama ushauri wangu kwenye HII .Kaka hii kweli weka mbali na watoto.
Sasa the people who saw it coming baada ya kusema na kupuuzwa walichukua hatua gani katika kuokoa jahazi?
Sio kila kitu ni lazima kila mtu aelewe, vitu vingine ni ujumbe mahsus kwa watu mahsus!, muhimu ni ujumbe ufike na kumfikia mlengwa!.Hapo lazima mtu asikuelewe
noted with thanksKuna vitu, ukiona au ukisikia, vingine, mwisho wa uwezo wako ni kusema na kunyamaza, na kuna vingine, ukiona ni kunyamaza kimya kabisa!, Kinyamwezi wanasema "funga kalomo", hivyo ukisema, ukapuuzwa, unafunga kalomo!, siku ya siku, unarejea kukumbusha tuu kuwa tulisema lakini!, tulishauri!, kama ushauri wangu kwenye HII .
P