Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
Makala yangu Mwananchi leo.png

Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua haki zao, hawana uwezo wa kuajiri wakili kuwatetea, hivyo hili ni bandiko la kuwaomba mawakili, tujitolee kuwatetea bure masikini hawa Watanzania ambao damu zao zinamwagwa kizembe zikiwemo hizi damu zinazomwagwa na wasiojulikana na 'wasiojulikana' just like that huku maisha yakiendelea as if nothing happened!.

Vitabu vya dini zote vinafundisha ukiua kwa upanga, utauawawa kwa upanga!, ukimwaga damu ya mtu, damu yako pia itamwagwa!, hivyo japo vifo vyote vya umwagaji damu isiyo na hatia, hufidiwa na karma kwa kuwashughulikia kikamilifu wamwaga damu wote, hata wasiojulikana wanashughulikiwa, lakini sisi wanasheria na mawakili, tunawajibika kujitolee kutetea bure, hizi damu za Watanzania masikini zinazomwagika kizembe kwa kisingizio chochote!.

Alipouwawa kwa makosa aliyekuwa DGIS, Imran Kombe, familia yake kwa vile ina uwezo na ufahamu, ilidai fidia na ilifidiwa!, vifo vingapi vya kizembe vinatokea mikononi mwa polisi, au kusababishwa na polisi kama Daudi Mwangosi na Aquiline Akwilina na hakuna fidia yoyote iliyodaiwa?.
Watanzania wangapi wanapoteza maisha mahospitalini, makazini na kwenye vyombo vya usafiri kwa ajali za kizembe lakini hakuna hatua zozote za kisheria zinachukuliwa kudai fidia?.

Naamini kama kila tone la damu za Watanzania, machozi, jasho na damu, vingekuwa vinafidiwa kisheria, amini usiami, hata hawa wasiojulikana wangepungua au kuisha kabisa kwasababu wanajua wangedakuliwa na kutundikwa msalabani.

Kwa vile na mimi licha ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nimeamua kujikita kwenye eneo la utoaji wa elimu ya katiba, sheria na haki, kupitia vyombo vya habari vya TV, redio, magazeti na mitandao ya kijamii,
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=rX-8-1r28_5Q2N6A

Wanasheria na mawakili wenzangu, tujitolee kuwasaidia bure Watanzania wenzetu masikini wa kutupwa wasio na uwezo wa kuajiri wakili kutetea damu za wapendwa wao zinazomwagwa kila uchao!.

Jumatano njema

Paskali
 
Hakuna linaloshindikana kwenye kijiji chenye Wazee na Taifa bora lenye msingi wa kikatiba na utawala wa sheria huthamini Utawala Bora na usalama wa Raia....Tuzungumze pamoja na kutafuta suluhisho endelevu la pamoja. Ni tarehe 5 Oktoba pale Ubungo plaza....Tusipozungumza kama wenye hekima tutaangamia kama wapumbavu
20241002_091214.jpg
 
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
View attachment 3112807
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua haki zao, hawana uwezo wa kuajiri wakili kuwatetea, hivyo hili ni bandiko la kuwaomba mawakili, tujitolee kuwatetea bure masikini hawa Watanzania ambao damu zao zinamwagwa kizembe zikiwemo hizi damu zinazomwagwa na wasiojulikana na 'wasiojulikana' just like that huku maisha yakiendelea as if nothing happened!.

Vitabu vya dini zote vinafundisha ukiua kwa upanga, utauawawa kwa upanga!, ukimwaga damu ya mtu, damu yako pia itamwagwa!, hivyo japo vifo vyote vya umwagaji damu isiyo na hatia, hufidiwa na karma kwa kuwashughulikia kikamilifu wamwaga damu wote, hata wasiojulikana wanashughulikiwa, lakini sisi wanasheria na mawakili, tunawajibika kujitolee kutetea bure, hizi damu za Watanzania masikini zinazomwagika kizembe kwa kisingizio chochote!.

Alipouwawa kwa makosa aliyekuwa DGIS, Imran Kombe, familia yake kwa vile ina uwezo na ufahamu, ilidai fidia na ilifidiwa!, vifo vingapi vya kizembe vinatokea mikononi mwa polisi, au kusababishwa na polisi kama Daudi Mwangosi na Aquiline Akwilina na hakuna fidia yoyote iliyodaiwa?.
Watanzania wangapi wanapoteza maisha mahospitalini, makazini na kwenye vyombo vya usafiri kwa ajali za kizembe lakini hakuna hatua zozote za kisheria zinachukuliwa kudai fidia?.

Naamini kama kila tone la damu za Watanzania, machozi, jasho na damu, vingekuwa vinafidiwa kisheria, amini usiami, hata hawa wasiojulikana wangepungua au kuisha kabisa kwasababu wanajua wangedakuliwa na kutundikwa msalabani.

Kwa vile na mimi licha ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nimeamua kujikita kwenye eneo la utoaji wa elimu ya katiba, sheria na haki, kupitia vyombo vya habari vya TV, redio, magazeti na mitandao ya kijamii,
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=rX-8-1r28_5Q2N6A

Wanasheria na mawakili wenzangu, tujitolee kuwasaidia bure Watanzania wenzetu masikini wa kutupwa wasio na uwezo wa kuajiri wakili kutetea damu za wapendwa wao zinazomwagwa kila uchao!.

Jumatano njema

Paskali

Karma iko taratibu sana, hadi sura ianze kubadikika ni kipengele, eti binadamu aonekane kama mdudu
 
Paskal, ni ukweli kabisa. Na hii ni dhahiri inaonyesha ufinyu wa weledi wa wanasheria wote na TLS yao ambao badala ya kusaidia watu wapambana na serikali
 
HAKUNA KARMA
The only absolute freedom, is freedom to think, and believe, kama ilivyo kwa waumini wa Mungu, ma atheist wanaamini hakuna Mungu. The same applies to karma, unaweza kuamini hakuna karma, ila the consequences za karma zitakuhusu au kukutandika regardless unaamini au huamini, na hata wasioamini Mungu, jehanum ya moto wa milele, inawahusu!.
Karma ipo kwenye dini zote na imani zote ila kwa majina tofauti, wengine wanaiita destiny, wengine lucky, wengine fortunate, wengine blessing, wengine laana, wengine mikosi, wengine nuksi, wengine kulogwa, wengine neema, wengine baraka, wengine kipawa, wengine upako, etc.
Karma is real na ipo!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
P
 
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
View attachment 3112807
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua haki zao, hawana uwezo wa kuajiri wakili kuwatetea, hivyo hili ni bandiko la kuwaomba mawakili, tujitolee kuwatetea bure masikini hawa Watanzania ambao damu zao zinamwagwa kizembe zikiwemo hizi damu zinazomwagwa na wasiojulikana na 'wasiojulikana' just like that huku maisha yakiendelea as if nothing happened!.

Vitabu vya dini zote vinafundisha ukiua kwa upanga, utauawawa kwa upanga!, ukimwaga damu ya mtu, damu yako pia itamwagwa!, hivyo japo vifo vyote vya umwagaji damu isiyo na hatia, hufidiwa na karma kwa kuwashughulikia kikamilifu wamwaga damu wote, hata wasiojulikana wanashughulikiwa, lakini sisi wanasheria na mawakili, tunawajibika kujitolee kutetea bure, hizi damu za Watanzania masikini zinazomwagika kizembe kwa kisingizio chochote!.

Alipouwawa kwa makosa aliyekuwa DGIS, Imran Kombe, familia yake kwa vile ina uwezo na ufahamu, ilidai fidia na ilifidiwa!, vifo vingapi vya kizembe vinatokea mikononi mwa polisi, au kusababishwa na polisi kama Daudi Mwangosi na Aquiline Akwilina na hakuna fidia yoyote iliyodaiwa?.
Watanzania wangapi wanapoteza maisha mahospitalini, makazini na kwenye vyombo vya usafiri kwa ajali za kizembe lakini hakuna hatua zozote za kisheria zinachukuliwa kudai fidia?.

Naamini kama kila tone la damu za Watanzania, machozi, jasho na damu, vingekuwa vinafidiwa kisheria, amini usiami, hata hawa wasiojulikana wangepungua au kuisha kabisa kwasababu wanajua wangedakuliwa na kutundikwa msalabani.

Kwa vile na mimi licha ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, nimeamua kujikita kwenye eneo la utoaji wa elimu ya katiba, sheria na haki, kupitia vyombo vya habari vya TV, redio, magazeti na mitandao ya kijamii,
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=rX-8-1r28_5Q2N6A

Wanasheria na mawakili wenzangu, tujitolee kuwasaidia bure Watanzania wenzetu masikini wa kutupwa wasio na uwezo wa kuajiri wakili kutetea damu za wapendwa wao zinazomwagwa kila uchao!.

Jumatano njema

Paskali

🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom