Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Point nzur sana

Uwongo kwa msingi wa ku escape some bad reality sio mbaya kama uwongo wa kuuwa na kufitini wengine ili wewe upande...
Uwongo wa TL ni mbaya sana.

Bahati mbaya anawafitini waliombeba sana..

Sasaivi anasingizia kutaka kuuwawa na anavaa BP vest kabisa....

Muwongo na Mulozi ni watu wa "kuchoma"
TL amepungukiwa hekima sana.

Hato mengine ya Kuropoka kila kinachokuja kinywani vingekuwa vinatoka kwa Busara angekuwa moja ya asset kubwa sana CDM.

Ila hii ya kupaka watu matope ili upande ngazi ni tabia chafu sana.

Muda utasema, ila kuaminika kwake kwa sasa kuko tinted sana.
 
Mkuu Maiko Dudi, Michael Dudicoff , numbers don't lie Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Hata uchakachue vipi, numbers zitagoma!.
P
 
Umegusa mulemule mkuu 🤝
 
Rushwa ndio kipaumbele changu Cha kwanza kwa kiongozi

Utawala wa Sheria ndio kipaumbele changu Cha pili kwa kiongozi

Uchumi ndio kipaumbele changu Cha tatu kwa kiongozi

Ingawa uchumi sio lazima binafsi uwe mchumi unaweza kuwa na watu wa kukusaidia

Ila ukisimamia rushwa na sheria nchi inaenda bila shida yeyote na hizi sifa Tundu Lissu anazo !!
 
Pascal hakuna Chama cha upinzani chenye Namba za kuwaingiza ikulu. Hii ni common sense tu ya kawaida. Hakuna mwarobaini wowote au muujiza wowote kwa hali ya siasa iliyopo eti tuwe na Chama kitakacho Pata hata 30% ya kura.

Labda tuanzishe Chama kingine cha upinzani kitachojitenga na siasa tulizoziona kwa takribani miaka 10.
 
Eti Lissu atapata kula za wajinga ?? Paschal hakuna mwanasiasa Tanzania hii kwa Sasa anaeleweka kwa watu walioenda shule Kama Lissu

Lissu anachukiwa na wapigaji na janja janja misheni town

Lissu ngoja aje awanyooshe na natamani awanyooshe zaidi ya Magufuli asiue tu !!
 
Lissu anautaka urais kuliko Uenyekiti. Na chama pekee kinachoweza kumtimizia ndoto hiyo ni Chadema. Kwa sababu hiyo, hata akikosa Uenyekiti, atagombea urais. Mbowe (kama ilivyokuwa kwa Lowassa) anajua kuwa hamna namna CCM na serikali yake wtakubali Lissu awe rais. Ila anajua ana uwezo wa kuvuna kura nyingi kuliko mtu mwingine atakayeweza kusimamishwa na Chadema ( pamoja na yeye). Kura hizo zitawasaidia kwenye suala la ruzuku. Aidha, uwepo wa Lissu kwenye tiketi utawabeba wagombea wengi wa ubunge wa CDM na angalau kuipa nafasi ya kuwa credible upinzani bungeni. Ikiwa patakuwa na uchaguzi huru na wa haki, CDM wataingia Ikulu na wakuwa majority bungeni.

Amandla...
 
Una uhakika alishinda ?....hizi ni sarcasm
 
gashi otena masala
 
Lissu atavuna sana kura za kundi kubwa la wajinga wajinga ndio walio wengi...
Sawa Pascal Mayalla, na mimi usisahau kuniweka kwenye hilo kundi la wajinga wajinga.
Nakukuhakikishia kwamba kwa Tundu Lissu Chadema itakuwa imepata turufu ya uhakika!
Leo ni leo, asemaye kesho ni muongo na mnafiki...sifa kuu za wasioona ingawa wana macho!
 
Mtoa mads umesema vema. Kwa maoni yangu, TL hata asiposhinda Urais atawasaidia CHADEMA kupata kura nyingi za Urais kwa ujumla wake, hivyo ruzuku zaidi kwa chama, na pia watashinda viti vingi vya Bunge na madiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…