Lisu kadanganya nini?Nimesikiliza vizuri,Lissu si mtu wa kumuamini, Kwa sasa si asset kokote iwe ktk chama au urais. Kutokuwa mkweli ni sifa mbaya
Sio kila linalosikika ni la kweli. Uongo au ukweli huthibitishwa kisomi na si kipumbavu.Tusingejua kama Lissu alishindwa na Nyalandu kura za maoni wacha wafu wazikane!
Huna uwezo wa kupima mambo kwa sababu una mental retardation ...
Haya ndio huitwa mahaba niue.Hoja yako
Una hoja nzuri na inaeleweka.
Japo kuna mambo kwa namna yoyote hayawezekani!
Muda wa CCM kuondoka madarakani kwa sasa Bado sana.!
Tatizo haliko upinzani peke yake.
Lakini uhalisia ni kwamba pamoja na madhaifu makubwa waliyonayo wapinzani lakini CCM wana mipango imara ya kuendelea kukaa madarakani.
Inajulikana rais Samia ni mwenyekiti wa chama tawala na 2025 anagombea.
Kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu na mwenyekiti wa chama tawala.
Kumuondoa madarakani ni kazi ngumu sana hata wapinzani wakiungana wote na kusimamisha mgombea mwenye sifa zote za kuwa rais wa TZ ambaye hana doa lolote sio rahisi hata kidogo 2025 wapinzani kuiona ikulu.
Kuhusu unachodai ni uongo wa Lissu,,,, Je habari za Wenje kukiri anawasiliana na Abdul, haitoshi kutilia mkazonwa tuhuma anazozisema LISSU?.Point nzur sana
Uwongo kwa msingi wa ku escape some bad reality sio mbaya kama uwongo wa kuuwa na kufitini wengine ili wewe upande...
Uwongo wa TL ni mbaya sana.
Bahati mbaya anawafitini waliombeba sana..
Sasaivi anasingizia kutaka kuuwawa na anavaa BP vest kabisa....
Muwongo na Mulozi ni watu wa "kuchoma"
TL amepungukiwa hekima sana.
Hato mengine ya Kuropoka kila kinachokuja kinywani vingekuwa vinatoka kwa Busara angekuwa moja ya asset kubwa sana CDM.
Ila hii ya kupaka watu matope ili upande ngazi ni tabia chafu sana.
Muda utasema, ila kuaminika kwake kwa sasa kuko tinted sana.
Pascal Mayalla mbona umelikimbia hili? na je una uhakika gani kuwa lissu atashinda uchaguzi 2025?Andiko zuri ila lina ukakasi sehemu moja,kwamba Lowassa alishinda,je unaweza kudhibitisha?
Tafiti zake anapaswa aweke hapa sio kukaa nazo chumbani!Paskali ni msema kweli daima na ukweli wake huwa anautafiti
I second you, Wengi wanaompinga Lissu ni wala Rushwa, watu ambao hawajanyooka, Lissu has proved beyond reasonable doubt kwamba ni Kiongozi Muaminifu, Mwenye Msimamo na asiyependa Rushwa.. Hayo Mambo ya Busara waachieni wazee wa Mila.Kuhusu unachodai ni uongo wa Lissu,,,, Je habari za Wenje kukiri anawasiliana na Abdul, haitoshi kutilia mkazonwa tuhuma anazozisema LISSU?.
Kuhusu kuvaa Bullet Proof, Sio yeye alotahadharisha mapema, akapuuzwa na hatimaye Dunia ikashihudia Risasi 16 mwili Kwa LISSU ?. Kwa muktadha huo, Leo hii kapewa Taarifa kama ilivyokua mwanzo, sio haki yeye kujilinda?.
Katika Twita ya LISSU ,mwisho alikazia, kama ilivyomtokea fulan, ndivyo itakavyómtokea Fulani...... Maneno hayo ni Maneno ya MTU mwenye uhakika wa tishio alonalo na zaidi anaonya.
Kwangu Mimi Binafsi, kitendo Cha LISSU kudai yamepangwa hayaa,ili asingiziwe Mwenyekiti..... Kwanini adai FAM nasio mwingine? Je FAM anahistoria ya kuua mpinzan wake??
LISSU, NI MOJA YA WANADAM WASOONEA, WASOUMIZA WENGINE KWA MANUFAA YAO, ILA NI MBAYA SANA ENDAPO UTAMGUSA AU KUGUSA HAKI ZA WENGINE.
Erythrocyte njoo ujibu hojaYule ni Chawa wa Mbowe ...hilo liko wazi anafichaficha tu.
Wahuni tu wote.Wanabodi,
Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa.
Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa biashara isifilisike.
Kwenye siasa , the biggest and the most valuabe assets ni watu, na the biggest liabilities ni viongozi wa hovyo.
Kwenye assets na liabilities, kunatumia kanuni ya kibaya chako ni kizuri cha mwenzio kama ganda la mua la jana, wewe umelitupa kama uchafu, kwa chungu kwake ni kivuno.
Mfano mzuri wa asset na liabilities ni Edward Lowassa, japo alikuwa ni a liability kwa urais kupitia CCM, ile 2015, alikuwa ndie asset kwa urais kupitia Chadema uchaguzi wa 2015 na alishinda ila ndio vile tena!. Hoja ya Lowassa kushinda uchaguzi wa 2015 ni hii Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake! na ushahidi usiotia shaka ni huu Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Sasa ni zamu ya Tundu Lissu, japo he is a very bad liability kwenye uenyekiti wa Chadema, lakini kwa the political dynamics ya siasa zetu na political landscape ya uwanja wetu tenge wa mchezo wa siasa, Tundu Lissu ndie the one and only asset Chadema has kwenye urais kuweza kuwangiza Ikulu!.
Kama 2015 Chadema ilimtumia Lowassa kama mtaji wa kuvunia kura licha ya tuhuma zake za ufisadi, Je this time around, Mwenyekiti Mbowe na Chadema, watakuwa tayari, autose uenyekiti wa Chadema, kumpisha Lissu ili kuutumia mtaji wake kuwaingiza ikulu 2025, kisha huko mbele ndio watawekana sawa, au wataamua, kuliko ku risk Chadema chini mtu hatari kama Lissu, kwenye usukukani, maana kuna kitu Lissu ni zaidi ya Magufuli!,
Magufuli japo alikuwa ni dikteta, lakini alifanya mambo makubwa, Tundu Lissu ni kama Magufuli na zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Magufuli alikuwa ni mkweli na hakopeshi, Tundu Lissu pia ni mkweli na hakopeshi Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli, Magufuli alikuwa ni mkweli aliyenyooka, hapindishi pindishi, Lissu ni mkweli ila pia ni muongo muongo, ile kauli ya Rushwa Chadema kutaka kuhongwa na Abdul na Mama yake, kumbe ni uongo mtupu!, ukweli ni huu
View: https://youtu.be/K41w3m6jjT4?si=G41HEK6aNenz9eKl
Lissu is a very bad liability kwenye uongozi wa pamoja, he is not a good team player, hivyo niliwahi wauliza Chadema Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability? Msikilize mwenyewe hapa
View: https://youtu.be/Qa59DIQs2yI?si=hwz4yOgUbqsn8O47Hizo ndio lugha GenZii wanataka kuzisikia!.
Moja ya very bad liabilities za Tundu Lissu ni mropokaji, mdomo wake hauna breki!, huu uropokaji wa Tundu Lissu ambao japo ni liability, ndio the biggest asset ya kumuingiza ikulu 2025 kama kura tegemeo ni za GenZii, wanataka waropokaji wa type ya Lissu Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
Tundu Lissu sio tuu ni kama Magufuli, pia ni kama Donald Trump Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
Tundu Lissu ni mbaguzi sana wa jinsia, Mbowe alitakaga kuwasamehe wale wadada 19, baada ya Chadema kuwatimua, Mbowe akawaita Nairobi, akawabembeleza waombe msamaha, Lissu akagoma Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji
Lissu atavuna sana kura za kundi kubwa la wajinga wajinga ndio walio wengi Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?
Tundu Lissu ni mtu hatari sana asiye na huruma na jinsia ya kike!, kiafrika wanawake wanapaswa kuwa handled with care and courtesly, lakini Tundu Lissu hana huruma na wanawake, anawasulubu bila huruma Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi! hivyo CCM ikisimamisha mgombea mwanamke 2025 halafu Lissu akagombea kwa upinzani, kiukweli... naomba nisimalizie...
Tundu Lissu ni mtu wa vurugu vurugu na ma kashkash, angalia bunge la sasa lilivyotulia kama maji mtungini!, Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. akigombea urais, ataleta ushindani wa kweli na sio igizo la uchaguzi!
Swali ni je Chadema wataamua kuutumia huu mtaji wa Tundu Lissu na kuingia ikulu 2025 kwa Mbowe kumpisha Lissu kwenye Uenyekiti, au bora Mbowe aendelee na wao waendelee tuu kuwa wapinzani milele?.
Jibu litapatikana leo saa 5:00 asubuhi hii.
Paskali.
Ubaya ubwela mkuu, siku hazigandi,kuna kesho tuweke akiba ya manenoWanabodi,

Jibu limeishapatikana ni Ayatolah Mbowe.Jibu litapatikana leo saa 5:00 asubuhi hii.
Nimependa analysis yako ipo vizuri.Wanabodi,

Hakika wajinga watampa kura Lissu.Eti Lissu atapata kula za wajinga ?? Paschal hakuna mwanasiasa Tanzania hii kwa Sasa anaeleweka kwa watu walioenda shule Kama Lissu
Lissu anachukiwa na wapigaji na janja janja misheni town
Lissu ngoja aje awanyooshe na natamani awanyooshe zaidi ya Magufuli asiue tu !!
Kuna mtu aliyekwenda shule anaweza kuwa na muda wa kuandamana na kuhudhuria mikutano ya hadhara kutwa nzima?。Eti Lissu atapata kula za wajinga ?? Paschal hakuna mwanasiasa Tanzania hii kwa Sasa anaeleweka kwa watu walioenda shule Kama Lissu
Hachukiwi but ni type ya populist leader using populisim。Lissu anachukiwa na wapigaji na janja janja misheni town
Baada ya kauli ya leo ya Mbowe kutetea kiti chake, this the end of the road kwa Lissu Chadema Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je atabaki ama atatimka?. Lissu Cool Down!, usiitishe Press kumjibu Mbowe!Lissu ngoja aje awanyooshe na natamani awanyooshe zaidi ya Magufuli asiue tu !!
Mkuu siasa za kidemokrasia zinataka mass mobilisation, kwani siasa ni numbers.Hoja yako