Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

Wewe jamaa kilaza sana. Eti makonda alimuondoa manji. Simba kwa sasa haiwazi yanga anawaza kimataifa tuu
Mataahira yanazidi kuongezeka humu, huko kimataifa ana kombe gani we Kolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…