Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

Mwenyezi mungu atatuondolea huyu shetani. Kwani yeye ndiye muumba wa kila kitu. Naamini tutarudia tena uchaguzi siku si nyingi.
 
Wakijani watarudi mjengoni,siyo kwa sababu wanapendwa Sana na Watz Baki, ni kwa sababu chama kile kimeshika Hatamu kwenye kila nyanja.
 
YAMETIMIA! SASA WAWEZA KUWARUHUSU WATUMISHI WAKO WAENDELEE KUTUMIA MAGARI NA MAFUTA KWA KWENDA MBELE!! JE WOTE WATARUDI UTEUZINI? AU NASI SAFARI HII TUTAKUWEMO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…