Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

 
Hakutakuwa na chama kimoja, wapinzani watakuwepo ila sio hao vibaraka wa wakoloni mambo leo, waende huko wakatumike vizuri zaidi lakini sio kwa kodi zetu.

Hao vibaraka wanakera sana
Yan tangu Jana internet iko slow Sana, Yan sisi wafanyabiashara wa kutumia online tumeteseka Sana Tena sana

Yan Hawa vibaraka wa mabeberu warudi tu huko walikotoka

Wamefanya Mpaka maji yetu ya kunywa yamekuwa ni tope kabisa
 

Attachments

  • 2020-10-25 09.17.05.png
    575.2 KB · Views: 2
Nilishasema awali, una njaa wewe na unalazimisha uteuzi kwa kujipendekeza. Kazana maana ndiyo shortcut uliyonichagulia kujitafutia tonge!!
 
Ukweli orodha ya wapiga kura niliyo ikuta kituoni haiendani kabisa na idadi ya wapigakura katika eneo letu ninaimani kunaajina hewa kibao
 
Kijani tupu, watu wanaangalia jina la kwanza tu kutia tick na kuondoka. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
 
Swali langu ni dogo tu
Why tumetumia gharama nyingi kuendesha uchaguzi wakati kila kitu tayari kipo planed?

Ndio maana wazungu huwa wanatufananisha na masokwe

Hayo maela yote si bora yangeenda kulipa pession kwa wazee wetu?
Mkuu hp4510 , huu ndio ulikuwa ushauri wangu wa kwanza kabisa, angalia tarehe ya bandiko hili
P
 
Wakijani watarudishwa bungeni na NEC baada ya hapo ziraili mtoa roho ataanza kuwaondoa mmoja baada ya mwingine maana yake ni hii haki huinua taifa na mwenye haki ataishi

Hao Wakijani muda wao wa kirudi bungeni ulikoma baada ya kifo cha Mkapa kifuatacho sasa ni RIP KWA KIJANI WOTE WATAKAO RUDISHWA BUNGENI NA NEC

NB
MUNGU SIO MEKO
 
Naona huku Hai CCM wameamua wasipoteze kura, kumbe waliamshana nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na hawamuachi mpiga kura nyuma hata wagonjwa wenye kadi halali za kupiga kura (*152*00# -9 ikifuatiwa na namba kitambulisho chako) CCM inawetengezea jinsi gani ya kuwafikisha vituoni. Kuna mfumo wa aina yake wa kukusanya kura hapa Hai.

Mbona wemejipanga hivi? kuna nini kinakuja kutokea?
 
Wala Soo mchungu huo! JPM nA CCM ndio mpango mzima! Tunawasaidia hao waziba midomo wasije siku moja wakajisahau na kujiwekea super glue! Wake huku wasugue benchi kwanza! Sipati picha Kila Lema, Sugu, Mbowe na henge lake watakavyoishi[emoji848]! Chezea JPM ww! Waaaacha maneno, Kwisha habari yao! JPM ndio mpango mzima, imeishia hiyo!
 
Nyie TTCL ovyo tu, pumbavu nyie, badala ya kuitangaza kampuni manaanza kujishughulisha na siasa.
Soon mtaolewa pimbi nyie
Mungu vipi mbona mapovu na matusi mnatukana tu Kila mtu, mpoje🤔! Na ndio bado, karibu I kwenye sherehe za kumuapisha JPM!
 
Watapataje mia chini ya mia, ina maana Mbatia wamemuingiza chaka, si nasikia wamemwahidi viti 30 kama shukurani ya kuunga mkono juhudi na kusaidia kuiua CHADEMA.
Ulisikia wapi😂😂😂😂😂😂!?
 
Kada mwenzangu hapa kidogo haileti maana kwani sio. Hili lifikirie vizuri kumbuka bila upinzani tutalala sana na mwisho hatutakuwa hatuna hoja kumbuka tangu 1977 tupo madarakani na kama tupo tuangalie na nyakati na upepo unavumaje kwetu ndani ya chama na nje ya chama.
 
Ndugu Mayala P.

Ukweli mchungu. Kesho wanabadili lugha na kusema kura zimeibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…