REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Kama wewe ni muumini wa dini nadhani unajua malipo ni hapa hapa duniani hakunaga cha mbinguni acha wafanye uhuni wao wanaojua ila at the end wataumbuka IPO SIKU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hata mtu mmoja hasa huku afrika anayeweza kumzuia mkoloni! wewe mwenye hicho kifaa unacho tumia ni cha huyo mkoloni hata tishu tu ya kuchambia ni ya mkoloni! hahaaahHakutakuwa na chama kimoja, wapinzani watakuwepo ila sio hao vibaraka wa wakoloni mambo leo, waende huko wakatumike vizuri zaidi lakini sio kwa kodi zetu.
Utakuwa tajiri sana wakitokaKwa heri konyagi aka ...faru dume. Tulikupenda lakini ukajidhalilisha Siku ya mwisho mjini Dodoma.
Utakumbukwa kwa kuleta taharuki na fujo, maandamano na vifo. Matusi na kejeri.
Tanzania itapumua sasa.
Tanzania ya hapa kazi tu , imezaliwa.
Kazi itakuwa ni kipimo cha utu.
Midomo ya matusi bye bye.
Hamna kitu kipya unachotabiri hapo.Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Wanabodi,

Wakitumia haki bini ukweli kijani hata mtu mbili wasingerudiWanabodi,

Acha mawazo mgando wewe nchi yetu sote hao vibaraka unaowasema wanaishi sayari ya ngapiSisi wananchi tulio wengi, hatutaona Rais akikwamishwa na hao vibaraka wasoitakia mema nchi yetu, maendeleo yatapaa sana sababu Rais atakuwa na full support ya wananchi.
Ninakubaliana nawe 100% kwa sababu zifuatazo:Wanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Mkuu alikuwa mchanga au alikuwa anakula vumbi la chaki huko kijijini?Magufuli alikuwa bado mchanga
Umekosea. Uwingi wenu ni upi? Umepima kwa mizania gani? Mizania ya kweli ni uchaguzi huru na haki ndipo utasema nani wengi.Sisi wananchi tulio wengi, hatutaona Rais akikwamishwa na hao vibaraka wasoitakia mema nchi yetu, maendeleo yatapaa sana sababu Rais atakuwa na full support ya wananchi.
Upinzani hautakufa utaendelea kuwepo ila hatutaki watu kama akina lissu, wakatumike vizuri na mabeberu wao.Mtapata nini kuwa na utawala wa chama kimoja?
Je kitaleta chakula mezani kwenu? au kitawalipa mshahara bila kufanya kazi?
Watu wote watapata ajira? au ndio hata zile za buku 7 zinaenda kukoma!
Ni mpumbavu tu atakayeshangilia kufa kwa upinzani maana hakuna faida kwa mtu yeyote zaidi ya hasara.
Hakuna ambaye hatoguswa kwa kufa kwa upinzani hata yeye uwenda siku moja akawa nje ya madaraka akaguswa tuendelee kuwepo.
Hehe.. October sio mbali.Umekosea. Uwingi wenu ni upi? Umepima kwa mizania gani? Mizania ya kweli ni uchaguzi huru na haki ndipo utasema nani wengi.
Mwaka huu. Ngoma droo yani ,nyie jidanganye ,kwatume hii nakuhakishia ngoma droo , sisi tuchague mwakilisha tunae mpenda alafu eti mkurugenz au mtendaji wa kata afanye yale anayojisikia ,kufanya ivyo ni kubet amani ya nchiWanabodi,
"Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' "
Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!.
Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu, lakini huo ndio ukweli wenyewe!, Watanzania woote katika Umoja wao, wamewakubali sana 'wakijani' na hili watalithibitisha tarehe 25 October, 2020. Mwenye masikio na asikie!.
Sisemi yamesemwa na nani na yamesemwa wapi, bali nawaomba tuu mniamini!.
Hongereni sana 'Wakijani'
Tulipokuwa tukiwaeleza humu kuhusu Watanzania tujifunze kuukubali ukweli hata uwe ni mchungu vipi kama ukweli huu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Mlinibeza!.
Niliposema kuhusu hoja ya wabunge wasio wa kijani, wakitaka kurejea Bungeni 2020 ni lazima wajitambue
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pia mlinibeza humu.
Sasa leo Bunge limevunjwa rasmi, tegemeeni "the mass exodus" kwa wabunge wasio 'wakijani' watakao jitambua, they will do the needful, kwa ving'ang'anizi na wenye misimamo, ambao watashikilia msimamo kwa kusimama na wanachokiamini, hawa ni mashujaa!, watakufa kizungu na tai shingoni na kama ni meli au jahazi, hata likumbwe na tufani kubwa kiasi gani, wao watazama na meli yao au jahazi lao na watatamkwa mashujaa watakufa kishujaa!, hoja ya kati ya "waliojitambua" hai, na 'mashujaa' wafu, nani ni muhimu zaidi, ni debatable!.
Kwaheri ya kuonana hadi Novemba
2020... "ndani ya nyumba" panapo majaaliwa!.
Paskali
Huwa nikikutana na thread ya Pascal Mayalla ,bila kujali ameianzisha yeye, au amechangia tu, huwa ni lazima niisome.Paskali ni kuwa umeamua kuanzisha uzi kuwa hiyo nia ya Magufuli kunajisi uchaguz, ili wanaccm tu ndio warejee bungeni ndio umeijua sasa? Mbona hilo alitamka wazi toka alipoingia madarakani, na amekuwa akitekeleza tokea kwenye chaguzi za marudio, na hata huu uchaguzi wa serikali za mitaa.m? Halafu ww ndiyo unasema hii ni ccm imara na inayokubalika! Kutoka kwenye haya madaraka yanayotumuka vibaya, humo ndiko kura za ccm zilipo.
Sasa Kama Upinzani wenyewe ndio huu kwanini Upinzani usife...Ni Wapumbavu tu ndio watakaong'ng'ania Upinzani wakijinga huu uendelee nchiniMtapata nini kuwa na utawala wa chama kimoja?
Je kitaleta chakula mezani kwenu? au kitawalipa mshahara bila kufanya kazi?
Watu wote watapata ajira? au ndio hata zile za buku 7 zinaenda kukoma!
Ni mpumbavu tu atakayeshangilia kufa kwa upinzani maana hakuna faida kwa mtu yeyote zaidi ya hasara.
Hakuna ambaye hatoguswa kwa kufa kwa upinzani hata yeye uwenda siku moja akawa nje ya madaraka akaguswa tuendelee kuwepo.
Toa hoja suala la atapata nini halina mashiko. Kwa sababu hata wakirudi wapinzani hakuna mtu ataletewa chakula mezani bila kufanya kazi.Mtapata nini kuwa na utawala wa chama kimoja?