Japo ni Mwafrika mweusi siwezi kuwa zuzu wa kushangilia timu za Afrika huko Qatarl katika Kombe la Dunia

Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC wanaishabikia Brazil kwakuwa rangi ya jezi zao zinafanana.
Hata Brazir haikupendi maana haikujui
 
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC wanaishabikia Brazil kwakuwa rangi ya jezi zao zinafanana.
Kwa hiyo ukiondoa kuwa Popoma mbobevu! Wewe pia ni Zuzu!!
 
Back
Top Bottom