Japo niridhike

Huyo alirudi kwa mke baada ya mambo kuharibika kwa hawara. Na mke kwa upendo kamrudishia 50% ya unyumba. Akitaka 100% ya unyumba, asubiri mkewe naye aachike huko kwa hawara. What goes around comes around, hakuna short cut. Kilichomfanya ajutie na kurudi kwa mkewe si upendo, ni circumstances. Na kilichompeleka mkewe huko aliko ni circumstances pia. Na ndizo zitakazomrudisha kwa mumewe, lakini bado hazijatokea. Huyo bwana alilikoroga, sasa analinywa. Mfumo wa maisha ulimwenguni haukutengenezwa kwa msingi wa huruma, ni kanuni tu, kila kosa lina adhabu yake, hapahapa!
 
Nina swali kwa wanaoshauri huyo dada akae kimya:

1. Mnadhani huyo dada ataweza kuitunza siri hiyo kwa mda gani kabla ya mambo kuanikwa hadharani? Hasa ukizingatia kuwa huyo mume mtu tayari anahisi kuna kitu kinachoendelea...
2. Huyo dada atakuwa tayari kukabiliana na mumewe atakapogundua hiyo siri badala ya kumwambia ukweli yeye mwenyewe mapema?

Mnapojibu tafadhali wekeni pembeni haya mawazo ya "kama mume asingetoka na hawara in the first place haya yoote yasingetokea"... at the end of the day wote wawili wamezini nje ya ndoa and they both need to forgive themselves and each other. Huyo dada might think she is smart kwamba mpaka sasa mume hajagundua chochote lakini believe me he will find out and i dont think she will be ready to deal with the crisis then.

TWO WRONGS DONT MAKE IT RIGHT!
 
Aisee kwani vipi? Mbona wanifatafata hivyo? Hebu nitaje basi kama unanijua maana yaelekea kila mtu unadhani alivyo hapa ndivyo alivyo kwenye real life.....

Mh mwe jamani lol mimi naanza kupata mashaka kama wewe ni he kwani mh anyway pweeeeeeee sasa nikutaje kama nakujua imetokea wapi tena? kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi shost naona ukapumzike tu nadhan hujisikii vizuri leo
 
Mh mwe jamani lol mimi naanza kupata mashaka kama wewe ni he kwani mh anyway pweeeeeeee sasa nikutaje kama nakujua imetokea wapi tena? kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi shost naona ukapumzike tu nadhan hujisikii vizuri leo

hamna tabu bishosti baadaye basi
 
Ndoa hamna hapo........wanafanya maigizo!

Kama mume hatambui kuwa nafasi yake ilikwishachukuliwa ni juha! Wala asijidanganye kufanya uchunguzi na hata akijua atafanya nini? kwangu mimi ni kufunga ukurasa huo na kuanza maisha upya..................nitahesabu kuwa ndo imenishinda na kwa kuwa mimi ndiye sababu hakuna kujilaumu ni kukubali matokeo!

Mke kutuambai ndoa anaitaka na mfanyabiashara anamtaka si kweli..............either you are in or you are out! Huu ni ujuha mwingine......nafsi yake imelewa raha za mafanyabiashara basi arasmishe raha zake na asimamishe rasmi ndoa yake ambayo ilkwisha kufa siku nyingi.......two years ago!
 
NN acha kuzozana nao hao!wapotezee mkubwa maisha yaendelee!

Tell him, u better tell himoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo haucam uzozane na kinadada? haya mambo ya usawa haya mwe sasa na ndume zinachonga midomo tena kwa kusutana live bado mtaanza kubeba mimba inaelekea usawa unaelekea kwema tutapumzishwa
 

Maty...minmi ni mdada na natafuta mume hapa. Uko available?
 
Today 01:43 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.
Today 01:43 PM
Nyamayao
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.
Today 01:44 PM
Nyamayao
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.
Today 01:45 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.Today 01:51 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by Invisible.
Today 01:56 PM
Dena Amsi
Senior Member
This message has been deleted by Invisible.
Today 01:58 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by Invisible.



Hapa nimekosa uhondo sana! Poor me!
 
you do me i do you hahahahaha tit fot tat, naogopa sana ku mcheat mke wangu coz akijua halafu na yeye wakaanza kummega haki ya nani mwanamke akiwa fed up fedheha zake ndo hizo mwanaume inabidi upige magoti uanze kubembeleza aaaaagh yote ya nini
 
Maty...minmi ni mdada na natafuta mume hapa. Uko available?

Sasa naona unaanza kwenda vyema, unaongea kwa staha. Mi nilikuwa napendaga sana wewe ila leo ulitaka anza niboa lakini naona sasa naona umerudi katika hali yako ya kawaida
 

pole kaka....mweh, mwehh....watu wanajifanya wataalamu kumbe wanajidhalilisha tu.
 
Sasa naona unaanza kwenda vyema, unaongea kwa staha. Mi nilikuwa napendaga sana wewe ila leo ulitaka anza niboa lakini naona sasa naona umerudi katika hali yako ya kawaida

Kumbe wewe mwepesi namna hiyo?
 

Salute!
 
nilisha sema wanawake wana high love tech na kuficha siri nzito sana na huwezijua kama anatoka nje.......yani mwambie huyo rafiki yako katu asisseme yani mpaka mwisho..............nyambafu sana huyo ji babaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…