Japo niridhike

ndio maana nimekwambia aombe talaka mahakamani maana hapo hamna ndoa tena ila hutaki kukubali wakati jibu liko wazi. Hakuna sululu hapo zaidi ya kuachana tu au mtu mmoja kufa kati ya hao watatu ndio sululu itapatikana na si zaidi

unajua wewe hapa hatuongelei talaka, na nani atakubali mambo ya talaka kwenye vugu vugu kama hili?
 
Stori za Nyamayao bana....yaani hakuna jipya...ni zilezile tu kila mara
 
Wapi Rose1980, hebu twende tukapate lunch banaaa!hii hoja ya NN ni nzito na inahitaji tushibe kwanza!!!!!

Unajua mimi humu ndiyo nimezoeleka kwa jina hilo la NN.....sasa sijui ulimaanisha mimi au mtu mwingine maana ndiyo kwanza naitia hii mada machoni....
 

Hilo huwa hawalioni, maana wanawake wao wana roho za chuma ni maselfish sana wanaume (some of them). Kosa wakifanya wao watakiwa kucheka mpaka gego fanya wewe,utakiona cha mkati fire wood!!
 
sasa unataka nikubali kwaba mfanyabiahsara kamuiba my frnd au uanataka nikubali nn?...fikiria ufikiriavyo ni ahki yako.
hivi kuna makubaliano gani ya kutembea na mke wa mtu, mbona unataka kuharatisha uzinzi Nyamayao. Ina maana leo mume wako mkigombana halafu akaingia makubaliano na m/mke mwingine wakaananza kufanya uzinzi utasema kuwa haibi. Hakuna uhalali wa mtu kutembea na mke wa mtu zaidi ya kumuibia m/ume mwenzie kwani kuna mapenzi bila makubaliano? aaagh
 
akina dada mnakaaga na siri nzito nyinyi kwenye ndoa!wakati mume unajiona kidume ndani ya nyumba, kumbe mke ameshakuchakachua muda mrefu sana!!!!!!


Huwa hamjuagi tuu, jitahidini kusoma alama za nyakati. Wakikaaga kimya "wanawake" mwachekelea mwawaona mazoba, shauri zenu.
 
unajua wewe hapa hatuongelei talaka, na nani atakubali mambo ya talaka kwenye vugu vugu kama hili?
tatizo lako Nyamayao ushauriki, ukishikilia kitu unataka kiwe hivyo hivyo sijui huko nyumbani kwako kukoje?
 


lakini kuna uhalali kwa mume kuwa na hawara?....kwani huyu frnd wangu alibakwa na huyu mfanyabiahsra? c walikubaliana wenywe kuanzisha uhusino, halafu mara umlaumu mke mara mafanyabiashara kaiba mke, mara talaka, mdada anataka tu msaada aseme ukweli au aendelee kukana? na kama akisema aseme kila kitu au mengine ameezee?...btw huwaga siamini kama mtu mzima anaibwa, angeibwa angejinusuru kwenye kuibwa, hajafanya lolote anaendelea na uhusiano kama alivyoamua, sasa kaibwaje huyu? mie mr wangu akitembea nje huko cwezi sema mwanamke fulani kaniibia mr wangu hata cku moja ni aliamua mwenyewe kufanya hivyo na kama alipitiwa(pombe) etc kesho yake ataanza maisha mapya, sio mtu anapitiliza mwaka kabisa niseme kaibwa, hata matumizi ya watoto huyu bwana aliyasahau halafu unataka kama kumtetea vile.
 
Huwa hamjuagi tuu, jitahidini kusoma alama za nyakati. Wakikaaga kimya "wanawake" mwachekelea mwawaona mazoba, shauri zenu.

mambo vipi, we ndo Tshala mwana eeeeh?
 
Na anapenda kuwalaumu wanaume huyo, sijui wamemkosea nini?
Halafu anaomba ushauri na mtu ukimshauri anakupinga anataka yeye anavyotaka ndio iwe. Pysicological problem
 
Hasira ziko hapo kwenye ulichoninukuu? Ni hicho kijike ndicho chenye hasira....angalia kilivyonijibu....lakini hapa ni moto kwa moto tu na kingekuwa mbele yangu walahi ningekifunua nguo na kukiadhirisha hadharani

NN acha hasira mambo ya kawaida hayo. Pole Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…