FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana nimekwambia aombe talaka mahakamani maana hapo hamna ndoa tena ila hutaki kukubali wakati jibu liko wazi. Hakuna sululu hapo zaidi ya kuachana tu au mtu mmoja kufa kati ya hao watatu ndio sululu itapatikana na si zaidi
Stori za Nyamayao bana....yaani hakuna jipya...ni zilezile tu kila mara
Wapi Rose1980, hebu twende tukapate lunch banaaa!hii hoja ya NN ni nzito na inahitaji tushibe kwanza!!!!!
kwanini unajichosha kuzisoma....leta zako mpya.
unadhani huyu mume angekuwa muwazi kwa mke wake kama sio tatizo lililotokea la kumfumania hawara?...mbona alimuumiza sana hapo nyuma na bila kumuonea huruma wowote, yeye katendwa akakumbuak kivuli cha kujifichia jua....muwe mnaongelea kote kote jamani, kila mtu ana roho ya nyama.
kwanini unajichosha kuzisoma....leta zako mpya.
hivi kuna makubaliano gani ya kutembea na mke wa mtu, mbona unataka kuharatisha uzinzi Nyamayao. Ina maana leo mume wako mkigombana halafu akaingia makubaliano na m/mke mwingine wakaananza kufanya uzinzi utasema kuwa haibi. Hakuna uhalali wa mtu kutembea na mke wa mtu zaidi ya kumuibia m/ume mwenzie kwani kuna mapenzi bila makubaliano? aaaghsasa unataka nikubali kwaba mfanyabiahsara kamuiba my frnd au uanataka nikubali nn?...fikiria ufikiriavyo ni ahki yako.
akina dada mnakaaga na siri nzito nyinyi kwenye ndoa!wakati mume unajiona kidume ndani ya nyumba, kumbe mke ameshakuchakachua muda mrefu sana!!!!!!
tatizo lako Nyamayao ushauriki, ukishikilia kitu unataka kiwe hivyo hivyo sijui huko nyumbani kwako kukoje?unajua wewe hapa hatuongelei talaka, na nani atakubali mambo ya talaka kwenye vugu vugu kama hili?
Wala sijasoma....nimesoma kichwa cha habari tu nikaishia hapo......
Stori za Nyamayao bana....yaani hakuna jipya...ni zilezile tu kila mara
Aaaa sikiliza weee kijike....hebu shika adabu yako kwanza kabla hujashikishwa ukuta...ebo.
hivi kuna makubaliano gani ya kutembea na mke wa mtu, mbona unataka kuharatisha uzinzi Nyamayao. Ina maana leo mume wako mkigombana halafu akaingia makubaliano na m/mke mwingine wakaananza kufanya uzinzi utasema kuwa haibi. Hakuna uhalali wa mtu kutembea na mke wa mtu zaidi ya kumuibia m/ume mwenzie kwani kuna mapenzi bila makubaliano? aaagh
Huwa hamjuagi tuu, jitahidini kusoma alama za nyakati. Wakikaaga kimya "wanawake" mwachekelea mwawaona mazoba, shauri zenu.
Halafu anaomba ushauri na mtu ukimshauri anakupinga anataka yeye anavyotaka ndio iwe. Pysicological problemNa anapenda kuwalaumu wanaume huyo, sijui wamemkosea nini?
Hasira ziko hapo kwenye ulichoninukuu? Ni hicho kijike ndicho chenye hasira....angalia kilivyonijibu....lakini hapa ni moto kwa moto tu na kingekuwa mbele yangu walahi ningekifunua nguo na kukiadhirisha hadharani