Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Yaan PSG jana alinikera aisee sio kwasababu barca kapita ila kwanini aliridhika kiasi kile mpaka akashuhudia anapigwa 6,halaf eti wanalia walitakiwa wacheke kwa mshangao
 
Alafu kwanini messi alikataa kupiga penati ya pili?? Au ndio ilikua presha na hofu angekosa?
Lengo ni wote wawe na magoli mengi coz kwa msimu huu neymar ana magoli machache kwenye combination yao so chance ilikuwa ya neymar kuongeza idadi
 
nothing is impossible under the sun.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…