Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
- Thread starter
- #21
Kwa mpira wa jana hata haikua refa mkuu!! Mi siipend barca ila that was effort!! Walipigana na tuliona hilo!Barca marefa wakiamua wanashinda hata 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mpira wa jana hata haikua refa mkuu!! Mi siipend barca ila that was effort!! Walipigana na tuliona hilo!Barca marefa wakiamua wanashinda hata 10
Ambae atatusumbua hapo ni Bayern tu!!Labda kama akina buyern...real..na borussia hawapo!
Nimeshaamka mkuu...sioti! Kombe habebi!!Mkuu unaota au unaongea ukweli? achana na hiyo timu
Hii sasa ndio ndoto! Kwangu naipa nafasi timu ya ujerumani au italy!Mwaka huu kombe linaenda England
Labda siyo Barca nayoifahamuNimeshaamka mkuu...sioti! Kombe habebi!!
Na huyo ndio atayemtoa!! Hawezi kubali kupigwa tena mwaka huuAmbae atatusumbua hapo ni Bayern tu!!
Madrid hakohoi kwa Barca! Ila Atletico Madrid ndo anamsumbua Barca.Acha upenzi fuatilia trendNa huyo ndio atayemtoa!! Hawezi kubali kupigwa tena mwaka huu
Upenzi shidaNa huyo ndio atayemtoa!! Hawezi kubali kupigwa tena mwaka huu
Mechi ya Madrid na barca yeyote huwa anafungwa, huwa haitabirikiMadrid hakohoi kwa Barca! Ila Atletico Madrid ndo anamsumbua Barca.Acha upenzi fuatilia trend
Mkuu wamekusikia wasameheKwa kweli PSG ni wapuuzi sana .....shenzi zao.....
Lengo ni wote wawe na magoli mengi coz kwa msimu huu neymar ana magoli machache kwenye combination yao so chance ilikuwa ya neymar kuongeza idadiAlafu kwanini messi alikataa kupiga penati ya pili?? Au ndio ilikua presha na hofu angekosa?
Ni wajinga sana !!Yaan PSG jana alinikera aisee sio kwasababu barca kapita ila kwanini aliridhika kiasi kile mpaka akashuhudia anapigwa 6,halaf eti wanalia walitakiwa wacheke kwa mshangao
Na wewe unaota!! El classico huwa haitabiriki yeyote anafungwA!! Hana cha history wala nini!!Madrid hakohoi kwa Barca! Ila Atletico Madrid ndo anamsumbua Barca.Acha upenzi fuatilia trend
Kweli kabisa mkuu...only if you believe!!nothing is impossible under the sun.......