Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Japo sikupenda Barca avuke, ila hili ndio nimejifunza jana

Na huyo ndio atayemtoa!! Hawezi kubali kupigwa tena mwaka huu
Upenzi shida
 
Yaan PSG jana alinikera aisee sio kwasababu barca kapita ila kwanini aliridhika kiasi kile mpaka akashuhudia anapigwa 6,halaf eti wanalia walitakiwa wacheke kwa mshangao
 
Alafu kwanini messi alikataa kupiga penati ya pili?? Au ndio ilikua presha na hofu angekosa?
Lengo ni wote wawe na magoli mengi coz kwa msimu huu neymar ana magoli machache kwenye combination yao so chance ilikuwa ya neymar kuongeza idadi
 
nothing is impossible under the sun.......
 
Back
Top Bottom