Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

nimeusika huo wimbo haufikii collabo ya dai na davido

jaman tuwe waakweli
Unafikiri issue ni kuwa wakweli basi... issue hapa ni taste ya mtu! usije ukashangaa kuona kuna mtu bila unafiki wowote, akaona hii ngoma ni kali kuliko My Number One Remix! Kama wewe ni mkubwa mwenzangu, nadhani unaikumbuka California Love ya 2Pac! Kuna mshikaji wangu mmoja, huyu jamaa ni mtu wa muziki na ni mwanamuziki vile vile! Yeye alikuwa anaichukulia CL kama one of the worst tracks kwa 2Pac!
 
Ni wimbo mzuri, ila inabidi awe anafanya mazoezi sana. Kwenye wimbo anavyovuta pumzi kunasikika kila baada ya mstari.
 
Back
Top Bottom