chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Nasubr video tu mie audio ni nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri issue ni kuwa wakweli basi... issue hapa ni taste ya mtu! usije ukashangaa kuona kuna mtu bila unafiki wowote, akaona hii ngoma ni kali kuliko My Number One Remix! Kama wewe ni mkubwa mwenzangu, nadhani unaikumbuka California Love ya 2Pac! Kuna mshikaji wangu mmoja, huyu jamaa ni mtu wa muziki na ni mwanamuziki vile vile! Yeye alikuwa anaichukulia CL kama one of the worst tracks kwa 2Pac!nimeusika huo wimbo haufikii collabo ya dai na davido
jaman tuwe waakweli
Sawa.....Nyimbo mbovu sanaaa achen kupaka mafuta