2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.
Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi waishio vijijini wasio na mwingiliano mkubwa sana.
Serikali ipige marufuku tu waende hata kipindi kingine