#COVID19 Japo tumechelewa serikali ipige marufuku safari za mwisho wa mwaka kwa hali ilivyo sasa

View attachment 2048868
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.

Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi waishio vijijini wasio na mwingiliano mkubwa sana.

Serikali ipige marufuku tu waende hata kipindi kingine
WaTz kwa kupenda udikteta? Kila kitu mnataka serikali iwapangie!
 
View attachment 2048868
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.

Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi waishio vijijini wasio na mwingiliano mkubwa sana.

Serikali ipige marufuku tu waende hata kipindi kingine
Viasaka at fleek..
 
Back
Top Bottom