View attachment 2048868
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.
Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi waishio vijijini wasio na mwingiliano mkubwa sana.
Serikali ipige marufuku tu waende hata kipindi kingine
Wazo lako ni zuri sana, lakini ngumu kulitelekeza, kikubwa kila mmoja achukue tahadhari japo inaweza kutokea majanga sanaView attachment 2048868
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.
Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi waishio vijijini wasio na mwingiliano mkubwa sana.
Serikali ipige marufuku tu waende hata kipindi kingine
Hafu mtu mkuuMjiandae kuzikana pia
Serikali haishindwi kitu, unaamini?Wazo halitekelezeki, yaani hiyo haina tofauti na lockdown.
Ko serikali ikae Mbezi au Chalinze ianze kuchuja wasafiri? Au safari za mabasi zisitishwe? Ebu tuambie vizuri, wewe ungekuwa serikali hili ungelitekeleza vipi?
Ingekuwa kwa kiduku mbona hili swala lingekuwa jepesiWazo halitekelezeki, yaani hiyo haina tofauti na lockdown.
Ko serikali ikae Mbezi au Chalinze ianze kuchuja wasafiri? Au safari za mabasi zisitishwe? Ebu tuambie vizuri, wewe ungekuwa serikali hili ungelitekeleza vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha wivu na watu kusafiri wewe, kwani wewe kabila lenu mumenyimwa kusafiri?
Na kwa taarifa yako acha tuende tuka busti betri zijae Ili tukirudi tutafte hela vizuri zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakinga na nyie muwe mnarudi makete mwisho wa mwaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa kwa kiduku mbona hili swala lingekuwa jepesi