Japo Uchaguzi wa 2020 ni Uchaguzi halali, Ushindi wa Kishindo wa CCM ni halali? Wapinzani ni Wameshindwa Kihalali au Wamedhulumiwa kwa Figisu?

Kwani Paschal BADO HUJA LAMBA TEUZI TU??
hadi majaliwa kaingia Bungeni, kutoka Ziwani.....

Ama kweli Maisha hayana Fomula
 
Elimu yako na umri wako haviendani na unafki na kujipendekeza kwako. Tumia ulicho nacho kujitafutia riziki achana na uchawa
 
CDM wasirudie kosa like lile, Wanashiriki uchaguzi wakijua fika matokeo ya Urais hayahojiwi mahakamani,

Baada ya matokeo wanakataa kumtambua Rais wakati wameshiriki uchaguzi ambao hautoi fursa ya matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani.

Pia nimemsikia Mbowe akimwita Sa100 Mh Rais wakati chama hakitambui matokeo na Rais aliyetokana na matokeo hayo.

Wangemtambua Rais, Leo wangekuwa na Ruzuku, na hao COVID wangeshatimuliwa.

Time hii naona CDM wamestuka, viongozi wanasema hawatoshiriki uchaguzi kabla ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Bt, CDM imechangia sana kutuchelewesha kufika TAHRIL square.
 
Msameheni huyu mtu labda amefumaniwa na uzee na kuna vitu bado haviko mkao, hivyo ana tapatapa
 
ebu tuweke sawa kwenye hili swala ..Mimi nimesimamia uchaguzi kiukweli sidhani Kama kweli uchaguzi ulikuwa unawizi mkubwa suala ni kwamba wapinzani hawakujitokeza kabisa kupiga kura so unawezaje kusema umeibiwa wakati wafuasi wenu hawakupiga kura...Kama nikuibiwa ni mwaka 2015....ntakubali lakini kwa uchaguzi wa 2020 hapana baada ya kushindwa kushawishi wananchi na kushindwa vibaya ndio wakaja na kigezo Cha ubatili wa uchaguzi...na hili ni kwa sababu mpaka viongozi wakubwa wa upinzani kushindwa vibaya so ili kuficha aibu ndio wakaja kudai ni kwamba wameibiwa...
 
Vipi wewe kukosa nafasi bunge la Afrika Mashariki ilikuwa halali au mi zengwe?
 
Umeandika saana umefikiria kidogo ilitakiwa kuwa vice versa! Nahili nitatizo lenu wanasheria wasomi kilakitu mnakiweka kivitabu vyakizungu mlivyokaririshwa!! Sio kila mahali ni kotini ndugu Mayala...sasa Nikuulize haya ,
*Mbakaji asiposhtakiwa anakuwa hajafanya haramu/tendo batili? Mwizi je?
*Wakoloni wengine hatujawashtaki kwahiyo hawakufanya ubatili na haramu?
*waislamu husema nguruwe ni haramu na batili wewe unawapinga?
Nionavyo mimi
Haramu ni batili na nimambo yoote yaliyofanyika kinyume cha dini/imani,sheria maadili na miiko ya jamii fulani iliyostaarabika.
 
Acha uongo bora upige kimya sio wewe tuu ulosimamia uchaguzi alafu kuna sehemu na sehemu.
Bila tafiti hunahaki kutoa hitimisho!! Kiufupi hakuna maana kufanya uchaguzi wakidemokrasia kihuni hiyo ni wastage of ETM (Efforts,Time & Money) bora turudie chama kimoja
 
Washindi ni halali kwa sababu washindwa hawakwenda mahakamani
Acheni kujizima data nyinyi chawa was ccm! Unazungumzia mahakama zipi zinazotenda haki na ambazo hazifuati maagizo kutoka juu? Mnaishi huko Tanzania au Burundi?
Hao walodhulumiwa ushindi wao pamoja na wananchi walitumia agizo la Mungu kwani busara pekee ilikuwa kumshtakia Mungu ili apime na kuamua kwa haki. Na Mungu kawapa wadhulumiwa haki yao kwani Kila uchao anawachanganya vichwa ccm kiasi kwamba wananyukana wao kwa wao! Na wengine kawatwaa na kuwanyqng'anya madaraka yao! Mungu atawalipia tu wazidishe maombi!
 
Washindi ni halali kwa sababu washindwa hawakwenda mahakamani
Yeye Mwenyewe Magufuli hadi anafariki alikuwa anashangaa kwa nini CHADEMA hawajenda Mahakamani. Hicho kitu hadi anakufa kitakuwa kilimtesa sana.

Na hadi sasa ndiyo uchaguzi mkuu pekee nchini ambao hakuna mgombea ambaye alienda mahakamani kupinga ushindi wa aidha ubunge au hata udiwani
 
Unampa mwanamke mimba kiharamu anazaa mtoto halali hata kama humlei ataendelea kuwa mtoto.
 
Mahakama ipi inapokea pingamizi juu ya matokeo ya URAIS?

Hiyo ndo moja ya sababu kuu ya kuidai KATIBA mpya.
 
Mahakama ipi inapokea pingamizi juu ya matokeo ya URAIS?

Hiyo ndo moja ya sababu kuu ya kuidai KATIBA mpya.
Mjumbe ni bora ule matapish yako kuiko kula ya wenziyo. Kenya kuna tumehuru, inatangazwa regions mnaomba, mnahojiwa hazarani, wanatoa marks. Ni sawa na Jaji Warioba na Jaji Kisanga na Askofu Pengo, waombe kazi na kuhojiwa na matusi ya Mr Tundu. Kenya wanayo, kina Wafula Chapukati na Gloria Sesere walipiga kura watu wa Raila wakashinda 4-3 lakini wakakosa urais. Ninachotaka Mjumbe ni kuwa Tume ya Uchaguzi inafaa sana, na Katiba yetu inajitosheleza.
 
Nawe ni mmoja wa wahitimu wa Kidato Cha nne ambao matokeo ni ya kuhuzunisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…