Japo vita vya Gaza vinakaribia ukingoni, Israel itaingia kidogo Rafah kuwaridhisha wahafidhina wa kiyahudi kama ilivyofanya baada ya kipigo cha Iran

Israel imechukua ardhi toka enzi za mfalme Sulemani
Achana na history mpalestina hana chake hivi sasa akubali kutawaliwa tu, vinginevyo watafutwa kwenye uso wa dunia.
 
Achana na history mpalestina hana chake hivi sasa akubali kutawaliwa tu, vinginevyo watafutwa kwenye uso wa dunia.
Kitu cha haramu hakidumu.Hiyo ramani kwa vile inajulikana kilichotokea sasa itarudi kinyume nyume.
 
Unaonaje mungu wetu wa israel alivyo na nguvu ni hatari na wayahudi ndio jeshi lenye akili kubwa dunian kuliko wote
 
Unaonaje mungu wetu wa israel alivyo na nguvu ni hatari na wayahudi ndio jeshi lenye akili kubwa dunian kuliko wote
Mungu ni mmoja tu na ndiye anayewaangalia wote waislamu,mayahudi ,wakristo.mabuda na wote wengine.
Anayeleta jeuri sana mwishowe huamua amdhibiti mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…