DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwani urithi ulikuwa Ni nini ningependa Kujua..Ishmael hakupewa urithi ila sikatai alibarikiwa na Mungu na pia alimzika Babaake
Kasema nani Quran haijitoshelezi!?.. haijitoshelezi kwenye nini,kufuga nyukiTumia Quran iliyoandikwa na waarabu.
Sijakuzuia Mkuu.
Unajua Fika kuwa Quran hazijitoshelezi na hata nikikuulizà maswali quran haiwezi kujibu
Kwenye Quran Kuna sura ya Wana wa Israel,sura Maryam, Ibrahim..huzungumzia hao watuNdio ndio basi inamankusweke mkuu umeeleweka Ila kuna kitu umesahau kutoka kwenye Qur'an unajua Qur'an inasema nini kuhusu Yakobo na Isaka au unajua kuhusu Ishmael tu?
Kateleza tuHakuna yeyote aliyetakiwa kuchinjwa, watafsiri wa Qur'an wamekosea sana tafsiri, sijuwi hilo la kuchinjwa mtoto wamelitowa wapi.
Nijuavyo limetumika neno "dhabih" ambalo kitafsida linamaanisha kukatwa jando.
MAJIBU YA FAIZFOX HAYO
Mwambie asome comment/post yangu #310Hakuna yeyote aliyetakiwa kuchinjwa, watafsiri wa Qur'an wamekosea sana tafsiri, sijuwi hilo la kuchinjwa mtoto wamelitowa wapi.
Nijuavyo limetumika neno "dhabih" ambalo kitafsida linamaanisha kukatwa jando.
MAJIBU YA FAIZFOX HAYO
Kwani urithi ulikuwa Ni nini ningependa Kujua..
Maana nikiangalia Biblia Nakuta kuwa Ishmael au Waishmael ndo wafanya Biashara wakubwa sana wa Agano la kale..
Kasema nani Quran haijitoshelezi!?.. haijitoshelezi kwenye nini,kufuga nyuki
Kwenye Quran Kuna sura ya Wana wa Israel,sura Maryam, Ibrahim..huzungumzia hao watu
Kwa kweli sijawahi kukutana na hoja kama hii, ila naomba niulize ikiwa ushahidi upo kwenye hadithi unaukubali ama wewe ushahidi ni lazima utoke kwenye Quran?Sijaona kwenye Qur'an kuwa Ibrahim alikuwa na mtoto anitwa Ismail, au hayo ni mafundisho nje ya Qur'an?
Kwa kweli sijawahi kukutana na hoja kama hii, ila naomba niulize ikiwa ushahidi upo kwenye hadithi unaukubali ama wewe ushahidi ni lazima utoke kwenye Quran?
Natambua kuwa kuna mjadala kuhusu mtoto yupi alipaswa kutolewa sadaka kati ya Ismail na Isaak ila sijawahi kukutana na shaka ya wote kuwa ni watoto wake.
Anyway nategemea kujifunza zaidi hapa
What a contradiction! ... yani katika same story line Mungu awe upande wa Sara kutaka kumnyima urithi Ismail na kubariki kuwa afukuzwe yeye na mama yake lakini huko walikopotelewa akawatendee miujiza ya kuwaletea kisima cha maji palipokuwa hakuna maji ili kumuokoa huyo mtoto.
Something doesn't add up to this story, ila ukiwa open minded utagundua kuwa Mungu amewatukuza watoto wote wa Ibrahim hapo then nyinyi mnapata wapi biasness ya kumchagua Isaac na mkamkataa Ismail?
Ila sijaona mgao wa urithi hapo, au ndo kile kiriba cha maji walichopewa?
Kusema kwamba watoto wanaotambuliwa na Qur'an kuwa ni watoto wa Ibrahim Ishmael hayupo.., ni UONGO maana kuna aya imewataja watoto wote wawili tena kwenye ascending order......hii hapa QURAN 14:39 "Praise to Allah, who has granted to me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."FaizaFixy anahoja.
Ndio maana nikakuambia Mahakamani Quran itashindwa kuthibitisha aliyechinjwa ni Ishmael kwa sababu hata watoto wanaotambuliwa na Quran kuwa ni watoto w Ibrahim huyo Ishmael hayupo ila Isaka yupo.
Mambo ya hadithi hapa hayana nafasi
QUR'AN siyo biography kijana,ni kitabu Cha muongozo wa mahusiano ya binaadam na mola wake,vipi Aishi na vipi aabudu,inapozungumzia Wana wa Israel au Maryam ni kwa kuwa Kuna controversy na yenyewe huweka sawa,sala ya maria inamtaja maria Kama mama wa Mungu,yesu Kama Mungu/mwana wa Mungu,so QUR'AN inaweka sawa hayo mambo,haizungumzii kila kitu,sura ya wanawake inazungumzia mambo ya wanawake ikiwemo ndoa na hedhi zao,Sasa wewe unataka imzungumzie Ishmael na kila mtu unayemjua!!Unafikiri kwa nini Quran haijazungumzia Wana wa Ishmael?
Kwanini na Isaka asiwe mwana wa Sara?
Kusema kwamba watoto wanaotambuliwa na Qur'an kuwa ni watoto wa Ibrahim Ishmael hayupo.., ni UONGO maana kuna aya imewataja watoto wote wawili tena kwenye ascending order......hii hapa QURAN 14:39 "Praise to Allah, who has granted to me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."
"The Sacrifice Of Abraham" The Sacrifice Of AbrahamKama inajitosheleza.
Quran haionyeshi wala kutaja ni mtoto gani aliyetolewa kafara.
Quran haionyeshi ni wapi tuko hilo la kutaka kutolewa kafara kwa mtoto huyo lilifanyika.
Kama Quran unayotumia wewe inaonyesha hayo unaweza kutuwekea hapa.
Na kama haina. Basi kubali kuwa Quran hazijitoshelezi hasa kwenye mambo ya msingi inapoelezea jambo.
Na hii inamaanisha nini ujue?
Haiitwi Uhuru wa wakaldayo inaitwa Uru wa wakaldayo au Ur of Chaldeans..Umeuliza swali zuri Sana na ambalo ndilo kiini cha hiyo Sadaka na dhabihu.
Urithi unaozungumziwa hapa ni ile ahadi ya Mungu kwa Ibrahim iliyomfanya amtoe Uhuru wa ukaldayo mpaka Hapo Kanaani.
Mungu alimpa Ibrahim ahadi kuu tatu;
1. Kumpa nchi ya Kanaani. Ndio maana akamhamisha kutoka Íraq mpaka Canaan.
Ahadi hii imetimizwa kutoka kwa mtoto wa ahadi ambaye ni Isaka
2. Kumfanya kuwa Maarufu.
Ahadi hii pia imetimizwa kwa mtoto wake Isaka.
3. Kumfanya kuwa taifa kubwa
Ahadi hii imetimizwa kwa mtoto Ishmael.
Ingawaje bado upo utata na hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa Ishmael kuwa Baba wa waarabu.
Urithi wa kuhakikisha ardhi(nchi ya Kanaani) inakuwa mikononi mwa damu ya Ibrahim.
QUR'AN siyo biography kijana,ni kitabu Cha muongozo wa mahusiano ya binaadam na mola wake,vipi Aishi na vipi aabudu,inapozungumzia Wana wa Israel au Maryam ni kwa kuwa Kuna controversy na yenyewe huweka sawa,sala ya maria inamtaja maria Kama mama wa Mungu,yesu Kama Mungu/mwana wa Mungu,so QUR'AN inaweka sawa hayo mambo,haizungumzii kila kitu,sura ya wanawake inazungumzia mambo ya wanawake ikiwemo ndoa na hedhi zao,Sasa wewe unataka imzungumzie Ishmael na kila mtu unayemjua!!
Mimi nimeshangaa sana kusikia Hivyo maana Kuna aya Zaidi ya 10 zikimtaja Ismili na kuna moja illnataka kuhusu dua yake nimesahau ilipo nilikunbuka nitaileta..Kusema kwamba watoto wanaotambuliwa na Qur'an kuwa ni watoto wa Ibrahim Ishmael hayupo.., ni UONGO maana kuna aya imewataja watoto wote wawili tena kwenye ascending order......hii hapa QURAN 14:39 "Praise to Allah, who has granted to me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."
Quran sio kitabu cha Historia ni kitabu kama chenye mashairi kama Unapozungumzia Zaburi au Mithali au Muhubiri..Kwa hiyo mtu akisema Ishmael aliishi Dar es salaam na akataka kutolewa kafara na Babake Ibrahim Quran haina Mamlaka wala ushahidi wa kupinga hilo?
Unajua muongozo ni pamoja m biography?
Kujua ni kwa nini Mungu alimtumia fulani, wapi, wakati gani.
Quran sio biography Kwa sababu imeandikwa wa wakati mmoja yaani zama moja. Hivyo haina full details za nyakati zilizopita.
Maandiko yetu tena? Si Musa huyo ndiyo aliripotiMaandiko yenu yenyewe ndo yanasema Sara alikasirika kwa kuwa alimuona Ismail anamfanyia dhihaka Isaac ndo akaamuru wafukuzwe, sasa historia ipi hiyo inayoenda kinyume na maandiko yenu?