Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Tatizo mnafosi mtoto wa pekee to fit narrative ya Quran ambayo haitaja hata majina

Biblia inasema mtoto wa jaribio la kuchinja ni Isaka
Nimekuomba uoneshe jina la Isaka/Ismael kwenye jaribu la kuchinja kwenye Quran
Ila kimya hadi sasa

Ntakurahisishia
Biblia vs QuranView attachment 3021854View attachment 3021855
Mimi sijaweka Aya ya QUR'AN Bali bible,na logic yangu unaielewa,acha kurukaruka
 
Usijidanganye, psychology ya binadamu inaeleweka na wewe sio smart kama unavofikiri, mtu anatoa matusi only when intimidated and you were intimidated.

Acha kudanganya watu humu jukwaani na mafundisho ya dini yako ya ajabu ajabu, ni bora ukae kimya tuu kuficha aibu yako.
Mtibeli nimejadiliana nae tangu alasiri,hatukuchafuana roho,umevimbiwa maharage unakuja kudandia mambo na lugha mbovu
 
Mimi sijaweka Aya ya QUR'AN Bali bible,na logic yangu unaielewa,acha kurukaruka
Kama unarefer Biblia
Mtoto wa jaribio la kuchinjwa ni Isaka
Sijaruka ruka
Nimekuwekea screenshot bayana
Biblia ina full story hatuna maswali
Au unapinga hii hapa chini? Ni Biblia
IMG_7303.jpeg
 
Ni damu ya Ibrahimu
Biblia haikatai hilo
Ila waliondoshwa kwenda Jangwani
Hawakukaa pamoja Ishmael na Isaka
Kama ni damu ya Ibrahim na ni kwanza kuzaliwa,iweje isaka awe mwana wa pekee!?..maana Kuna msitari Mungu kamkubalia maombi Ibrahim juu ya mwanae Ishmael kwamba atamnyanyua na kumpa uzao mwingi
 
Kujadili hii mada inabidi tutambue mambo makuu mawili.
1. Rejea ya habari hizi zipo kwa kina na kikamilifu ndani ya Biblia pekee yako. Hazipo kwenye Quran
2. Biblia inamtaja Isaka kama ndiye mtoto wa ahadi, mtoto wa pekee wa ndoa ya Ibrahimu na Sarah na Isaka ndiye aliyepelekwa kutolewa sadaka.
Hata mimi nashangaa wanavyotumia quran kama reference book wakati ni kitabu kilichochukua simulizi kutoka katika biblia yaani quran ime copy biblia ikaongeza n hadithi zake zisizokuwa na mtiririko wowote ni kumkosea sana heshima biblia iliyokuwepo au ilikusanya maandiko ya zaidi ya miaka 500 ndiyo quran ikaja.. kuandikwa sasa yupi wa kumfata mwenzake quran au biblia..

Wafu wana force mambo sana .

Kwanza kutumia neno Ismail huyo ni wa kwenye vitabu vyenu katika biblia kuna isaka na Ishmael

Kama ilivyo utofauti wa Yesu wa kwenye biblia na nabii Issa wa kwenye quran wanao mlazimisha waumini wao wajue ndiyo yesu wa kwenye biblia
 
Hayo ni maoni yako,...lakini Biblia haijasema kwamba Isihaka ndiyo mtoto wa pekee wa Ibrahim......so kwa akili ya kawaida tu utajua kwamba Ismail ndiyo amewahi kuwa mtoto wa pekee wa Ibrahim kabla ya kuzaliwa wadogo zake.....
Hilo la Ismail kuwa ni mtoto wa Ibrahim umelitowa wapi? Tupe elimu.
 
Hilo la Ismail kuwa ni mtoto wa Ibrahim umelitowa wapi? Tupe elimu.
Nimetoa kwenye Qur'an...... Surah 14:39 pale Ibrahim aliposema ''Praise to Allah, who has granted to me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."


Nadhani umeelewa sasa Madam🤝🏼
 
Kitabu gani kimeelezea uzao wa mtoto wa Nje wa Ibrahim ambaye ni Ishmael hadi akamzaa mtume wenu Muhammad ... Mbona biblia kitabu kikuu hakijaelezea haya mambo!? Ila kimeelezea uzao wa isaka tu
FB_IMG_1713079109594.jpg



Mwanzo 25:18 The Bible lists Ishmael’s sons as Nebaioth, Kedar, Adbeel, Mibsam, Mishma, Dumah, Massa, Hadad, Tema, Jetur, Naphish, and Kedemah (verses 13–15). Mbona hao kwenye biblia hawapo?
 
Kama ni damu ya Ibrahim na ni kwanza kuzaliwa,iweje isaka awe mwana wa pekee!?..maana Kuna msitari Mungu kamkubalia maombi Ibrahim juu ya mwanae Ishmael kwamba atamnyanyua na kumpa uzao mwingi
Sio maneno yangu
Ni Biblia inamtaja Isaka kuwa mwana wa pekee,baada ya Ismail kuondoshwa na Hajir kwenda Jangwani
IMG_7303.jpeg
 
Kama ni damu ya Ibrahim na ni kwanza kuzaliwa,iweje isaka awe mwana wa pekee!?..maana Kuna msitari Mungu kamkubalia maombi Ibrahim juu ya mwanae Ishmael kwamba atamnyanyua na kumpa uzao mwingi
Alibarikiwa pia ndio
Hilo sio tatizo
Na wala Biblia haikatai hilo

Issue ni timing
Kwamba kwa muda ule wa jaribu la kuchinja mtoto
Mtoto pekee aliyekuwepo ni Isaka
 
Kuna Aya ya QUR'AN inasema Ibrahim alikua na mtoto is'haq/isaka?
Nilikuahidi ntarudi kukujibu, ndiyo ipo, anza na hii chini, utaona hiyo ni aya ya 113 kis hicho kimeanza kuanzia aya za awali, ukikisoma utaelewa kuwa huyo Ishaka ni mtoto wa Ibrahim:

37_113.gif

113. Na tukambarikia yeye na Is-haqa. Na miongoni mwa dhuriya zao walitokea wema na wenye kudhulumu nafsi zao waziwazi. 113
 
Back
Top Bottom