inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mimi sijaweka Aya ya QUR'AN Bali bible,na logic yangu unaielewa,acha kurukarukaTatizo mnafosi mtoto wa pekee to fit narrative ya Quran ambayo haitaja hata majina
Biblia inasema mtoto wa jaribio la kuchinja ni Isaka
Nimekuomba uoneshe jina la Isaka/Ismael kwenye jaribu la kuchinja kwenye Quran
Ila kimya hadi sasa
Ntakurahisishia
Biblia vs QuranView attachment 3021854View attachment 3021855