Huo ndio mpango wa Mungu ili Yuda apate uzao!. Sometimes Mungu hutumia njia za ajabu sana kufanikisha mipango yake. Yuda alilaaniwaga kwa kulala na concubine wa baba yake!. Mtoto wake Eri alipomuoa Tamari, Mungu akamuua, mtoto wake wa pili Onani akatakiwa kumrithi Tamara ili amzalie Eri watoto, Onani akawa anamwaga nje, Mungu akamuua, Yuda akamrejesha Tamari kwao, kumsubiria Sheri, mtoto wa mwisho wa Yuda, akue, amuoe. Sheri alipokuwa mkubwa Tamari akarejea, Yuda hakumuoza kwa Sheri kwa kuogopa asije na yeye akafa, hivyo wakawa wana mzuga zuga tuu Tamara, Mungu pia akamuua, na mke wa Yuda pia akafa. Sasa Yuda hana mke, hana mtoto, wanaishi na Tamara tuu. Ndipo Tamara akafanya maarifa ya kike, Mzee Mzima Yuda akaingia line, Tamari akashika ujauzito na kuwazaa mapacha Peresi na Zera, hivyo ukoo ndio ukaendelea!.
Kitu kama hiki pia kilifanywa kwa mabinti wawili wa Lutu, ambao wote walikuwa sealed, baada ya Mama yao kugeuka jiwe la chumvi wakati wa kuikimbia Sodoma na Gomora, mabinti wakasemezana baba yetu amekuwa mzee na hana mtoto wa kiume kuendeleza ukoo, wamamlewesha baba yao mzazi na kulala nae kwa zamu, wote wawili wakashika ujauzito, ukoo ukaendelea!.
Hata Mfalme Daudi, alimzaa Mfalme Suleiman kupitia kwa mke wa Uria!. Hiyo ndio mipango ya Mungu!.
P