Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Katika siku ambazo mchumba wangu FaizaFoxy amekuwa Ana akili ni Leo amezungumza jambo moja muhimu sana “msitafsiri kila kitu” kwenye maandiko kadri mnavo tafsiri ndio mnavo ongeza contradicting points.

Ibrahim alimfukuza Ismael na mama yake wakiwa wadogo sana na kwa umbali wa kutoka Yerusalem hadi Mecca hakuna mtoto Kama Ismael anaweza kusurvive, Biblia inasema Hagar/Hajiri alikimbilia Beersheba ambayo ni km chache kutoka nyumbani kwa sara.

Wanazuoni wa kiisalam walishaona Georaphical impossibility ya hii nadhari ya Ibrahim kuwa alikuwa anaenda na kurudi Mecca wameaanza kuja na tafsiri Mpya na hata kutafuta wapi hasa palikuwa Mecca ya mwanzo
Sawa vizuri,...Biblia imetaja kuhusu Bakka...Je unaweza kutusaidia ni wapi Bakka?
 
Vyote sipo Mi ni mdau wa Upendo tu na Kusaidia Wengine Kama biblia ilivyoagiza..

Yakobo 1:26-27

[26]Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.

[27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

I Am Spiritual but Not Religious
Define spirituality without religion,I can picture you were christian,unakua na moyo mzito kuvuka upande wa pili
 
Surah Al-Baqarah (Chapter 2), Verse 62:

"Indeed, those who believed and those who were Jews or Christians or Sabeans - those [among them] who believed in Allah and the Last Day and did righteousness - will have their reward with their Lord, and no fear will there be concerning them, nor will they grieve." (Qur'an 2:62)
 
Kingine Yuda Alifanya madudu na Tamari mkwewe umesahau??
Huo ndio mpango wa Mungu ili Yuda apate uzao!. Sometimes Mungu hutumia njia za ajabu sana kufanikisha mipango yake. Yuda alilaaniwaga kwa kulala na concubine wa baba yake!. Mtoto wake Eri alipomuoa Tamari, Mungu akamuua, mtoto wake wa pili Onani akatakiwa kumrithi Tamara ili amzalie Eri watoto, Onani akawa anamwaga nje, Mungu akamuua, Yuda akamrejesha Tamari kwao, kumsubiria Sheri, mtoto wa mwisho wa Yuda, akue, amuoe. Sheri alipokuwa mkubwa Tamari akarejea, Yuda hakumuoza kwa Sheri kwa kuogopa asije na yeye akafa, hivyo wakawa wana mzuga zuga tuu Tamara, Mungu pia akamuua, na mke wa Yuda pia akafa. Sasa Yuda hana mke, hana mtoto, wanaishi na Tamara tuu. Ndipo Tamara akafanya maarifa ya kike, Mzee Mzima Yuda akaingia line, Tamari akashika ujauzito na kuwazaa mapacha Peresi na Zera, hivyo ukoo ndio ukaendelea!.

Kitu kama hiki pia kilifanywa kwa mabinti wawili wa Lutu, ambao wote walikuwa sealed, baada ya Mama yao kugeuka jiwe la chumvi wakati wa kuikimbia Sodoma na Gomora, mabinti wakasemezana baba yetu amekuwa mzee na hana mtoto wa kiume kuendeleza ukoo, wamamlewesha baba yao mzazi na kulala nae kwa zamu, wote wawili wakashika ujauzito, ukoo ukaendelea!.

Hata Mfalme Daudi, alimzaa Mfalme Suleiman kupitia kwa mke wa Uria!. Hiyo ndio mipango ya Mungu!.
P
 
Define spirituality without religion,I can picture you were christian,unakua na moyo mzito kuvuka upande wa pili
Nimewahi kuwa Christian tena nilikuwa Mchungaji Nimewahi kuwa Muslim na nimewahi kuwa jewz..
Hakika katika Vyote Hivyo hakuna Upendo ni chuki iliyokithiri ndiyo hufundishwa Ndani..

Chuki Ambayo watu hudanganywa Ni Upendo..Bado nawasoma hinduism na Budha ni watu wenye Upendo wa Hali ya Juu sana Pengine kuliko Wakristo na Waislamu..

Spirituality without religion ni kama personal quest for understanding and connection with something larger than oneself ambayo Ndo Emmanuel au Mungu yaani kuamini kwamba Una Mungu ndani yako, kuamini kwamba We are All connected all creature, Kuamini kwamba Hakuna Kitu chenye thamani dhidi ya kingine..

Muhubiri 3
Screenshot_20240621_174048_Biblia Takatifu.jpg

Yaani focuses on inner peace, harmony, na kuamini Duniani Hjaja Kwa bahati mpaka Kuwa kila kitu kinakuja On purpose na Kuamini Kila Hatua unayopiga ni funzo na Ndyo hasa Njia uliyoitwa Kuifanya Duniani...
Kuamini Kwamba Bila Upendo Sisi Ni kitu Bure..
Screenshot_20240621_174346_Biblia Takatifu.jpg

Kuamini kwamba Vitabu vyote Vitakatifu vyafaa kwa ajili ya Kuonya katika njia ya Haki ila Tumeharibu Ujumbe wake na tunautumia Kinyume na maana zake

Kuishi maisha ya Adabu katika kila kitu hata kula
Mwisho kutafuta maana ya Kuishi...
 
Surah Al-Baqarah (Chapter 2), Verse 62:

"Indeed, those who believed and those who were Jews or Christians or Sabeans - those [among them] who believed in Allah and the Last Day and did righteousness - will have their reward with their Lord, and no fear will there be concerning them, nor will they grieve." (Qur'an 2:62)
Your Implication??

The day of Judgements? Ehh
Hivi unajua kuwa Wayahdi hawana Siku ya Qiyama wala siku Ambayo Kila mtu atahukumiwa??
 
Uthibitisho?
Sababu Mji wa Mecca ya Leo ni mji mpya sana.. Waarabu walikuwa wanakaa Petra/Jordan ya Leo (Bonde/Jiwe) Watu wameaanza kuishi Mecca Miaka karibu 1400 tu iliyopita.

Bekka uliyoitaja pia means Bonde/Jiwe

Waarabu walikuwa wanatamaduni kukusanyika na kufanya ibada zao kwenye mawe, kadri Miaka ilivokuwa inapitia Ndio wakaiweka Mecca ya Leo kuwa sehemu ya hijja

1000017932.jpg

Hili Moja ya majengo ya aina yake yaliyojengwa Petra na Nabateans (WaNabayati) mmoja kati ya watoto wa Ishmael na Asili ya mwanzo kabisa ya Waarabu na Kiarabu unachokijua.

Hawa Ndio waanzilishi wa kuzunguka mawe na Ndio first Arabs civilization.

So ni swala la debate ya Wanazuoni kuwa Kaaba ya Wana wa Ismael ilijengwa Petra au Mecca
 
Huo ndio mpango wa Mungu ili Yuda apate uzao!. Sometimes Mungu hutumia njia za ajabu sana kufanikisha mipango yake. Yuda alilaaniwaga kwa kulala na concubine wa baba yake!. Mtoto wake Eri alipomuoa Tamari, Mungu akamuua, mtoto wake wa pili Onani akatakiwa kumrithi Tamara ili amzalie Eri watoto, Onani akawa anamwaga nje, Mungu akamuua, Yuda akamrejesha Tamari kwao, kumsubiria Sheri, mtoto wa mwisho wa Yuda, akue, amuoe. Sheri alipokuwa mkubwa Tamari akarejea, Yuda hakumuoza kwa Sheri kwa kuogopa asije na yeye akafa, hivyo wakawa wana mzuga zuga tuu Tamara, Mungu pia akamuua, na mke wa Yuda pia akafa. Sasa Yuda hana mke, hana mtoto, wanaishi na Tamara tuu. Ndipo Tamara akafanya maarifa ya kike, Mzee Mzima Yuda akaingia line, Tamari akashika ujauzito na kuwazaa mapacha Peresi na Zera, hivyo ukoo ndio ukaendelea!.

Kitu kama hiki pia kilifanywa kwa mabinti wawili wa Lutu, ambao wote walikuwa sealed, baada ya Mama yao kugeuka jiwe la chumvi wakati wa kuikimbia Sodoma na Gomora, mabinti wakasemezana baba yetu amekuwa mzee na hana mtoto wa kiume kuendeleza ukoo, wamamlewesha baba yao mzazi na kulala nae kwa zamu, wote wawili wakashika ujauzito, ukoo ukaendelea!.

Hata Mfalme Daudi, alimzaa Mfalme Suleiman kupitia kwa mke wa Uria!. Hiyo ndio mipango ya Mungu!.
P
Naelewa Then kama Ni mpango wa Mungu kwanini Yuda ahukumiwe na Kulaaniwa kwa sababu hiyo?
Unahisi kuna Fair Treatment?

Na kwanini Mungu kama alitaka Yuda apate uzao asitafute Uzao kwa Wanawake wengine mpaka kwa Mke wa Mtoto wake?

Unafahamu Jinsi Yesse Alivyopatikana??
Ile story ya Naomi na Mama yake Mkwe mpaka kufikia kwa Daudi?

vItu vingi Ukivisoma Utasikitika Sana..
Screenshot_20240621_175446_Biblia Takatifu.jpg
 
Duh,. hizo habari kwamba baraka alizopewa Ismail amepewa na Mungu tu hazikupitia kwa Baba yake ni uongo.......maana Ibrahim mwenyewe ndiyo alimuombea Ismail apewe baraka na Mungu......sasa hayo madai yako umeyatoa wapi?
Alimuombea lakini hakumuambia nakubariki wewe Ibrahim alimwambia nitambariki na yeye Kwa kua umeomba. Hakuna popote anapomwombea baraka Isaka. Anachofanya kabla ya kufa ni kumbariki. Hakumuomba Mungu ambariki Isaka ila alimuombea Ishmael Baraka kutoka kwa Mungu. Why?
 
Uko Vizuri sana Kwenye Dini na Elimu ya Dini sema unakosa kitu kidogo Tu Connection na Logical ya Kiushawishi..
Hapana bro namuomba Mungu anitakase kwa ajili yake. Dini imekua mlango wa kufunga watu wasimuendee Mungu. Wengi wanakosana na Mungu sio kwa sababu hawana uwezo wa kumpenda Mungu Bali Kwa sababu dini imekua mbele kama tanzi. Paulo aliweza kuepuka hiyo ila Petro ilibidi akomewe ili akivuke hicho kitanzi. Sitamani kinishike kabisa.
 
Naelewa Then kama Ni mpango wa Mungu kwanini Yuda ahukumiwe na Kulaaniwa kwa sababu hiyo?
Unahisi kuna Fair Treatment?

Na kwanini Mungu kama alitaka Yuda apate uzao asitafute Uzao kwa Wanawake wengine mpaka kwa Mke wa Mtoto wake?

Unafahamu Jinsi Yesse Alivyopatikana??
Ile story ya Naomi na Mama yake Mkwe mpaka kufikia kwa Daudi?

vItu vingi Ukivisoma Utasikitika Sana..
View attachment 3022321
Yeremia anazungumzia Taifa la Yuda. Sio Yuda mtoto wa Yakobo Bali watoto wake waliounda Taifa la Yuda. Unachanganya mambo hapo.
 
Your Implication??

The day of Judgements? Ehh
Hivi unajua kuwa Wayahdi hawana Siku ya Qiyama wala siku Ambayo Kila mtu atahukumiwa??
Implication ya kuweka hiyo aya hapo ni kuonyesha kwamba as long as Mtu ameamua kuamini uwepo wa Mungu Muumba na kuishi a righteous life basi Mtu huyo atawekwa miongoni mwa wema na atalipwa kadri ya wema wake ...regardless of his religious affiliation as long as moyo wake ulijitahidi kuwa na good intentions kwenye maisha yake na akaishi hivyo.......

Kuhusu Wayahudi kutokua na day of Judgement kwenye mafundisho yao,..hiyo sio concern yangu maana wao hawana mamlaka yoyote ya kuamua whether day of Judgement iwepo ama isiwepo....Wayahudi ni watu kama walivyo watu wengine. Yaani hatuwezi kusema Qiyama hakipo kwasababu Wayahudi wanasema hakipo...La!
Sio wao peke yao zipo jamii nyingine ambazo kwenye mafundisho yao hutokuta habari kuhusa Qiyama.
 
Vyote sipo Mi ni mdau wa Upendo tu na Kusaidia Wengine Kama biblia ilivyoagiza..

Yakobo 1:26-27

[26]Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.

[27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

I Am Spiritual but Not Religious
Na Mimi kama wewe spiritual but not religious shida tu sijui upande wa pili maana wanaotumia lugha ngumu.
 
Your Implication??

The day of Judgements? Ehh
Hivi unajua kuwa Wayahdi hawana Siku ya Qiyama wala siku Ambayo Kila mtu atahukumiwa??
Kama wayahudi wanaamini kitabu cha Daniel basi wanatakiwa waamini ipo siku ya mwisho yenye hukumu. Daniel anaelezea vision ya kuona siku kiti Cha Enzi kimewekwa mbinguni na Mzee wa Siku ameketi juu yake. Alipoletwa Mwana wa Mtu akaletwa na kuwekwa mbele ya Mzee wa Siku. Naye akapewa mamlaka ya kuhukumu. Hiyo tayari ni tafsiri kwamba kuna siku ya mwisho Kwa viumbe vyote vilivyoumbwa.
 
Kwa hoja za wengi humu zinaonyesha kuwa Quran haijaeleza habari za mtoto yupi wa Ibrahimu alitakiwa kutolewa kafara, lakini Bibilia imeweka wazi kuwa aliyetakiwa kutolewa kafara ni Isaka

Nikimnukuu FAIZFOX ameenda mbali na kusema Quran haijazungumza habari za mtoto yeyote wa Ibrahimu kuchinjwa, hilo si limeisha
Dini ya usilamu haimpi sana nafasi mtoto wa kike kuchimba masula ya dini na hata kuwa kiongozi wa dini. Hivyo, siyo kosa lake nyanya Feiza kutojua Qur an.
 
Samahani sana kwa Swali Hili Dada angu?
No offence but!...

Unajua kweli Kiarabu na Unafahamu hata Grammar النحو (an-nahw)?

Mwalimu aliyekufundisha alikosa kukufahamisha kitu cha Muhimu sana Kuhusu Tofauti ya Nomino (الأسماء ...(al-asma)) na Kitenzi (الأفعال" (al-afʻāl))..
Kama alikufundisha basi utakuwa Umesahau kidogo..

Aya ya mwanzo aya Ya 102 sura hiyo Ya ass'Affat
Neno liliotumika lilikuwa ni "أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ. " annī adhbaḥuka fa-unẓur

Umeshindwa kujua Kama Matumizi ya Neno adhbahuka ni Kama kitenzi kuwa Nakuchinja..

Na matumizi ya Neno Dhibh kwenye aya ya 107 ni "Kichinjo" kama Nomino?

وَفَدَيْنَاهُ بِذِبْحٍ عَظِيمٍ

"Wa fadaynāhu bi-dhbḥin ʿaẓīm."

Umenisikitishi kutokujua Kinachotamkwa hapo Ni kuwa Tukampa Kichinjo (Kichinjwacho) Kitukufu..

Kwa hiyo kwa maana yako Mungu ndyo alitahiri wa kina Ibraham?😅

Nisamehe kusema hivi ila unahitaji kusoma tena Lughatul arabiya..

Hapo Neno hilo baada ya kuwekewa Kasri limechange kutoka kuwa Kuchinja kuwa Kichinjo ambayo ni nomino..

Sasa Naomba niazime Macho unifatilie Kwa aya zingine Neno hilo hilo lilipotumika likiwa na maana Sawa ya Kuchinja..
Tusome wote Suratul Baqarah aya ya 71..

قَالَ إِنَّهُۥ يَقُولُ إِنَّهَا بَقَرَةٌۭ لَّا ذَلُولٌۭ تُثِيرُ ٱلْأَرْضَ وَلَا تَسْقِى ٱلْحَرْثَ مُسَلَّمَةٌۭ لَّا" شِيَةَ فِيهَا ۚ قَالُوا۟ ٱلْـَٰٔنَ جِئْتَ بِٱلْحَقِّ ۚ فَذَبَحُوهَا وَمَا كَادُوا۟ يَفْعَلُونَ

inasomeka namna Hii kwa wale wanaotaka kufatilia Mjadala..

"Qala innahu yaquulu innaha baqaratun la dhaluulun tuthiiru alardha wala tasqee alhartha musallamatun la shiyata fiiha qaloo alana jita bialhaqqi fadhabahooha wama kaduu yafAAluuna"

Nikianza na aya Hii ambayo Tafsiri yake ni kwamba..

"Akasema: Yeye anasema: Kuwa huyo ni ng'ombe asiye tiwa kazini kulima ardhi wala kumwagia maji mimea, mzima, hana baka. Wakasema: Sasa umeleta haki. Basi wakamchinja, na walikaribia kuwa wasifanye hayo."
nakupa na Aya ya ziada unaweza ukapitia Pia Suratul Baqara aya ya 67 pia..

Turudi sasa..
Kwenye Aya hiyo Ya Suratul Baqara nafikiri Unakumbuka Kuwa Mwenyzi Mungu aliwaamba Wana wa Israel khusu Kuchinja Ng'ombe na Musa akawa anawaambia Soma kuanzia Aya ya 67...

Sasa Unataka Kuniambia Mungu aliamrisha Kutahiri Ng'ombe 🤣🤣🤣

Na wacha hiyo Tusome neno lililotumika hapo kwenye 71 ni fadhabahooha..

hiyo dhahiri kwamba aliyechinjwa Hapo ni Ngombe Jike sasa Swali Je Ngombe Jike kwanini Walimtahiri ikiwa Wewe Adhabh ni kutahiri..
Walikata nini kwa Ng'ombe Jike 🤣🤣

Dada Yangu Faiza unatakiwa usome..
Na ukubali si kila kitu utajua
Hizo zako zote ni porojo.

Dhabah au Dhibihi i;liyotumika hapo inamaanisha "incision" hiyo ni tafsida ya jando.

Nenda ukaijuwe maana ya neno Dhabah na dhabih katika Lisan Al Arab cha Ibn manzour.

Unasema kichinjwacho wakati hujakioandika hicho kichinjwacho? Hakuna.

Hapo panada ushuke inabaki kuwa ni jando ytu. Watafsiri wa Kiislam walifata matamanio yao au walikuwa na agenda zao.

Jiulize, hivi Allah kweli anahitaji kafara ya damu hata aagize mtu amchinje mwanawe? Bado hujaiona "plot" iliyotumiwa na watafsiri waliopotosha.

Hakuna mtoto wala mtu mzima aliyetaka kuchinjwa na hakuna hata jina Sarah katika Qur'an mmelitowa wapi?
 
Kumbe
 
Samahani sana kwa Swali Hili Dada angu?
No offence but!...

Unajua kweli Kiarabu na Unafahamu hata Grammar النحو (an-nahw)?

Mwalimu aliyekufundisha alikosa kukufahamisha kitu cha Muhimu sana Kuhusu Tofauti ya Nomino (الأسماء ...(al-asma)) na Kitenzi (الأفعال" (al-afʻāl))..
Kama alikufundisha basi utakuwa Umesahau kidogo..

Aya ya mwanzo aya Ya 102 sura hiyo Ya ass'Affat
Neno liliotumika lilikuwa ni "أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ. " annī adhbaḥuka fa-unẓur

Umeshindwa kujua Kama Matumizi ya Neno adhbahuka ni Kama kitenzi kuwa Nakuchinja..

Na matumizi ya Neno Dhibh kwenye aya ya 107 ni "Kichinjo" kama Nomino?

وَفَدَيْنَاهُ بِذِبْحٍ عَظِيمٍ

"Wa fadaynāhu bi-dhbḥin ʿaẓīm."

Umenisikitishi kutokujua Kinachotamkwa hapo Ni kuwa Tukampa Kichinjo (Kichinjwacho) Kitukufu..

Kwa hiyo kwa maana yako Mungu ndyo alitahiri wa kina Ibraham?😅

Nisamehe kusema hivi ila unahitaji kusoma tena Lughatul arabiya..

Hapo Neno hilo baada ya kuwekewa Kasri limechange kutoka kuwa Kuchinja kuwa Kichinjo ambayo ni nomino..

Sasa Naomba niazime Macho unifatilie Kwa aya zingine Neno hilo hilo lilipotumika likiwa na maana Sawa ya Kuchinja..
Tusome wote Suratul Baqarah aya ya 71..

قَالَ إِنَّهُۥ يَقُولُ إِنَّهَا بَقَرَةٌۭ لَّا ذَلُولٌۭ تُثِيرُ ٱلْأَرْضَ وَلَا تَسْقِى ٱلْحَرْثَ مُسَلَّمَةٌۭ لَّا" شِيَةَ فِيهَا ۚ قَالُوا۟ ٱلْـَٰٔنَ جِئْتَ بِٱلْحَقِّ ۚ فَذَبَحُوهَا وَمَا كَادُوا۟ يَفْعَلُونَ

inasomeka namna Hii kwa wale wanaotaka kufatilia Mjadala..

"Qala innahu yaquulu innaha baqaratun la dhaluulun tuthiiru alardha wala tasqee alhartha musallamatun la shiyata fiiha qaloo alana jita bialhaqqi fadhabahooha wama kaduu yafAAluuna"

Nikianza na aya Hii ambayo Tafsiri yake ni kwamba..

"Akasema: Yeye anasema: Kuwa huyo ni ng'ombe asiye tiwa kazini kulima ardhi wala kumwagia maji mimea, mzima, hana baka. Wakasema: Sasa umeleta haki. Basi wakamchinja, na walikaribia kuwa wasifanye hayo."
nakupa na Aya ya ziada unaweza ukapitia Pia Suratul Baqara aya ya 67 pia..

Turudi sasa..
Kwenye Aya hiyo Ya Suratul Baqara nafikiri Unakumbuka Kuwa Mwenyzi Mungu aliwaamba Wana wa Israel khusu Kuchinja Ng'ombe na Musa akawa anawaambia Soma kuanzia Aya ya 67...

Sasa Unataka Kuniambia Mungu aliamrisha Kutahiri Ng'ombe 🤣🤣🤣

Na wacha hiyo Tusome neno lililotumika hapo kwenye 71 ni fadhabahooha..

hiyo dhahiri kwamba aliyechinjwa Hapo ni Ngombe Jike sasa Swali Je Ngombe Jike kwanini Walimtahiri ikiwa Wewe Adhabh ni kutahiri..
Walikata nini kwa Ng'ombe Jike 🤣🤣

Dada Yangu Faiza unatakiwa usome..
Na ukubali si kila kitu utajua
Nimekwambia kasome kuhusu "Locution" au "lexicon" ndiyo utanielewa. Nimekwambia hiyo hapo kwa Ibtrahim na Ishaka imetumika kama tafsida, lakini siyo mtu kuchinjwa kukatwa shingo.

Mfanoi ukiambiwa "serikali ina mikono mirefu" unaelewa nini? Au ukisikia mashabiuki wa mpira wakisema "alotaka kufunga akakatwa mtama" inamaanisha nini?

Ukiyaelewa hayo utaelewa maana ya "Lisan" (locution) ambayo imetajwa sana kwenye Qur'an.
 
Back
Top Bottom