blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Mwarabu mweusi???Kwani hii Leo Hao waarabu weusi hawako arabuni?
Hizo Aya unazoziandika unajua ameziandika Nani ?
Anayeongea ni Ibrahim mwenyewe,..kila kitu kipo wazi na rahisi nitakuwekea hapa ujionee........Nani anaongea hayo maneno?
Weka Aya inayojitosheleza ili umjibu vizuri FaizaFoxy
Mkuu unajua kusoma vizuri? punguza presha read between the line.........Jina la Ibrahim lipo hapo ila sijui umekwama wapi kuliona,,,,,Mbona hakuna jina la Ibrahimu kwenye hizo Aya?
Au kwakuwa ni Sura ya Ibrahimu?
Unamaanisha Sura ya Mariamu anayeongea ni Mariamu pekee pia?
Hiyo ni Jina la sura tu na sio lazima yawe maneno ya Ibrahimu.
Weka Aya kama hii
Mwanzo 22: 3
Ibrahimu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.
FaizaFoxy anasubiri jibu.
Ok, basi naomba nifahamishe please, dhana ya sisi kuchinja inahusiana na nini?Sasa unapaswa kuelewa ile dhana nzima ya nyie kuchinja haina uhusiano na issue ya Ibrahim.
Mwarabu mweusi???
Sema wewe nani kaandika?
Wacha kuharibu mada, mbona sisi hatuulizi kama mnatumia Qurani ya Mayunga, au Shehe Farsy, au ya Makardiani ?
Baki kwenye Mada.
Kwenye Kuran Mecca imetajwa mara mojaNarudia tena:
1) Hakuna kafara ya kuchinja ntoto wala mkubwa yeyote kwenye Qur'an.
2) Hakuna sehemu kwenye Qur'an iliyosema Ismail ni mtoto wa Ibrahim.
3) Hakuna jina "Sarah" lilipotajwa popote kwenye Qur'an.
Ukiyakuta hayo ukisoma vizuri utaelewa ni maneno ya watafsiri au washereheshaji tu, siyo Qur'an.
Hizi ni Tafsiri au kilichoandikwaAnayeongea ni Ibrahim mwenyewe,..kila kitu kipo wazi na rahisi nitakuwekea hapa ujionee........
Tazama,,,, FaizaFoxy
Surah Ibrahim (14:35-39):
14:35
وَإِذْ قَالَ إِبْرَٰهِيمُ رَبِّ ٱجْعَلْ هَٰذَا ٱلْبَلَدَ ءَامِنًۭا وَٱجْنُبْنِى وَبَنِىَّ أَن نَّعْبُدَ ٱلْأَصْنَامَ
Translation:
"And [mention] when Abraham said, 'My Lord, make this city [Makkah] secure and keep me and my sons away from worshipping idols."
14:36
رَبِّ إِنَّهُنَّ أَضْلَلْنَ كَثِيرًۭا مِّنَ ٱلنَّاسِ ۖ فَمَن تَبِعَنِى فَإِنَّهُۥ مِنِّى وَمَنْ عَصَانِى فَإِنَّكَ غَفُورٌۭ رَّحِيمٌۭ
Translation:
"My Lord, indeed they have led astray many among the people. So whoever follows me, then he is of me; and whoever disobeys me - indeed, You are [yet] Forgiving and Merciful."
14:37
رَّبَّنَآ إِنِّىٓ أَسْكَنتُ مِن ذُرِّيَّتِى بِوَادٍ غَيْرِ ذِى زَرْعٍ عِندَ بَيْتِكَ ٱلْمُحَرَّمِ رَبَّنَا لِيُقِيمُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ فَٱجْعَلْ أَفْـِٔدَةًۭ مِّنَ ٱلنَّاسِ تَهْوِىٓ إِلَيْهِمْ وَٱرْزُقْهُم مِّنَ ٱلثَّمَرَٰتِ لَعَلَّهُمْ يَشْكُرُونَ
Translation:
"Our Lord, I have settled some of my descendants in an uncultivated valley near Your sacred House, our Lord, that they may establish prayer. So make hearts among the people incline toward them and provide for them from the fruits that they might be grateful."
14:38
رَبَّنَآ إِنَّكَ تَعْلَمُ مَا نُخْفِى وَمَا نُعْلِنُ ۗ وَمَا يَخْفَىٰ عَلَى ٱللَّهِ مِن شَىْءٍۢ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَا فِى ٱلسَّمَآءِ
Translation:
"Our Lord, You know what we conceal and what we declare. And nothing is hidden from Allah on the earth or in the heaven."
14:39
ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ ٱلَّذِى وَهَبَ لِى عَلَى ٱلْكِبَرِ إِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ ۚ إِنَّ رَبِّى لَسَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ
```
Translation:
"Praise be to Allah, who has granted me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."
Sawa,..Je hii Aya hapa chini si miongoni mwa za Qur'an?
الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي وَهَبَ لِي عَلَى الْكِبَرِ إِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ ۚ إِنَّ رَبِّي لَسَمِيعُ الدُّعَاءِ
Translation:
"Praise be to Allah, who has granted me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication." (14:39)
Je,..baada ya kukuwekea aya hiyo bado utaendelea kubisha ukweli ulio wazi?
Utakachokiona kwenye mabano ni tafsiri/maelezo ya ujumbe uliokusudiwa..,Nje ya mabano ni moja kwa moja toka kwenye original text.Hizi ni Tafsiri au kilichoandikwa
city [Makkah] why kwenye mabano
Unamaanisha Makkah?Kwenye Kuran Mecca imetajwa mara moja
Hapana, anaeongea hizo Ayat ni Allah kupitia, Mtume Muhammad.Anayeongea ni Ibrahim mwenyewe,..kila kitu kipo wazi na rahisi nitakuwekea hapa ujionee........
Tazama,,,, FaizaFoxy
Surah Ibrahim (14:35-39):
14:35
وَإِذْ قَالَ إِبْرَٰهِيمُ رَبِّ ٱجْعَلْ هَٰذَا ٱلْبَلَدَ ءَامِنًۭا وَٱجْنُبْنِى وَبَنِىَّ أَن نَّعْبُدَ ٱلْأَصْنَامَ
Translation:
"And [mention] when Abraham said, 'My Lord, make this city [Makkah] secure and keep me and my sons away from worshipping idols."
14:36
رَبِّ إِنَّهُنَّ أَضْلَلْنَ كَثِيرًۭا مِّنَ ٱلنَّاسِ ۖ فَمَن تَبِعَنِى فَإِنَّهُۥ مِنِّى وَمَنْ عَصَانِى فَإِنَّكَ غَفُورٌۭ رَّحِيمٌۭ
Translation:
"My Lord, indeed they have led astray many among the people. So whoever follows me, then he is of me; and whoever disobeys me - indeed, You are [yet] Forgiving and Merciful."
14:37
رَّبَّنَآ إِنِّىٓ أَسْكَنتُ مِن ذُرِّيَّتِى بِوَادٍ غَيْرِ ذِى زَرْعٍ عِندَ بَيْتِكَ ٱلْمُحَرَّمِ رَبَّنَا لِيُقِيمُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ فَٱجْعَلْ أَفْـِٔدَةًۭ مِّنَ ٱلنَّاسِ تَهْوِىٓ إِلَيْهِمْ وَٱرْزُقْهُم مِّنَ ٱلثَّمَرَٰتِ لَعَلَّهُمْ يَشْكُرُونَ
Translation:
"Our Lord, I have settled some of my descendants in an uncultivated valley near Your sacred House, our Lord, that they may establish prayer. So make hearts among the people incline toward them and provide for them from the fruits that they might be grateful."
14:38
رَبَّنَآ إِنَّكَ تَعْلَمُ مَا نُخْفِى وَمَا نُعْلِنُ ۗ وَمَا يَخْفَىٰ عَلَى ٱللَّهِ مِن شَىْءٍۢ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَا فِى ٱلسَّمَآءِ
Translation:
"Our Lord, You know what we conceal and what we declare. And nothing is hidden from Allah on the earth or in the heaven."
14:39
ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ ٱلَّذِى وَهَبَ لِى عَلَى ٱلْكِبَرِ إِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ ۚ إِنَّ رَبِّى لَسَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ
```
Translation:
"Praise be to Allah, who has granted me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."
Arabic word "banii" does not mean "my sons" in the Qur'an. It simply means "my progeny".Anayeongea ni Ibrahim mwenyewe,..kila kitu kipo wazi na rahisi nitakuwekea hapa ujionee........
Tazama,,,, FaizaFoxy
Surah Ibrahim (14:35-39):
14:35
وَإِذْ قَالَ إِبْرَٰهِيمُ رَبِّ ٱجْعَلْ هَٰذَا ٱلْبَلَدَ ءَامِنًۭا وَٱجْنُبْنِى وَبَنِىَّ أَن نَّعْبُدَ ٱلْأَصْنَامَ
Translation:
"And [mention] when Abraham said, 'My Lord, make this city [Makkah] secure and keep me and my sons away from worshipping idols."
14:36
رَبِّ إِنَّهُنَّ أَضْلَلْنَ كَثِيرًۭا مِّنَ ٱلنَّاسِ ۖ فَمَن تَبِعَنِى فَإِنَّهُۥ مِنِّى وَمَنْ عَصَانِى فَإِنَّكَ غَفُورٌۭ رَّحِيمٌۭ
Translation:
"My Lord, indeed they have led astray many among the people. So whoever follows me, then he is of me; and whoever disobeys me - indeed, You are [yet] Forgiving and Merciful."
14:37
رَّبَّنَآ إِنِّىٓ أَسْكَنتُ مِن ذُرِّيَّتِى بِوَادٍ غَيْرِ ذِى زَرْعٍ عِندَ بَيْتِكَ ٱلْمُحَرَّمِ رَبَّنَا لِيُقِيمُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ فَٱجْعَلْ أَفْـِٔدَةًۭ مِّنَ ٱلنَّاسِ تَهْوِىٓ إِلَيْهِمْ وَٱرْزُقْهُم مِّنَ ٱلثَّمَرَٰتِ لَعَلَّهُمْ يَشْكُرُونَ
Translation:
"Our Lord, I have settled some of my descendants in an uncultivated valley near Your sacred House, our Lord, that they may establish prayer. So make hearts among the people incline toward them and provide for them from the fruits that they might be grateful."
14:38
رَبَّنَآ إِنَّكَ تَعْلَمُ مَا نُخْفِى وَمَا نُعْلِنُ ۗ وَمَا يَخْفَىٰ عَلَى ٱللَّهِ مِن شَىْءٍۢ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَا فِى ٱلسَّمَآءِ
Translation:
"Our Lord, You know what we conceal and what we declare. And nothing is hidden from Allah on the earth or in the heaven."
14:39
ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ ٱلَّذِى وَهَبَ لِى عَلَى ٱلْكِبَرِ إِسْمَـٰعِيلَ وَإِسْحَـٰقَ ۚ إِنَّ رَبِّى لَسَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ
```
Translation:
"Praise be to Allah, who has granted me in old age Ishmael and Isaac. Indeed, my Lord is the Hearer of supplication."
Naona umeamua tu kuwa mbishi.........Ukiachana na tafsiri hata aya yenyewe kwenye lugha yake yake ya kiasili inaonyesha wazi kwamba Ismail ni mtoto wa Ibrahim.......Inahitaji utumie akili ndogo tu ili ueleweNilifahamu kuna mtu atakuja aya hiyo, nimefurahi umeileta. Tena kwa Kingereza.
Nini kilichokufanya useme hapo Ismail ni mtoto wa Ibrahim?
Hakuna chochote hapo kinachoonesha kuwa Ismail ni mtoto wa Ibrahim.
Nafahamu sana kosa lililofanywa na watafsiri. Neno "habli" halimaanishi mtoto wala kuzaa. Tunalitumia kila siku katika dua, mfano "Rabbana hablana..." Na pia limetumika mara kadhaa sehemu tofauti kwenye Qur'an, halimaanishi kupewa mtoto.
Huo siyo ushahidi wa Ismail kuwa ni mtoto wa Ibrahim.
Pamoja na yote bado biblia ukiisoma huwezi kukosa maana.Kwani wewe ni Mtaliana mweusi ?? au Myahudi mweusi ??
Sisemi mimi inasema biblia yenyewe
(From the NIV Bible Commentary [1], page 2)"
The Book of Genesis:
"Historically, Jews and Christians alike have held that Moses was the author/compiler of the first five books of the OT. These books, known also as the Pentateuch (meaning "five-volumed book"), were referred to in Jewish tradition as the five fifths of the law (of Moses). The Bible itself suggests Mosaic authorship of Genesis, since Ac 15:1 refers to circumcision as "the custom taught by Moses," an allusion of Ge 17. However, a certain amount of later editorial updating does appear to be indicated (see, e.g., notes on 14:14; 36:31; 47:11).
(From the NIV Bible Commentary [1], page 2)"
So in reality, the book of Genesis had been tampered with by man. It had been corrupted.
It is dangerous to consider all of it as the True Living Words of GOD Almighty, because by doing so, we are running into the risk of committing a crime against Him since we are claiming that He spoke words that He never spoke.
Yap,..Allah anamuambia Mtume Muhammad kile kilichoongelewa na Ibrahim...........so ni sahihi kusema hayo ni maneno ya Ibrahim.Hapana, anaeongea hizo Ayat ni Allah kupitia, Mtume Muhammad.
Naona umeamua tu kuwa mbishi.........Ukiachana na tafsiri hata aya yenyewe kwenye lugha yake yake ya kiasili inaonyesha wazi kwamba Ismail ni mtoto wa Ibrahim.......Inahitaji utumie akili ndogo tu ili uelewe
Ngoja nikusaidie kitu,.Ukitazama kwenye hiyo aya unaona kabisa Ibrahim anamshukuru Mola wake kwa kuruzukiwa watoto Ismail na Isihika akiwa kwenye umri wa uzee..... "عَلَى الْكِبَرِ" yaani "in old age"
NOTE: Sijasema neno "Habli" linamaanisha kuzaa wala watoto maana hilo neno lipo clear kabisa na maana yake inazima kabisa madai yako kwamba Qur'an haimtambui Ismail kama mtoto wa Ibrahim......... neno hilo "وَهَبَ لِي" (wahaba li) lililotumika kwenye aya linamaanisha " Kunipa" ..........kwamba "Namshukuru Mungu kwa kunipa" sasa tujiulize Ibrahim anamshukuru Mungu kwa kupewa nini..? Turudi kwenye aya "عَلَى الْكِبَرِ إِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ" ......... 'kwenye uzee wangu Ismail na Isihaka".
so unaona hapo kwamba Ibrahim anamshukuru Mungu kwa kumpatia Ismail na Isihaka,..tena akiwa kwenye umri wa uzee?.....sasa kama unasema hao si watoto wa Ibrahim tuambie ni akina nani??
Ahsante.
The Arabic phrase "وَبَنِىَّ" (wa banīya) translates to "and my sons" or "and my children" in English. The conjunction "وَ" (wa) means "and," and "بَنِىَّ" (banīya) is a possessive form meaning "my sons" or "my children."Arabic word "banii" does not mean "my sons" in the Qur'an. It simply means "my progeny".
Kabla hatujafika kwa Mama yake........umekubali kama Qur'an inawatambua Ismail pamoja na Isihaka kama watoto wa Ibrahim aliowapata uzeeni?Huwa sikisii.
Hakuna kitu kama hicho unachofikiria. lugha hiyo imetumika hata kwa Yussuf na ndugu zake, soma kijana.
Ikiwa Ismail ni mtoto wa Ibrahim, mama yake nani?