Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Kwanza uelewe hizo biblia ziko kwa maelfu na ziko tofauti , sijui hiyo Quran ili copy biblia ipi au zipi kati ya hizo elfu

Pili , Hizo story za hao mitume uliowataja zilikuwepo kabla ya hiyo biblia unayoijuwa wewe kuwekwa kama kitabu
Biblia kuwa na versions nyingi, haina shida, as long as ujumbe uliokusudiwa umekuwa preserved mimi sioni shida yoyote.

Kwanza hata hio Quran yenyew mnayosema haijabadilishwa mnajidanganya, kwasababu nyie(waislamu) husema perfect preservation of the Quran is "word by word" lakini Quran haina preservation ya "word by word" mnaji contradict(this knowledge is from Islamic scholars kama Dr Zakir)

Lakini bwana mdogo Biblia sio kitabu, ni collection ya Vitabu, mashairi na Barua zilizowekwa sehemu moja zinazolenga kuleta ujumbe mmoja tuu kuhusu yesu kristo, kama ulivosema hizo story zilikuwepo, ndio but zilikuwa zimeandikwa kweny tablets, papyrus, parchment or vellum, usije kujidanganya kwamba hazikuwa documented, no they were documented and preserved, ndo maana hata yesu alikuwa mara kwa mara akisema "Imeandikwa imeandikwa".
So source of knowledge zilizokuwepo hazikuwa tuu story zilizokuwa zikisambaa kwa mdomo, no ziliandikwa.

Kama Quran ili copy kutoka biblia unayoijuwa wewe , ingeli copy makosa pia

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Biblia inasema:
“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
Biblia ina makosa gani?? Naomba nieleweshe??
Ndio kabisa hao walikuwa ni makahaba walioshuhudia ukuu wa mungu na wakabadilika, je, binadamu hastahili second chance??
Kumb 23;2 inazungumzia mkutano wa Bwana, je, unaujua mkutano wa Bwana ni nn??
Unamjua mwana wa haramu?? Nafikiri utakuwa unamjua, haya tuendelee, mwana wa haramu akiamua kubadilisha mwenendo wake na kumrudia muumba wake hana nafasi mbele za mungu?? Sijui kwa upande Allah ila kwa upande wa mungu wetu yehova(yesu kristo) nafasi anayo na huyo hastahili tena kuitwa "mwana wa haramu" kwa sababu sasa ni mwana wa mungu na ana haki za kuingia kweny mkutano wa mungu kama Rahabu alivokuwa akiingia baada ya kuacha umalaya, our God Jehovah gives second chances.

Na kuhusu uzao wa hao makahaba kitabu hichohicho ulichonitajia sema fungu la mbele kidogo linasema;
Kumbukumbu la Torati 24:16
[16]Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Kama kizazi cha kahaba kimeamua kuachana na mienendo ya bibi/babu yao, mungu hukipokea hiko kizazi na kufuta dhambi zao na hakitakuwa na shida yeyote na kitajumuika na watu wote mbele za mungu, na mungu hazingumzii tuu uzao wa makahaba hata waabudu sanamu na wauaji. Usidhani kwamba mungu ana kinyongo cha milele, hapana mungu wetu hayupo ukitubu na kuacha dhambi, yeye mweny herema atarudia.

Mwisho umeandika makosa kwamba Ibrahim alikuwa ni myahudi wakati siye , au unao ushahidi ??
Wayahudi ni uzao wa ibrahimu bali ibrahimu mwenyew alikuwa ni mtu wa mesopotamia, sawa alikuwa sio myahudi nimekosa lakini most of your prophets before Muhammad were sons of Ibrahim and Isaac na huo ndo ukweli.
Ndo maana muddy alivoanza agenda zake alitaka sana kuwavutia wayahudi kweny uislamu kwa kuwaita "watu wa kitabu" akitaka kuonesha kwamba mungu wake Allah na mungu wao yehova ni mungu mmoja lakini alivoona hawaoneshi ushirikiano na kumwona muddy kama mhuni akaanza vita nao na kuanza kuwalaani na kushawishi wafuasi wake nao wawalaani.
 
Biblia kuwa na versions nyingi, haina shida, as long as ujumbe uliokusudiwa umekuwa preserved mimi sioni shida yoyote.

Kwanza hata hio Quran yenyew mnayosema haijabadilishwa mnajidanganya, kwasababu nyie(waislamu) husema perfect preservation of the Quran is "word by word" lakini Quran haina preservation ya "word by word" mnaji contradict(this knowledge is from Islamic scholars kama Dr Zakir)

Lakini bwana mdogo Biblia sio kitabu, ni collection ya Vitabu, mashairi na Barua zilizowekwa sehemu moja zinazolenga kuleta ujumbe mmoja tuu kuhusu yesu kristo, kama ulivosema hizo story zilikuwepo, ndio but zilikuwa zimeandikwa kweny tablets, papyrus, parchment or vellum, usije kujidanganya kwamba hazikuwa documented, no they were documented and preserved, ndo maana hata yesu alikuwa mara kwa mara akisema "Imeandikwa imeandikwa".
So source of knowledge zilizokuwepo hazikuwa tuu story zilizokuwa zikisambaa kwa mdomo, no ziliandikwa.

Biblia ina makosa gani?? Naomba nieleweshe??
Ndio kabisa hao walikuwa ni makahaba walioshuhudia ukuu wa mungu na wakabadilika, je, binadamu hastahili second chance??
Kumb 23;2 inazungumzia mkutano wa Bwana, je, unaujua mkutano wa Bwana ni nn??
Unamjua mwana wa haramu?? Nafikiri utakuwa unamjua, haya tuendelee, mwana wa haramu akiamua kubadilisha mwenendo wake na kumrudia muumba wake hana nafasi mbele za mungu?? Sijui kwa upande Allah ila kwa upande wa mungu wetu yehova(yesu kristo) nafasi anayo na huyo hastahili tena kuitwa "mwana wa haramu" kwa sababu sasa ni mwana wa mungu na ana haki za kuingia kweny mkutano wa mungu kama Rahabu alivokuwa akiingia baada ya kuacha umalaya, our God Jehovah gives second chances.

Na kuhusu uzao wa hao makahaba kitabu hichohicho ulichonitajia sema fungu la mbele kidogo linasema;
Kumbukumbu la Torati 24:16
[16]Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Kama kizazi cha kahaba kimeamua kuachana na mienendo ya bibi/babu yao, mungu hukipokea hiko kizazi na kufuta dhambi zao na hakitakuwa na shida yeyote na kitajumuika na watu wote mbele za mungu, na mungu hazingumzii tuu uzao wa makahaba hata waabudu sanamu na wauaji. Usidhani kwamba mungu ana kinyongo cha milele, hapana mungu wetu hayupo ukitubu na kuacha dhambi, yeye mweny herema atarudia.

Wayahudi ni uzao wa ibrahimu bali ibrahimu mwenyew alikuwa ni mtu wa mesopotamia, sawa alikuwa sio myahudi nimekosa lakini most of your prophets before Muhammad were sons of Ibrahim and Isaac na huo ndo ukweli.
Ndo maana muddy alivoanza agenda zake alitaka sana kuwavutia wayahudi kweny uislamu kwa kuwaita "watu wa kitabu" akitaka kuonesha kwamba mungu wake Allah na mungu wao yehova ni mungu mmoja lakini alivoona hawaoneshi ushirikiano na kumwona muddy kama mhuni akaanza vita nao na kuanza kuwalaani na kushawishi wafuasi wake nao wawalaani.

Uliandika

Majibu

Wewe unaweza kuona hamna shida huo ni uamuzi wako lakini shida ipo

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu kuwa, kikundi cha wasomi wa kikristo kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa. Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani. Ripoti ya Julai mosi, 1991, p. 57.

Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia". Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili. Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Aliendelea kusema zaidi: "Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.

Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."

Kwa kukuongezea jaribu kuangalia hii documentary kutoka BBC

View: https://youtu.be/DjW-df7qJaM
 
ukaendelea kuandika

Kumb 23;2 inazungumzia mkutano wa Bwana, je, unaujua mkutano wa Bwana ni nn??
Unamjua mwana wa haramu?? Nafikiri utakuwa unamjua, haya tuendelee, mwana wa haramu akiamua kubadilisha mwenendo wake na kumrudia muumba wake hana nafasi mbele za mungu?? Sijui kwa upande Allah ila kwa upande wa mungu wetu yehova(yesu kristo) nafasi anayo na huyo hastahili tena kuitwa "mwana wa haramu" kwa sababu sasa ni mwana wa mungu na ana haki za kuingia kweny mkutano wa mungu kama Rahabu alivokuwa akiingia baada ya kuacha umalaya, our God Jehovah gives second chances.

Na kuhusu uzao wa hao makahaba kitabu hichohicho ulichonitajia sema fungu la mbele kidogo linasema;
Kumbukumbu la Torati 24:16
[16]Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.

The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Majibu,

Kwanza hapo unachanganya , aya uliyoleta wewe inahusu mauwaji , niliyoleta mimi inahusu mwanaharamu kutoingia ufalme wa Mungu.

sasa kama wewe unaona Mungu hakufanya haki kwani malaya anaweza kutubu , hayo ni wewe na huyo aliyetoa hiyo amri pengine wewe unajiona unajuwa zaidi kuliko huyo aliyetoa hiyo amri ya kutokuingia kwenye ufalme wake
 
Biblia kuwa na versions nyingi, haina shida, as long as ujumbe uliokusudiwa umekuwa preserved mimi sioni shida yoyote.

Kwanza hata hio Quran yenyew mnayosema haijabadilishwa mnajidanganya, kwasababu nyie(waislamu) husema perfect preservation of the Quran is "word by word" lakini Quran haina preservation ya "word by word" mnaji contradict(this knowledge is from Islamic scholars kama Dr Zakir)

Lakini bwana mdogo Biblia sio kitabu, ni collection ya Vitabu, mashairi na Barua zilizowekwa sehemu moja zinazolenga kuleta ujumbe mmoja tuu kuhusu yesu kristo, kama ulivosema hizo story zilikuwepo, ndio but zilikuwa zimeandikwa kweny tablets, papyrus, parchment or vellum, usije kujidanganya kwamba hazikuwa documented, no they were documented and preserved, ndo maana hata yesu alikuwa mara kwa mara akisema "Imeandikwa imeandikwa".
So source of knowledge zilizokuwepo hazikuwa tuu story zilizokuwa zikisambaa kwa mdomo, no ziliandikwa.

Biblia ina makosa gani?? Naomba nieleweshe??
Ndio kabisa hao walikuwa ni makahaba walioshuhudia ukuu wa mungu na wakabadilika, je, binadamu hastahili second chance??
Kumb 23;2 inazungumzia mkutano wa Bwana, je, unaujua mkutano wa Bwana ni nn??
Unamjua mwana wa haramu?? Nafikiri utakuwa unamjua, haya tuendelee, mwana wa haramu akiamua kubadilisha mwenendo wake na kumrudia muumba wake hana nafasi mbele za mungu?? Sijui kwa upande Allah ila kwa upande wa mungu wetu yehova(yesu kristo) nafasi anayo na huyo hastahili tena kuitwa "mwana wa haramu" kwa sababu sasa ni mwana wa mungu na ana haki za kuingia kweny mkutano wa mungu kama Rahabu alivokuwa akiingia baada ya kuacha umalaya, our God Jehovah gives second chances.

Na kuhusu uzao wa hao makahaba kitabu hichohicho ulichonitajia sema fungu la mbele kidogo linasema;
Kumbukumbu la Torati 24:16
[16]Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Kama kizazi cha kahaba kimeamua kuachana na mienendo ya bibi/babu yao, mungu hukipokea hiko kizazi na kufuta dhambi zao na hakitakuwa na shida yeyote na kitajumuika na watu wote mbele za mungu, na mungu hazingumzii tuu uzao wa makahaba hata waabudu sanamu na wauaji. Usidhani kwamba mungu ana kinyongo cha milele, hapana mungu wetu hayupo ukitubu na kuacha dhambi, yeye mweny herema atarudia.

Wayahudi ni uzao wa ibrahimu bali ibrahimu mwenyew alikuwa ni mtu wa mesopotamia, sawa alikuwa sio myahudi nimekosa lakini most of your prophets before Muhammad were sons of Ibrahim and Isaac na huo ndo ukweli.
Ndo maana muddy alivoanza agenda zake alitaka sana kuwavutia wayahudi kweny uislamu kwa kuwaita "watu wa kitabu" akitaka kuonesha kwamba mungu wake Allah na mungu wao yehova ni mungu mmoja lakini alivoona hawaoneshi ushirikiano na kumwona muddy kama mhuni akaanza vita nao na kuanza kuwalaani na kushawishi wafuasi wake nao wawalaani.

Ukaendelea kuandika

MAJIBU

Mwenyezi Mungu ametaja Mitume na Manabii 25 katika Qurani, na katika Hadithi za Mtume Muhammad imetajwa kuwa idadi yao kwa jumla ni 124,000, katika hao 315 ni Mitume na waliobaki ni Manabii.

Kati ya hao waliotajwa ndani ya Qurani ni:

Adam, Idris, Nuh, Hud, Salih, Lut, Ibrahim, Ismail, Is-haq, Yaqub, Yusuf, Shu'aib, Ayyub, Dhulkifl, Musa, Harun, Daud, Sulaiman, Ilyas, Ilyas'a, Yunus, Zakaria, Yahya, Isa, na Muhammad.

Miongoni mwao, watano ni Mitume wakubwa ambao walipewa mitihani mingi wakawa na subira kustahimili matatizo ya umma zao. Hawa ni Nuhu, Ibrahimu, Musa, Isa na Muhammad.

Nilikuambia kuwa hao mitume, walitajwa kabla ya hicho kitabu cha biblia kufanywa kitabu kimoja.

Nakuwekea tena link

The Lost Books of the Bible and the Forgotten Books of Eden - Wikipedia
 
Biblia kuwa na versions nyingi, haina shida, as long as ujumbe uliokusudiwa umekuwa preserved mimi sioni shida yoyote.

Kwanza hata hio Quran yenyew mnayosema haijabadilishwa mnajidanganya, kwasababu nyie(waislamu) husema perfect preservation of the Quran is "word by word" lakini Quran haina preservation ya "word by word" mnaji contradict(this knowledge is from Islamic scholars kama Dr Zakir)

Lakini bwana mdogo Biblia sio kitabu, ni collection ya Vitabu, mashairi na Barua zilizowekwa sehemu moja zinazolenga kuleta ujumbe mmoja tuu kuhusu yesu kristo, kama ulivosema hizo story zilikuwepo, ndio but zilikuwa zimeandikwa kweny tablets, papyrus, parchment or vellum, usije kujidanganya kwamba hazikuwa documented, no they were documented and preserved, ndo maana hata yesu alikuwa mara kwa mara akisema "Imeandikwa imeandikwa".
So source of knowledge zilizokuwepo hazikuwa tuu story zilizokuwa zikisambaa kwa mdomo, no ziliandikwa.

Biblia ina makosa gani?? Naomba nieleweshe??
Ndio kabisa hao walikuwa ni makahaba walioshuhudia ukuu wa mungu na wakabadilika, je, binadamu hastahili second chance??
Kumb 23;2 inazungumzia mkutano wa Bwana, je, unaujua mkutano wa Bwana ni nn??
Unamjua mwana wa haramu?? Nafikiri utakuwa unamjua, haya tuendelee, mwana wa haramu akiamua kubadilisha mwenendo wake na kumrudia muumba wake hana nafasi mbele za mungu?? Sijui kwa upande Allah ila kwa upande wa mungu wetu yehova(yesu kristo) nafasi anayo na huyo hastahili tena kuitwa "mwana wa haramu" kwa sababu sasa ni mwana wa mungu na ana haki za kuingia kweny mkutano wa mungu kama Rahabu alivokuwa akiingia baada ya kuacha umalaya, our God Jehovah gives second chances.

Na kuhusu uzao wa hao makahaba kitabu hichohicho ulichonitajia sema fungu la mbele kidogo linasema;
Kumbukumbu la Torati 24:16
[16]Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Kama kizazi cha kahaba kimeamua kuachana na mienendo ya bibi/babu yao, mungu hukipokea hiko kizazi na kufuta dhambi zao na hakitakuwa na shida yeyote na kitajumuika na watu wote mbele za mungu, na mungu hazingumzii tuu uzao wa makahaba hata waabudu sanamu na wauaji. Usidhani kwamba mungu ana kinyongo cha milele, hapana mungu wetu hayupo ukitubu na kuacha dhambi, yeye mweny herema atarudia.

Wayahudi ni uzao wa ibrahimu bali ibrahimu mwenyew alikuwa ni mtu wa mesopotamia, sawa alikuwa sio myahudi nimekosa lakini most of your prophets before Muhammad were sons of Ibrahim and Isaac na huo ndo ukweli.
Ndo maana muddy alivoanza agenda zake alitaka sana kuwavutia wayahudi kweny uislamu kwa kuwaita "watu wa kitabu" akitaka kuonesha kwamba mungu wake Allah na mungu wao yehova ni mungu mmoja lakini alivoona hawaoneshi ushirikiano na kumwona muddy kama mhuni akaanza vita nao na kuanza kuwalaani na kushawishi wafuasi wake nao wawalaani.
Wayahudi ni uzao wa Ibrahim kupitia Isiaka

Uzao Ishmael upo wapi na ni akina nani Kwa Sasa?
 
Wanabodi,
Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja.

Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia TBC, kutoka Msikiti wa Mfalme Mohammed VI wa Morroco, Bwakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam, kumbe Msikiti Mkuu wa Bakwata, sasa umebadilishwa jina!, na kupewa jina la Mfalme wa Morroco!.

Mgeni rasmi kwenye Baraza la Iddi ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, ambaye ameandamana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ambaye amesilimishwa na kupewa jina la Aboubakar Chalamila!, na mawaziri akiwemo Waziri Mhe. Mohamed Mchengerwa. Baadhi ya watu maarufu niliowaona ni pamoja na Alhaj Sheikh Ali Nguruko, Alhaj Chande, Idda Azan, Shaweji Abdalah, Salum Mwalimu, Juma Simba Gadafi, Salum Abladaha "TRY Again", Katibu Mkuu wa Bakwata, Sheikh Mruma, Kadhi wa Dar es Salaam, Shamin Khan, mwenyekiti wa JUAKITA, pia kulikuwa na mabalozi wa Balozi wa Moroko, na wa Comoro.

Katika salam zake, Sheikh Aboubakar Chalamila alisema utulivu wa jiji la Dar es Salaam, unawategemea sana viongozi wa Dini.

Salaam za Waislamu, zimetolewa na Alhaj Sheikh Nuru Mruma, Katibu Mkuu wa Bakwata ambaye amewasisitiza Waislamu kudumisha amani na kuilinda amani. Wazazi watakiwa kulea watoto wao kwa tabia njema, kujenga taifa la kizazi cha watu wema ambao hawatapokea rushwa wala kufanya ufisadi.

Amesema kupanda miti na utunzaji wa mazingira ni ibada muhimu kwa Waismamu wote.

Pia amewataka Waislamu kujitokeza kwa wingi, kujiandikisha kwenye uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
na wametakiwa kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao ya kidemokrasia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Salaam za Mufti, zimetolewa na Kaimu Mufti Sheikh Ali Muhidin Mporogore, Mjumbe wa Baraza la Maulamaa wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, Bwakwata. Aamezungumzia Watanzania tutafakari, sadaka ya kuchinja siku ya Iddi El Haj, ni iddi ya kuchinja. Zamani ilikuwa sio kuchinja tuu wanyama, bali walichinja hata binadamu ana akatolea mfano Sadaka ya Nabii Ibrahim kutaka kumtoa mwanae Ismail, kwa sadaka ya kuchinja.

Hakuna ubishi kuhusu Wakristo na Waislamu, kuwa ni watoto wa Baba mmoja, Nabii Ibrahim hivyo huu ni uthibitisho wa Mungu wa Wakristo na Waislamu ni Mungu Mmoja, na sheria za dini hizi zote mbili Wakristu na Waislamu, ni sheria moja ile ile ya Musa, ila kuna watu wanafundishwa ukweli na kuna watu wanadanganywa!.

Hakuna ubishi kuwa mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni Ismail aliyezaa na mjakazi wa Kimisri, Hagir, na Isaka ni mtoto wa pili wa Ibrahim, aliyemzaa na mkewe Sarah.

Hakuna ubishi Ibrahim alitaka kumtoa mtoto wake Sadaka ya kuchinja.

Waislamu na Kitabu chao Kitukufu cha Quran Tukufu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Ismail.
Wakristo na Kitabu chao Kitakatifu cha Biblia Takatifu, kinamtaja mtoto huyo aliyetaka kutolewa sadaka ya kuchinja ni Isaka.

Jee ukweli halisi ni upi?.
Hii maana yake
Kama tukio la Ibrahim kutaka kumchinja mwanae kumtoa sadaka ni tukio moja, then
1. Hii maana yake ni kuna watu wanadanganywa, haiwezekani kwa Waislamu mtoto huyo awe ni Ismail na kwa Wakristu mtoto huyo awe ni Isaka, hii maana yake kuna kitabu hapo kinasema kweli na kuna kitabu kinasema uongo!, jee ukweli ni upi?.

Umuhimu wa kuujua ukweli huu, unakupa fursa ya kujua ukweli ni upi, hivyo ufuate mafundisho yapi ambayo ndio mafundisho ya kweli!.

Bandiko hili linakutaka kwanza uwe open minded, kama wewe ni mfia dini, unaamini dini yako ni ya ukweli mtupu, bandiko hili halikufai.

Pili unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya kuukubali ukweli halisi hata uwe mchungu vipi!, ikitokea ni dini yako unayoiamini kuwa ni dini ya kweli, kumbe ni dini ya uongo, uwe na uwezo wa kustahimili maana...

Nawatakia Waislamu wote,
Iddi Mubarak njema ya kuchinja.

Paskal
Haya yanayoonekana ni uthibitisho kua dini ni scum, tuziepuke kwani hazijaonesha matunda yake kwetu...
 
HIZI DINI TOKAZIJE AFRICA HAIZID KARNE TANO, SASA HAYO MAMBO YAKUJIONA MYAUDI AU MWARABU YANATOKA WAPI KWA MTU MWEUSI. TUACHE USHABIKI, TUJITAMBUE
 
Binafsi nawashanga sana hawa jamaa zetu.
Wengi wao utawasikia Biblia imechakachuliwa.
Lakini kila kisa au muhusika wa kwenye Qurani wanasisitiza sana kuwa mfano.
Issa ndio yuleyule Yesu wa kwenye Biblia, Ismael ndio yuleyule Ishmael wa kwenye Biblia.
Yaani wahusika wote wa kwenye Qurani ukimwacha Muhammadi pekee wanasisitiza kuwa ni walewale wa kwenye Biblia.
Huwa najiuliza Kuna ulazima gani kuthibisha uhusika wa kwenye Qurani katika Biblia ?
Ukisoma tabia za hao wahusika mala nyingi zinatofautiana kwa kiwango kikubwa tu.
Kwani Qurani haiwezi kusimama yenyewe kama yenyewe?
Yaani iishie tu kusema huyu ni mhusika wa kwenye Qurani tu hayupo kwenye kitabu kingine chochote.
Hadi Mtume Muhammadi kila kukicha anatafutiwa Aya za kwenye Biblia ili kumthibitisha kuwa ni Mtume wa kweli.
Hivi si alipewa utume na Mungu Allah kupitia kwa Malaika Jibrili kule pangoni ?
Hiyo si inatosha kumthibitisha kuwa ni mtume halali kabisa wa Mungu.

Hili jambo ndio linalo leta sintofahamu kwenye hii mada.

Ni wapi kwenye Qurani Ishmaeli anatajwa kujaribiwa kutolewa sadaka (hakuna majibu)
Lete family tree ya huyo Ishmaeli (hakuna hata jina moja kati ya watoto wake 12)
Huyo Ishmaeli alizaliwa mji gani (no answer)
Ishmaeli alipotolewa sadaka ilikuwaje (no answer)
Ishmaeli aliishi mji gani alipo ondoka katika familia ya baba yake (no answer)
Sasa tunajadiliana nini na hawa watu?
Wanasimamia wapi hoja yao?
Alaf wanaongea sana mambo ambayo hayathibitishiki.

Mi Naona ni kupoteza muda tu labda kama watu wanapenda tu, dhana ya kujadiliana.
I am a Christian but hujui kitu hayo maswali yote unayouliza nimesoma qurban yapo majibu
 
Huwa Nasikitika Sana Nikiona Wote Tunao Coment Humu Mpaka Kufikia 2099 Tutakuwa Tusha kufa Wote 😭😭😭
 
Tukiwa katika mjadala wa hii Mada ya mtoto yupi alitakiwa kutolewa sadaka hebu tupate muda wa kuzitafakari Aya husika katika vitabu husika.

Mwanzo 22
1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.

2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.

3 Ibrahimu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.
..............
فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ السَّعْيَ قَالَ يَا بُنَيَّ إِنِّي أَرَىٰ فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ

(ASS'AFFAT - 102)
Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri.
..............
Tofautisheni kati ya Neno,
1. "Mwanao wa pekee"
na neno.
2. "Mwanao wa pekee umpendaye, Isaka."
..........
Mwisho wa mjadala.
 
Unataka uishi miaka mingi ili ufanye nini ?
Ilikuwa sahihi ulivyozaliwa na kuishi.
Ilikuwa sahihi kuishi kwa huo muda flani
Itakuwa sahihi ukifa katika umri uliopangiwa.
.........
Mwanzo (Gen) 6:3 BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
(Ni nadra kuuvuka huo umri)
................
And the LORD said, My spirit shall not always strive with man, for that he also is flesh: yet his days shall be an hundred and twenty years.

Cha msingi shukuru kwa fulsa uliyoipata ya kuishi duniani.
Wengine walifariki siku yao ya kuzaliwa
Wengine hawakuzaliwa kabisa.
 
You are not a Christian.

Bwana Yesu Kristo alieleza mizani na alama za imani kama ifuatavyo:

1. Mkiwa na imani ya punje ya haridali, mtauambia mlima huu, ondoka hapa nenda kule, nao utaondoka; wala halitakuwapo neno lisilowezekana kwenu. (Mathayo17:20; 21:21; Marko 11:22-23, 9:23, Luka 17:6, 12, 13).

2. Bwana akasema: “Kama mngekua na imani kiasi cha chembe ya haridali mngeuambia mkuyu huu, ng'oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.” (Luka 17:7).

3. Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia mkiwa na imani , msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, ngo'ka ukatupwe baharini, litatendeka. na yoyote mtakayoyaomba katika sala mkiamini, mtapokea. (Mathayo 21:21-22)

4. Amin, Amin, nawaambieni, yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwani mimi naenda kwa Baba. (Yohana 14:12-13).

5. Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lolote nanyi mtatendewa. (Yohana 15:7).

6. Tena nawaambia, wawili wenu mtakapopatana duniani katika jambo lolote watakalo liomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. (Mathayo 7:3-12).

WEWE HUNA IMANI YOYOTE KWANI KUSEMA CCM IONDOKE , HAIONDOKI, NDIO INAZIDI KUWEPO
😛😛😛😛😛
 
Tukiwa katika mjadala wa hii Mada ya mtoto yupi alitakiwa kutolewa sadaka hebu tupate muda wa kuzitafakari Aya husika katika vitabu husika.

Mwanzo 22
1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.

2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.

3 Ibrahimu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.
..............
فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ السَّعْيَ قَالَ يَا بُنَيَّ إِنِّي أَرَىٰ فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَىٰ ۚ قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ ۖ سَتَجِدُنِي إِن شَاءَ اللَّهُ مِنَ الصَّابِرِينَ

(ASS'AFFAT - 102)
Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri.
..............
Tofautisheni kati ya Neno,
1. "Mwanao wa pekee"
na neno.
2. "Mwanao wa pekee umpendaye, Isaka."
..........
Mwisho wa mjadala.

TORATI IMETIWA MIKONO YA WAANDISHI IMEKUWA NI UONGO MTUPU

Jeremiah 8:8 Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
 
TORATI IMETIWA MIKONO YA WAANDISHI IMEKUWA NI UONGO MTUPU

? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
Maana yake ni hivi.

Mwasemaje kuwa nyinyi mna akili na torati ya Bwana mnayo kwenye kitabu chenu cha Qurani ?
lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi wenu imeifanya kuwa uongo.

{kwenye Qurani hakuna Torati}

{Huwa mnasema kuwa Qurani yenu ina Torati.
Kama ni kweli, hebu wewe unioneshe Amri Kumi za Musa ambazo ndio Torati yenyewe}

Ukishindwa kunionesha Amri Kumi za Musa kwenye Qurani, basi hilo andiko lina walenga nyie mnao aminishwa hivyo.

Waandishi wa Qurani wameandika Torati ya uongo kwenye Qurani.
Na nyinyi mnaiamini Torati isiyo na Amri Kumi za Musa ya kwenye Qurani.

Kama mnaiamini hivyo mbona bado mnasema kuwa mna akili ?

Wakati ukweli ni kuwa kama hakuna Amri Kumi za Musa, basi Torati ya kwenye Qurani ni ya uongo.
Imeharibiwa na kalamu ya waandishi wa Qurani.

Torati halisi ni hii hapa, jiulize kama ipo kwenye Qurani.
Na kama haipo jiulize ni kwanini mna aminishwa hivyo na waandishi wa uwongo?
Na kama mnaiamini hiyo Torati ya kwenye Qurani, ambayo haina Amri Kumi basi nyinyi hamna akili.
..............

Kumbukumbu la Torati 5

1 Musa akawaita Israeli wote, akawaambia, Enyi Israeli, zisikieni amri na hukumu ninenazo masikioni mwenu leo, mpate kujifunza na kuangalia kuzitenda.

2 Bwana, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.

3 Bwana hakufanya agano hili na baba zetu, bali na sisi, yaani, sisi sote tuliopo hapa, tu hai.

4 Bwana alisema nanyi uso kwa uso mlimani, toka kati ya moto;

5 (nami wakati ule nalisimama kati ya Bwana na ninyi, ili kuwaonyesha neno la Bwana; maana, mliogopa kwa sababu ya ule moto, wala hamkupanda mlimani); naye akasema,

6 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

8 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.

9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

10 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.

12 Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru.

13 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

14 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako ye yote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe.

15 Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa Bwana, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.

16 Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

17 Usiue.

18 Wala usizini.

19 Wala usiibe.

20 Wala usimshuhudie jirani yako uongo.

21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.

22 Haya ndiyo maneno ambayo Bwana aliwaambia mkutano wenu wote mlimani kwa sauti kuu toka kati ya moto, na wingu, na giza kuu; wala hakuongeza neno. Akayaandika juu ya mbao mbili za mawe, akanipa.
..............

{Tulia soma kwa utulivu na kwa umakini, utaelewa maana hii ya hilo andiko.

Mtu akisema anaiamini Torati ya kwenye Qurani huyo hana akili, hata akisema kuwa ana akili kwakuwa hiyo torati imeharibiwa na kalamu ya waandishi wa uwongo wa kitabu cha Qurani }
............
Jeremiah 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi ?
 
Maana yake ni hivi.

Mwasemaje kuwa nyinyi mna akili na torati ya Bwana mnayo kwenye kitabu chenu cha Qurani ?
lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi wenu imeifanya kuwa uongo.

{kwenye Qurani hakuna Torati}

{ Huwa mnasema kuwa Qurani yenu ina Torati.
Kama ni kweli, hebu wewe unioneshe Amri Kumi za Musa ambazo ndio Torati yenyewe}

Ukishindwa kunionesha Amri Kumi za Musa kwenye Qurani, basi hilo andiko lina walenga nyie mnayo iamini.

Waandishi wa Qurani wameandika Torati ya uongo kwenye Qurani.
Na nyinyi mnaiamini Torati isiyo na Amri Kumi za Musa ya kwenye Qurani.

Kama ni hivyo mbona Bado mnasema kuwa mna akili ?
Wakati ukweli ni kuwa kama hakuna Amri Kumi za Musa basi Torati ya kwenye Qurani ni ya uongo.
Imeharibiwa na kalamu ya waandishi wa Qurani.

Torati halisi ni hii hapa, jiulize kama ipo kwenye Qurani, na kama haipo jiulize ni kwanini mna aminishwa hivyo na waandishi wa uwongo?
Na kama mnaiamini kuwa Torati haina Amri Kumi basi hamna akili.

Kumbukumbu la Torati 5
1 Musa akawaita Israeli wote, akawaambia, Enyi Israeli, zisikieni amri na hukumu ninenazo masikioni mwenu leo, mpate kujifunza na kuangalia kuzitenda.

2 Bwana, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.

3 Bwana hakufanya agano hili na baba zetu, bali na sisi, yaani, sisi sote tuliopo hapa, tu hai.

4 Bwana alisema nanyi uso kwa uso mlimani, toka kati ya moto;

5 (nami wakati ule nalisimama kati ya Bwana na ninyi, ili kuwaonyesha neno la Bwana; maana, mliogopa kwa sababu ya ule moto, wala hamkupanda mlimani); naye akasema,

6 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

8 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.

9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

10 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.

12 Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru.

13 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

14 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako; siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako ye yote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako na mjakazi wako wapumzike vile vile kama wewe.

15 Nawe utakumbuka ya kuwa wewe ulikuwa mtumwa katika nchi ya Misri, na ya kuwa Bwana, Mungu wako, alikutoa huko kwa mkono wenye nguvu, na mkono ulionyoshwa; kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wako, alikuamuru uishike sabato.

16 Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

17 Usiue.

18 Wala usizini.

19 Wala usiibe.

20 Wala usimshuhudie jirani yako uongo.

21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.

22 Haya ndiyo maneno ambayo Bwana aliwaambia mkutano wenu wote mlimani kwa sauti kuu toka kati ya moto, na wingu, na giza kuu; wala hakuongeza neno. Akayaandika juu ya mbao mbili za mawe, akanipa.

{ Tulia soma kwa utulivu na kwa umakini, utaelewa maana hii ya hilo andiko.
Mtu akisema anaiamini Torati ya kwenye Qurani huyo hana akili, hata akisema kuwa ana akili }

Jeremiah 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi ?

Hayo maelezo yamo kwenye biblia yenu ya Queen James Version? Mbona biblia nyengine hamna?

Kumbe kalamu ya hao waandishi ndiyo hii
Kumbukumbu la taurati , huyo aliyekumbuka ni Nani?

Akaanza kuandika , na Mussa akawaita.......?
 
Hayo maelezo yamo kwenye biblia yenu ya Queen James Version? Mbona biblia nyengine hamna?

Kumbe kalamu ya wa waandishi ndiyo hii
Kumbukumbu la taurati , huyo aliyekumbuka ni Nani?

Akaanza kuandika na Mussa akawaita.......?
Yeremia 8:8
(Waislamu)
"Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo"
(wakati hamna hiyo torati kwenye kitabu chenu?
Iliyopo humo imeharibiwa na waandishi wa Qurani)
 
Pagumu hapo
 
Maelezo hayo yamo kwenye biblia yenu ya Queen James Version? Au Satanic Bible?
 
Yapo kwenye Qurani ya Mayunga na ya Shehe Farsy na ya Makardiani.

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
 
Back
Top Bottom